Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kijamaa kina nyege za kubishana vitu pointless tu.Usisukumie uzalendo kwa wenzio, nawe unakula popcorn ukitazama show!
Tuonyeshe nawe uzalendo wako,
Umefanya nini so far ku advocate kile unachoongea humu!
Inaelekea wewe "mzalendo" wa JF tu!, zaidi ya hapo huna kitu cha kuonyesha kama mfano.
Nionyeshe ni wapi nilipodai uzalendo kama siyo kupungukiwa na akili.Usisukumie uzalendo kwa wenzio, nawe unakula popcorn ukitazama show!
Tuonyeshe nawe uzalendo wako,
Umefanya nini so far ku advocate kile unachoongea humu!
Inaelekea wewe "mzalendo" wa JF tu!, zaidi ya hapo huna kitu cha kuonyesha kama mfano.
Hopeless.Hicho kijamaa kina nyege za kubishana vitu pointless tu.
You have lost your privileges of engaging me directly.Hopeless.
Haisaidii chochote, bali kuonyesha upumbavu tu unaokusumbua kila mara tunapokutana humu.
Hata sielewi point yako nini hapa. I just see you pitter pattering all over the place. With logical non sequitur over frivolous pointless bitching about Yanga.
You are just boring me by nitpicking at everything in a shoddy and shambolic, pedantic and pugilistic way.
If there is a point you are making, I don't see it.
Prof Shaba alikuwa in his fifties wakati sisi tuko early teens, katika nchi ambayo life expectancy ilikuwa inacheza miaka 50, huyo ni mzee.
[/QUOTE
Very good if I am making that progress in showing how shallow you must be in your thinking ability
So much the better.You have lost your privileges of engaging ne directly.
Nakupeleka ignore list tusikutane tena
Karibu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!Soo ipi ilimkuta mzee miaka ya 1976?
Just in brief
Alipokuwa akilewa alitaka kutoa siri ya kifo cha sokoine, risasi kwenye paji la uso, wanakitengo wakahamishia maisha yake USA
Kumsema vibaya marehemu ni consecration of the dead ? Labda ulitaka kusema desecration of the dead.African respect for the dead, speak only the good deeds of the dead!. Kumsema vibaya marehemu is equal to the consecration of the dead!.
P
Poor you!Nionyeshe ni wapi nilipodai uzalendo kama siyo kupungukiwa na akili.
Sihitaji kukuonyesha wewe nilichofanya kwa sababu sijadai kuwa nimefanya; hata kama kila siku ninafanya mchango wangu upande huo.
Kama ni kuwa "mzalendo" wa JF, hilo ni bora zaidi ya wewe unayedanganya watu humu kuwa umefanya kitu kumbe ni majigambo yasiyokuwa na msingi wowote.
Asante mzee wangu , kuna kitu umenipa katika research yangu na ripoti yangu kuhusu jambo fulani huku Afya .
May God bless you
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nakubaliana nawe kabisa, na ukweli ni kwamba mtu aliyeleta Cholera kutoka Asia alitokea Pakistan na alifia Rufiji.Asante kwa input mkuu, lakini kumbuka 1975 cholera ulikuwa ugonjwa mgeni wa kutisha ambao ulikuwa prevalent South East Asia, na Africa ulikuwa haupo kabla ya hapo.
Sababu kubwa ya ugonjwa huo kusambaa kwa kasi ni hygene mbaya, uchafu wa mazingira, mwili na chakula. Hata kama madaktari waliufahamu lakini the medical establishment haikuwahi kupata uzoefu wa awali kulishughulikia tatizo at a large scali. Na ndiomaana watu waliambukizwa sana na hatua za kwanza zilikuwa quaranteen, ili seheme zilizopta huo ugonjwa, watu wasisafiri kuupeleka sehemu nyingine nchini.
Tulioongea na Dr Kasambala kama nilivyosema, yeye alisema "cholera is here to stay". Maneno hayo yalikuwa mazito lakini kweli.
