Professor J na Frank Majani wana beef zito

Professor J na Frank Majani wana beef zito

Hahaaa ..
That dude, feels like he is straight outta Compton.
Anajikuza na kujisikia sana. Kuna stori tunazisikia redioni kwenye interview za wasanii alikuwa anapiga vibao wasanii enzi hizo kuna uhaba wa music producers.
mzee kama watu wanazingua kwa nini asiwapige vibao,aliweka marufuku kuvuta bangi studio,na studio ndipo anapokaa na mama ake,afande sele anaambiwa zaidi ya mara mbili hasikii,kwa nini asimpige vibao,mtu akija kuvuta bangi sebuleni kwako unamkataza hasikii utafanyaje?
 
Angemfukuza kabisa asikanyage kwake hadi ajirekebishe.

Makofi kama mtoto mdogo hiyo ilikuwa udhalilishaji.
 
Kabisa Sema Prof J hakutaka kumkamia mwana na Majani anadai hiyo pesa kulikuwa na Kesi mahakamani mpaka akapata hilo gawio lakin ishu ni kuwa Prof J yeye hakuwa anafatilia wala kushiriki kwenye Kesi mahakamani so Hii pekee ndo sababu naona Majani anayo lakini kusema Yeye ndo anamiliki beat asilimia 100 Nooo ni uongoo ndo maana hata msanii akitumia beat la msanii mwingine Anaemind na kumshatki ni msanii mwenye beat SIO PRODUCER.

Tatizo lenu mnakariri vibaya.

Mdundo kuwa mali ya producer au msanii inategemea makubaliano yenu .

Ila kwa nchi zilizoendelea mmiliki wa mdundo huwa anamiliki asilimia kadhaa Kama sio zote za haki kwenye mdundo husika, kwa maana nyingine producer anaweza kukupa biti bure kabisa uimbie lakini pesa utakazotengeneza kutokana na muziki wako moja kwa moja zitamfikia na yeye which is fair
 
Eeeh sasa mziki ni beat tu??? Yani mimi unipe beat niimbe mziki mkali uhit alafu unambie pesa zote upate wewe???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unatania maisha mzee.. bhasi maproducer wasingekuwa wanaishi maisha ya kimaskini ndugu yani Anampa diamond beat kama My Number one aimbe alafu pesa apige yeye... Labda unambie producer amlipe pesa msanii ka Anavyofanya Dj Khaled. Otherwise unachosema hakipo
 
Nimesoma between the lines naona kama P-Funk ana point. Kuna unnecessary details kazitoa Prof Jay kwenye hilo bandiko lake na uwasilishaji wake wa point umekaa kimuhemko.

Ila mimi nauliza, ni nani mmiliki wa beats ? Je ni Producer au Msanii? Je kama msanii alilipa gharama za studio si ina maana ana ownership flani kwenye hiyo beat?
Hata mimi nahisi hivyo.
 
Sasa kama pesa kalipwa Majani na Prof J kuomba COSOTA waweke rekodi sawa kuna kosa gani amefanya Prof J?

Mbona Majani kakurupuka sana! Inaonesha pengine kuna beef ya iliyokuwa chini chini au Prof J alikuwa anastahili walau chochote na pengine Majani alikausha kidizaini maana naona ni kama Majani anajishtukia!
Kunauwezekano Prof J aliomba asilimia fulani Majani akakataa, ndii maana anaweweseka hivyo.
 
Nimesoma between the lines naona kama P-Funk ana point. Kuna unnecessary details kazitoa Prof Jay kwenye hilo bandiko lake na uwasilishaji wake wa point umekaa kimuhemko.

Ila mimi nauliza, ni nani mmiliki wa beats ? Je ni Producer au Msanii? Je kama msanii alilipa gharama za studio si ina maana ana ownership flani kwenye hiyo beat?
Mmliki was beats ni producer ndo maana jay kaweka record sawa kuwa aliyelipwa ni majani
 
Kilicho muuma majani hakutaka kujulikana kapiga mpunga mrefu na prof j hatak kuonekana kafaidika na hizo harakat za cosota...Na ndio maana pfunk amekua mhudhuriaj mzur sana wa hivyo vikao vya wasanii kashaona faida zake
 
Eeeh sasa mziki ni beat tu??? Yani mimi unipe beat niimbe mziki mkali uhit alafu unambie pesa zote upate wewe???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unatania maisha mzee.. bhasi maproducer wasingekuwa wanaishi maisha ya kimaskini ndugu yani Anampa diamond beat kama My Number one aimbe alafu pesa apige yeye... Labda unambie producer amlipe pesa msanii ka Anavyofanya Dj Khaled. Otherwise unachosema hakipo

Achana na maproducer njaa wa hapa Bongo Kaka..

Unachopaswa kufahamu ile pesa unayomlipa Producer ni studio time wala sio wewe kununua haki zote za kwenye mdundo ambao amekutengenezea labda mmekubaliana vinginevyo.

We unahisi maproducer Kama Pharrell williams, Kanye West , Dre na wengineo wanapiga wapi pesa!?

Yaani mpaka kesho ukistream ngoma ya Jay z aliyoproduce Kanye West ujue Kanye anapata mgao wake, na sio tuu Kanye hata ngoma za marehemu Michael Jackson ukienda kuzisikiliza tuu ujue Quincy Jones anaingiza mchuzi Kama kawaida.

Haiwezekani we utenengenezewe biti Kama kwangwaru ya Harmonize upige show miaka na miaka , uuuze Ngoma yako spotify, Apple Music n.k halafu producer aliyekutengenezea umemlipa laki 5 , huo utakuwa ujuha wa kiwango cha lami.
 
Sidhani kama Majani katika maisha yake yote alishawahi kua na ubavu wa kuweka studio zake za Bongo records Masaki!

Studio zake zipo Mwenge maisha yao yote!

Hiyo ya Masaki labda umechanganya mambo!

Check tena vizuri!
Sikumbuki kama that was Bongo Records au kabla ya Bongo Records.

Lakini mimi nimefika kwenye studio ya Majani Masaki, nakumbuka alikuwa analalamika kafanya kazi mbele ya computer siku nzima macho yanamuuma. Masaki, it has to be 1996-1997 if I am not mistaken.
 
Majani yuko sahihi. Siku zote anayeanza ubaya akimaliziwa ubaya. Udhani kaonewa. Heshima ofisini kwako: nje ofisi, usilazimishe kila mtu akuite bosi!
 
Back
Top Bottom