Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
mzee kama watu wanazingua kwa nini asiwapige vibao,aliweka marufuku kuvuta bangi studio,na studio ndipo anapokaa na mama ake,afande sele anaambiwa zaidi ya mara mbili hasikii,kwa nini asimpige vibao,mtu akija kuvuta bangi sebuleni kwako unamkataza hasikii utafanyaje?Hahaaa ..
That dude, feels like he is straight outta Compton.
Anajikuza na kujisikia sana. Kuna stori tunazisikia redioni kwenye interview za wasanii alikuwa anapiga vibao wasanii enzi hizo kuna uhaba wa music producers.
Ukweli sijui.unajua kilichotokea baina yake na j kabla ya hiyo tweet?
Angemfukuza kabisa asikanyage kwake hadi ajirekebishe.mzee kama watu wanazingua kwa nini asiwapige vibao,aliweka marufuku kuvuta bangi studio,na studio ndipo anapokaa na mama ake,afande sele anaambiwa zaidi ya mara mbili hasikii,kwa nini asimpige vibao,mtu akija kuvuta bangi sebuleni kwako unamkataza hasikii utafanyaje?
Kabisa Sema Prof J hakutaka kumkamia mwana na Majani anadai hiyo pesa kulikuwa na Kesi mahakamani mpaka akapata hilo gawio lakin ishu ni kuwa Prof J yeye hakuwa anafatilia wala kushiriki kwenye Kesi mahakamani so Hii pekee ndo sababu naona Majani anayo lakini kusema Yeye ndo anamiliki beat asilimia 100 Nooo ni uongoo ndo maana hata msanii akitumia beat la msanii mwingine Anaemind na kumshatki ni msanii mwenye beat SIO PRODUCER.
Tatizo lenu mnakariri vibaya.
Mdundo kuwa mali ya producer au msanii inategemea makubaliano yenu .
Ila kwa nchi zilizoendelea mmiliki wa mdundo huwa anamiliki asilimia kadhaa Kama sio zote za haki kwenye mdundo husika, kwa maana nyingine producer anaweza kukupa biti bure kabisa uimbie lakini pesa utakazotengeneza kutokana na muziki wako moja kwa moja zitamfikia na yeye which is fair
Hata mimi nahisi hivyo.Nimesoma between the lines naona kama P-Funk ana point. Kuna unnecessary details kazitoa Prof Jay kwenye hilo bandiko lake na uwasilishaji wake wa point umekaa kimuhemko.
Ila mimi nauliza, ni nani mmiliki wa beats ? Je ni Producer au Msanii? Je kama msanii alilipa gharama za studio si ina maana ana ownership flani kwenye hiyo beat?
Kunauwezekano Prof J aliomba asilimia fulani Majani akakataa, ndii maana anaweweseka hivyo.Sasa kama pesa kalipwa Majani na Prof J kuomba COSOTA waweke rekodi sawa kuna kosa gani amefanya Prof J?
Mbona Majani kakurupuka sana! Inaonesha pengine kuna beef ya iliyokuwa chini chini au Prof J alikuwa anastahili walau chochote na pengine Majani alikausha kidizaini maana naona ni kama Majani anajishtukia!
Mmliki was beats ni producer ndo maana jay kaweka record sawa kuwa aliyelipwa ni majaniNimesoma between the lines naona kama P-Funk ana point. Kuna unnecessary details kazitoa Prof Jay kwenye hilo bandiko lake na uwasilishaji wake wa point umekaa kimuhemko.
Ila mimi nauliza, ni nani mmiliki wa beats ? Je ni Producer au Msanii? Je kama msanii alilipa gharama za studio si ina maana ana ownership flani kwenye hiyo beat?
Eeeh sasa mziki ni beat tu??? Yani mimi unipe beat niimbe mziki mkali uhit alafu unambie pesa zote upate wewe???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unatania maisha mzee.. bhasi maproducer wasingekuwa wanaishi maisha ya kimaskini ndugu yani Anampa diamond beat kama My Number one aimbe alafu pesa apige yeye... Labda unambie producer amlipe pesa msanii ka Anavyofanya Dj Khaled. Otherwise unachosema hakipo
Hapo juu kuna statements mbili, hizo ndizo zinazojadiliwa hapa.Prof Jay amekuwa akilalamika hiyo issue haijaanzia leo hapo ni ya muda tuu!
ndivyo alivyofanya, afande akatumia nguvu kwa house girl getini akaingia ndani kuvuta bangiAngemfukuza kabisa asikanyage kwake hadi ajirekebishe.
Makofi kama mtoto mdogo hiyo ilikuwa udhalilishaji.
Sikumbuki kama that was Bongo Records au kabla ya Bongo Records.Sidhani kama Majani katika maisha yake yote alishawahi kua na ubavu wa kuweka studio zake za Bongo records Masaki!
Studio zake zipo Mwenge maisha yao yote!
Hiyo ya Masaki labda umechanganya mambo!
Check tena vizuri!