Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Wakuu, huyu ni professor wa nini na yupo wapi sasa?
Nimesikia sehemu Rais anamtafuta mtu weak mno ampe Nafasi ya Nchimbi.
Mtu asiyemsumbua na kuilenga 2030 na amepanga kwenda na mtu huyu.
Nchi hii tutaona mengi wallahi