kariobangii
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 515
- 671
wapi kasema alikuwa hasomeshi familia yake? yeye kazungumzia positive contribution to his country.Profesa Shaba alikuwa ni mtu mwenye heshima kubwa sana hapa nchini na alisomesha watoto wake, akawa akila matunda mpaka siku anaaga dunia.
Alikuwa anamiliki gari ya aina ya Volvo miaka ile.Mkuu Lole, Lole Gwakisa, thanks for this, umenikumbusha mbali, Capt. Mazula tulikuwa tunaishi jirani yetu pale Drive In flats, Mafletini!.
P
IFM, Georges Grill, Sky way, Chinese, New Africa kote huko alijulikana.Tulikuwa tunapata naye kinywaji pale IFM canteen, alipapenda sana
RIP Shaba
Mchango wake ni kupokea miili ya marehemu na kugundua vyanzo vya vifo vyao, miaka ile kuwa Pathologist sio mchezo haswa kwa nchi zetu za afrika.wapi kasema alikuwa hasomeshi familia yake? yeye kazungumzia positive contribution to his country
Walikuwa nduguKaka Mayala hv huyu the late Proffessor alikuwa na undugu na yule former minister na colleague wa Mwalimu Nyerere kwenye serikali yake Mzee Austin Shaba?
Kwahiyo tulipopata Uhuru nchi haikuwa na kiongozi, asante.Hapana. Ni Rashid Mfaume Kawawa.
Kile kitendo cha kuosha maiti zao na kukamua mavi kinawaletea changamoto hata waarabuDr Kasambala ni mjomba wangu toka kijijini.
1975 tumefanya kazi wote zahanati moja kati kati ya Jiji, Dr Kasambala akitokea Muhimbili.
Alikiwa mtu wa whiskey kwa sana.
Miaka hiyo uliingia ugonjwa wa Alto Cholera, ndugu yake na Cholera. Ugonjwa ulikuwa haujawahi kutokea Tanzania, na ulikuwa unatisha.
Mtu anaharisha na kutapika mfululizo hadi anakufa kwa kukosa maji mwilini.
Tukiwa tea break tukamuuliza, ugonjwa huu utaisha lini?
Dr Kasambala alijibu simply, "it is here to stay".
Ugonjwa huu ulileta tafaruki nchini hadi bungeni.
Kuna mbunge toka mikoa ya mwambao aliuliza kwa waziri wa Afya, wakati huo akiwa ni Dr Leader Stirling, mzungu toka Uingereza, "ugonjwa huu mbona uko mikoa ya pwani kwa wingi, na serikali haifanyi kitu"
Dr Stirling alimjibu, "ugonjwa huu unatokana na binadamu kula vyakula vilivyo changanyika na kinyesi chake mwenyewe"
Ikatokea valangati, watu wa pwani wakaona wametukanwa na mzungu, ati wanakula kinyesi.
Joto lilikuwa kubwa hadi Dr Stirling alijiuzulu.
Lakini kiukweli Dr Stirling alikuwa sahihi.
Watu wengi wa pwani walikuwa wanawaosha maiti wao waliokufa kwa cholera kwa mikono mitupu.
Vidudu vya echoli vikaingia kwenye kucha na mikono hivyo wakati wa kula mlipuko wa ugonjwa uliendelea.
Na walikufa watu wengi hadi elimu ya kutumia madawa kuwaosha wahanga ilipoanza kuenea, na ugonjwa kupungua.
That was in the 70s to 80s.
Acha ujinga ewe Bin MuddyProfesa mtambuzi wa vifo llkn kashindwa kujua yeye lini atakufa.
Allah akbar.
Mtume Muhammad watu walimuuliza kuhusu kifo. AKAWAAMBIA ANAOJUA KIFO NI ALLAH PEKEE YAKE
Achana na vijana wa madrasa, wamevamia dini wanajifanya wajuvi.Acha umbumbumbu.
Hongera sana mabinti kwa kuntunza na kumuguza baba yenu.Ingependeza kama serkali kupitia wizara ya Afya kutoa pole kwa msiba wa mtu aliyehudumia viongozi na watu wa kawaida kwa weledi mikubwa.Wanajumuia,
Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo siku ya Jumanne tarehe 5 December 2023, muda wa saa 2:30 usiku saa za Marekani (Central Eastern Time) Chicago. Habari zaidi za maandalizi ya mazishi zitatumwa baadaye. Mzee alikuwa akiuguzwa na watoto wake Stella na Anale Shaba kwa muda mrefu. Mungu aipumzishe roho ya mzee wetu mahali pema peponi.
Kwa mtakawatoweza kuawasiliana au kwenda kuwaona Stella na Anale Shaba (Watoto wa Marehemu) na Wana Chicago wenzetu mnaweza kusailiana nao kwa kupitia namba ya simu hapo chini au kwenda kuwaona nyumbani kwao:
Anale Shaba: (847) 525-9224
4151 N. Richmond
Chicago, IL 60618
“Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.”
NB: Uongozi wa TCA tutaendelea kutoa updates.
------
MAREKANI: DAKTARI Bingwa wa utambuzi wa magonjwa na sababu za vifo, Profesa James Shaba amefariki dunia jana jumanne Desemba 5, 2023.
Profesa Shaba ndie aliyefanya uchunguzi wa mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ‘postmortem’ Hayati Edward Sokoine, kwenye hospitali ya Muhimbili.
