Professor Assad Asimulia alipokuwa

Professor Assad Asimulia alipokuwa

Juzi nilitoa rai kwa wana harakati kuwa hatuwezi kuidoa serikali madarakani kwa agenda za matukio ya kuokoteleza , baada ya sikumbili wakaja na tukio lile la kutunga la Assad la kupotea hewa halafu wana komaa na kulazimisha uongo uwe kweli.
 
Maxence Melo uzi wa kutekwa mliuweka juu, uzi wa maelezo ya kinywa chake mnaupotezea na hamkawii kuunganisha na ule wa kutekwa huoni unasababisha maswali na imani kuwa JamiiForums inatumikia mrengo fulani wa kisiasa?
Mbona hilo lipo wazi.

Umewahi kuona uzi wowote unaozungumzia kitu chanya kwa nchi hii wametafsiriwa mabeberu.

Ni habari hasi tu ndiyo for the English Audience.
 
The Man himself has told us where he was and what he was doing, sasa nyie mnaopinga kauli yake ama kuja na scenario zenu binafsi, mnatafuta unafiki.

Hii ni aibu kwa wote waliozusha hizi habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,
Kuna Sikh atasema ukweli
 
Juzi nilitoa rai kwa wana harakati kuwa hatuwezi kuidoa serikali madarakani kwa agenda za matukio ya kuokoteleza , baada ya sikumbili wakaja na tukio lile la kutunga la Assad la kupotea hewa halafu wana komaa na kulazimisha uongo uwe kweli.
Wewe peke yako wanzako ndiyo mnaona kuwa ni tukio hewa lakini wengine wengi wanajua kuwa Assad alitekwa lakini kaamua kukanusha ili kuficha aibu yenu na pengine katishwa sana
 
Mada inahamishwa kiaina...sasa tunajadili network kazimzumbwe...!!! Hizi aibu za kuzusha mambo anazibeba nani..? Bladifuuu
Ukweli unabakia palepale kuwa Assad alitekwa ingawa ccm wanalazimisha ionekane hakutekwa kukwepa Aibu Duniani
 
Nyepesi sijui anafeli wapi nakumbuka miezi iliyopita aliposti eti bwana yule kafa mara jana kaja na habari za former CAG kuwa katekwa ,alafu zote ni matango pori.
 
Anasema alimwambia mke wake! Halafu hapokei simu akiwa anaendesha! Halafu akapokea simu ya kijana wake, kijana wake akawafahamisha nyumbani kama hakuna tatizo!!

Huko nyumbani mke wake naye amesafiri!?

Jamani ni kweli huyu mzee wa watu anasema ukweli!!![emoji848][emoji848]

Sio michezo ya watoto kujificha kwa viganja machoni, halafu wanakuuliza umeniona??

Ila bora amerudi salama[emoji120][emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishakutekwa unaambiwa nini cha kusema. Hili suala la kuwa hakuna network linaninitia shaka kubwa. Mtu responsible na family man kama Prof Assad atakaaje kuanzia asubuhi mpaka usiku asipige simu nyumbani kuulizia wanaendeleaje? It doesnt make sense at all!

Labda neno kutekwa ni axaggeration lakini tuseme alitakiwa kwa mahojiano fulani!
Maelezo ya Assad yamekuumiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom