kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Mada inahamishwa kiaina...sasa tunajadili network kazimzumbwe...!!! Hizi aibu za kuzusha mambo anazibeba nani..? Bladifuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto arudi bungeni au asirudi bungeni hiyo kwake siyo issue sana maana hana njaa kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hilo lipo wazi.Maxence Melo uzi wa kutekwa mliuweka juu, uzi wa maelezo ya kinywa chake mnaupotezea na hamkawii kuunganisha na ule wa kutekwa huoni unasababisha maswali na imani kuwa JamiiForums inatumikia mrengo fulani wa kisiasa?
Zitto arudi bungeni au asirudi bungeni hiyo kwake siyo issue sana maana hana njaa kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Sikh atasema ukweliZito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,
Wenye Akili wanaujua Ukweli lakini vilaza watayaamini haya maneno ya Assad
Wewe peke yako wanzako ndiyo mnaona kuwa ni tukio hewa lakini wengine wengi wanajua kuwa Assad alitekwa lakini kaamua kukanusha ili kuficha aibu yenu na pengine katishwa sanaJuzi nilitoa rai kwa wana harakati kuwa hatuwezi kuidoa serikali madarakani kwa agenda za matukio ya kuokoteleza , baada ya sikumbili wakaja na tukio lile la kutunga la Assad la kupotea hewa halafu wana komaa na kulazimisha uongo uwe kweli.
Assad haongei toka moyoni anaongea kizushi ili kuepusha shari zaidiKwa hiyo wenye akili wanayajua kuliko anayoyajua Asad.
Siku serikali hii ikitoka madarakani na akawa yupo hai lazima atazungumza UkweliKuna Sikh atasema ukweli
Ukweli unabakia palepale kuwa Assad alitekwa ingawa ccm wanalazimisha ionekane hakutekwa kukwepa Aibu DunianiMada inahamishwa kiaina...sasa tunajadili network kazimzumbwe...!!! Hizi aibu za kuzusha mambo anazibeba nani..? Bladifuuu
Maelezo ya Assad yamekuumiza sanaUkishakutekwa unaambiwa nini cha kusema. Hili suala la kuwa hakuna network linaninitia shaka kubwa. Mtu responsible na family man kama Prof Assad atakaaje kuanzia asubuhi mpaka usiku asipige simu nyumbani kuulizia wanaendeleaje? It doesnt make sense at all!
Labda neno kutekwa ni axaggeration lakini tuseme alitakiwa kwa mahojiano fulani!
Kwani wewe una cheo cha msemaji wa profesa Assad?Naona umejipa cheo cha msemaji wa Zito.
Unamwamini Zitto,huku umechukizwa na maelezo ya AssadZito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,