Sokoine alifariki Aprili 12, 1984 akiwa na umri wa miaka 45 kutokana na ajali ya gari iliyotokea Dakawa mkoani Morogoro.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia ya Profesa Shaba inasema kuwa alifariki majira ya saa mbili usiku, Chicago nchini Marekani alipokuwa akiishi.
Mtoto wa marehemu, Anale Shaba amesema taratibu za maandalizi ya mazishi zitatolewa baadaye na kwamba marehemu Shaba ameugua kwa muda mrefu.
sasa na wewe ndiyo umefanya nini kilicho tafauti na hicho alichofanya yeye?Huyo mpuuzi ametoa negative opinion kwa vile Profesa alikuwa siyo Muislam mwenzake malaria sugu ana upuuzi mwingi sanaView attachment 2835323
Yeye ameingiza udini kwenye mada isiyo ya kidini.sasa na wewe ndiyo umefanya nini kilicho tafauti na hicho alichofanya yeye?
Waziri Mkuu Edward Sokoine alipofariki Aprili 1984, mwili ulilazwa Bungeni ili watu waende kutoa heshima za mwisho. Matarajio yalikuwa kwamba shughuli hiyo itafanyika kwa masaa kadhaa tu, nadhani kuanzia saa 11 jioni hadi saa 4 usiku. Baada ya hapo mwili ungepelekwa mortuary. Idadi ya watu ilikuwa kubwa sana, na ikabidi kutoa heshima kuendelee mpaka asubuhi.Wanajumuia,
Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo siku ya Jumanne tarehe 5 December 2023, muda wa saa 2:30 usiku saa za Marekani (Central Eastern Time) Chicago. Habari zaidi za maandalizi ya mazishi zitatumwa baadaye. Mzee alikuwa akiuguzwa na watoto wake Stella na Anale Shaba kwa muda mrefu. Mungu aipumzishe roho ya mzee wetu mahali pema peponi.
Kwa mtakawatoweza kuawasiliana au kwenda kuwaona Stella na Anale Shaba (Watoto wa Marehemu) na Wana Chicago wenzetu mnaweza kusailiana nao kwa kupitia namba ya simu hapo chini au kwenda kuwaona nyumbani kwao:
Anale Shaba: (847) 525-9224
4151 N. Richmond
Chicago, IL 60618
“Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.”
NB: Uongozi wa TCA tutaendelea kutoa updates.
------
MAREKANI: DAKTARI Bingwa wa utambuzi wa magonjwa na sababu za vifo, Profesa James Shaba amefariki dunia jana jumanne Desemba 5, 2023.
Profesa Shaba ndie aliyefanya uchunguzi wa mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ‘postmortem’ Hayati Edward Sokoine, kwenye hospitali ya Muhimbili.
Sokoine alifariki Aprili 12, 1984 akiwa na umri wa miaka 45 kutokana na ajali ya gari iliyotokea Dakawa mkoani Morogoro.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia ya Profesa Shaba inasema kuwa alifariki majira ya saa mbili usiku, Chicago nchini Marekani alipokuwa akiishi.
Mtoto wa marehemu, Anale Shaba amesema taratibu za maandalizi ya mazishi zitatolewa baadaye na kwamba marehemu Shaba ameugua kwa muda mrefu.
Yes both brothers walikuwa na volvo, by then top car ni Benz, ikifuatiwa na Volvo, mawaziri walikuwa wanatumia Peugeot 504 number STC na STD. Mwanza RSO alikuwa anatumia Volvo ya blue.Alikuwa anamiliki gari ya aina ya Volvo miaka ile.
Yes they are brothers, na wana Dada yao kifaa kweli kweli!, Mzee Mayalla akiwa RSO wa Mtwara, (Wazee wa Kisukuma hawazeekagi), si macho ya Dingi yakaispot, kufunga kufungua kabinti kakajiriwa Idara, mara paap!, kidume hicho!, kikapewa jina la ..., Dingi akahamishiwa Mwanza, huko ikamkuta ile soo ya 1976!, baada ya soo kuisha 1980 si dingi akatia timu kumdai mwanae!, ndipo akaambiwa hao ni wa Makua, ni matrilinier, watoto ni mali ya Mama na wanatumia jina ubini wa kikeni!. Hata che Nkapa ni ubini wa kikeni!. Katika vitu vingumu Msukuma kuelewa ni damu yake kuibiwa na Mwanamke!. Hivyo mimi tuna undugu na kina Shaba, huyo dogo wetu tutamsaka kumkomboa tumrudishe Usukumani!.Kaka Mayala hv huyu the late Proffessor alikuwa na undugu na yule former minister na colleague wa Mwalimu Nyerere kwenye serikali yake Mzee Austin Shaba?
Nyumba zote za Drive In zilijengwa na THB na kukopeshwa na sio wapangaji ni wamiliki!.Nyumba ya kupanga ukiishi?
African respect for the dead, speak only the good deeds of the dead!. Kumsema vibaya marehemu is equal to the consecration of the dead!.Alikuwa kichwa my foot!
Hakuchangia kukuza medani ya afya ndio maana wanapozeeka wanakimbia kutibiwa na kufia nje.
Angekuwa kichwa angefanya indelible good for his profession, for his country.
Always drunk like a skunk and smelling like a liqour still.