Uchafu wa mazingira, maji, mwili na chakula mijini si upo tu, bali umeongezeka. Lakini elimu na mbinu za ku contain ugonjwa huo wa mlipuko umeongezeka pia.
Ilitokea nini akaamua kuhamia USA?
By that time, tulikuwa na pathologist wawili tuu!. Sisi tuliosoma Tambaza tulikuwa tunamuona sana mitaa ya around Muhimbili, alikuwa ni kichwa sana!,
Taarifa ya Familia
Wanajumuia,
Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo siku ya Jumanne tarehe 5 December 2023, muda wa saa 2:30 usiku saa za Marekani (Central Eastern Time) Chicago. Habari zaidi za maandalizi ya mazishi zitatumwa baadaye. Mzee alikuwa akiuguzwa na watoto wake Stella na Anale Shaba kwa muda mrefu. Mungu aipumzishe roho ya mzee wetu mahali pema peponi.
Kwa mtakawatoweza kuawasiliana au kwenda kuwaona Stella na Anale Shaba (Watoto wa Marehemu) na Wana Chicago wenzetu mnaweza kusailiana nao kwa kupitia namba ya simu hapo chini au kwenda kuwaona nyumbani kwao:
Anale Shaba: (847) 525-9224
4151 N. Richmond
Chicago, IL 60618
“Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.”
NB: Uongozi wa TCA tutaendelea kutoa updates.
ila pia...
RIP Prof. James Shaba.
Pombe haina madhara wewe kama inakutana na chakula cha maana tumboni haina madhara kabsaDuh huyu mzee inaonekana alikuwa mlevi tokea miaka ya 70 huko tena wa pombe kali sana maana anasemwa waziwazi. Najiuliza ikawaje aishi hadi leo 2020s. Kwa jinsi anavyosifiwa humu kwa kilaji basi alikuwa analewa kila siku tena chakariiiii...Najiuliza bado aliwezaje kudumu hivyo???
Hivi ni kweli ile postm--- ilirudiwa tena na dr palanjo???
Thats the Prof Shaba I know, kwa mara ya kwanza tulionana katika mazingira nimeeleza huko nyuma, tukawa na maongezi mazuri sana yaliyofanya nisimsahau, he left me a good impression.He
Prof Shaba, alikuwa mtu muungwana mno. Hakuwahi kuwa na majivuno ya aina yoyote, a very simple man, mpenda utani na always kicheko kipo mdomoni mwake. Pia alikuwa Mwalimu mzuri sana katika fani yake. Alikuwa na marafiki wa cadre zote hasa wahudumu ambao alipenda kutaniana nao. Nakumbuka ofisi yake pale Central Pathology Laboratory (Histology) alikuwa hakosi wageni wa kwenda kumsalimia na kupata matibabu.
Tuliwahi kumuuliza kama haogopi cancer ya mapafu kutokana na uvutaji mwingi wa sigara akajibu kwani nikifa kwa malaria mapafu yangu yatakuwa na kazi gani?
Pumzika kwa amani Profesa James Shaba, Nguli wa Pathology.
Mwananzengo, mazee alikuwa sharp!Yes they are brothers, na wana Dada yao kifaa kweli kweli!, Mzee Mayalla akiwa RSO wa Mtwara, (Wazee wa Kisukuma hawazeekagi), si macho ya Dingi yakaispot, kufunga kufungua kabinti kakajiriwa Idara, mara paap!, kidume hicho!, kikapewa jina la ..., Dingi akahamishiwa Mwanza, huko ikamkuta ile soo ya 1976!, baada ya soo kuisha 1980 si dingi akatia timu kumdai mwanae!, ndipo akaambiwa hao ni wa Makua, ni matrilinier, watoto ni mali ya Mama na wanatumia jina ubini wa kikeni!. Hata che Nkapa ni ubini wa kikeni!. Katika vitu vingumu Msukuma kuelewa ni damu yake kuibiwa na Mwanamke!. Hivyo mimi tuna undugu na kina Shaba, huyo dogo wetu tutamsaka kumkomboa tumrudishe Usukumani!.
P