Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Ametoka kuwa mtendaji wa mahakama......mmasai mmoja hivi....mtulivuNi mtulivu,hana makuu,msomi,mcheshi,asiyependa makuu.
Ni mwenye nidhamu na hodari kazini.
Ni professor kwelikweli
Hana uchawa wala makundi
KabisaAmetoka kuwa mtendaji wa mahakama......mmasai mmoja hivi....mtulivu
πππHuyu dingi namjua alikuwa pale mahakaman
Ni chawa wa kutupwa
Huyu dingi na balile ndo watu wanaongoza kwa uchawa mbele ya Samia
Ni chawa wa machawa hana jina jingine mdomon zaid ya samia
Tukaogelee ama?Ndugu zangu, twendeni tukapige maji. Muda ndiyo huu. Hizi tetesi zenu hazitawasaidia chochote.
Duuuuhh. Ndyo maana........Huyu dingi namjua alikuwa pale mahakaman
Ni chawa wa kutupwa
Huyu dingi na balile ndo watu wanaongoza kwa uchawa mbele ya Samia
Ni chawa wa machawa hana jina jingine mdomon zaid ya samia