The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Professor Jeffrey Sachs ni mtu anaeheshimika Sana Marekani..
Serikali ya Marekani imejaa wanafunzi wake...juzi amesema Washington imejaa wanafunzi wangu waliofeli 😃..
The most interesting part ni kuwa interview yake aliyomponda sana Netanyahu akihojiwa na Republican favourite Carlson Tucker..imekuwa gumzo zaidi baada ya Rais mtarajiwa wa Marekani Donald Trump kushare pictures ya hiyo Interview kwenye social media.. inasemaekana kitendo hiko kimemkasirisha Sana Netanyahu kiasi ame cancel kuhudhuria sherehe za kumuapisha Donald Trump..
Hata hivyo Donald Trump anatazamiwa kushindwa kabisa kupambana na '"The powers Israel Lobby" maarufu kama AIPAC na huenda akaendeleza Sera zile zile za "Israel has the right to defend itself" hata kama wanafanya offensive operations na sio defence......
Coming few months zinasubiriwa Kwa hamu kuona Trump ataenda vipi...kuhusu Ukraine na Gaza ambako kote kuna vita ambayo inaleta "biashara kubwa Sana Kwa mabepari na wawekezaji" wakubwa ambao wana fund karibu bunge lote...huku wananchi Wengi wakianza kuuliza maswali..
Very famous film director Oliver' Stone aliwaita wabunge wa Marekani..wote kuwa ni kama "mbwa ' Kwa kitendo Chao cha kushangilia hotuba ya Netanyahu..
Watu very influential wanaanza uliza maswali magumu...ukiacha professa Sachs...Kuna Myahudi maarufu sana anaitwa Norman Finkelstein nae anapinga Sera za Netanyahu na yuko vocal sana...
Mwingine ni Professor John Mearsherimer...huyu ni msomi maarufu sana alieandika vitabu vya kuheshimika mwenye wanafunzi wengi serikali ya Marekani.....halafu kuna Scott Ritter aliekuwa anaongoza kukagua silaha za maangamizi Iraq huyu amefikia kusema Marekani ni kama mwanamke Malaya Kwa Israel.. 😃....
Asilimia kubwa sasa hivi ya Wamarekani wanaamini wanatoa hela nyingi Sana Kwa Israel na Ukraine bila sababu za maana...
Hata janga la Moto huko California utaona comments nyingi zina kejeli serikali..."send more bilions to Ukraine '. Au "Ask Israel if they are ok or they need another billions...'"..
Inaaminika kuwa hata Trump moyoni hataki vita popote iwe Gaza au Ukraine na hataki pesa za Wamarekani zipelekwe huko but "Hana ubavu wa kuzuia "Powerful Israel Lobby"..
Rais alie wahi kuwaambia wayahudi wa Marekani wajiandikishe kama raia wa kigeni na kujaribu kukataa "maelekezo ya CIA" kuhusu "false flag" za kuua raia wa Marekani...John Kennedy aliishiwa kuuwawa na hadi Leo hakuna Rais aliewakatalia "powerful Zionists" what they want...tusubiri tuone