Professor Jeffrey Sachs: Marekani inapigana vita vya Netanyahu

Anachokifanya Netanyahu lipo kwenye mfumo. Yeye sio mwanzilishi bali muendelezaji. Unayakumbuka mauaji ya Sabra na Shatira? Yaliongozwa na Mwamba Ariel Sharon. Waarabu walimlaani vizazi na vizazi. Je, unamkumbuka Golder Mier? Ana tofauti na Netanyahu? Kwa taarifa yako, Trump anaweza kujifanya jeuri dhidi ya Israel kwa miaka minne tu, lakini Israel inatarajiwa kuwepo miaka zaidi ya milioni ijayo! Ushanfahamu!?
Trump ni very strong supporter wa Israel maadui wa Israel na hasa Iran watapigika sana miaka minne ya Trump.
 
Kwa kifupi sana Utawala wa Trump unaenda kuiparalyse Iran vibaya sana.
Trump anaenda kuhuisha agano kati ya Israel na US ambalo limelegalega sana kipindi cha Biden. US na Israel wanaenda kushikamana kuliko kipindi cha Biden. Migaidi ya M.E itapokea kipigo kibaya sana toka US ya Trump.
Kwa kifupi ile heshima ya US kijeshi itarudi vizuri sana chini ya utawala wa Trump.
Kuhusu Ukraine sijui.
Hawa jamaa wanajiokotea articles za Wakomunisti wenzao, ambao wamejaa chuki dhidi ya Israel ndo wanataka kutuaminishia hapa. Against all odds, Islamists wao ambao wamepata free ride mgongoni mwa Wakomunisti wote wakiichukia Israel, hawatashinda.
Sasa hivi kuna limjamaa jingine linajichanganya ktk hii chuki dhidi ya Israel, linaitwa Racep Edogan. Linga ya kuwa na Jeshi kubwa, ajue ataaibika kama alivyoaibika Iran. Urusi naye his days are numbered
 
Mi nilishasema na nina amini kuna uwezekano mkubwa Hitler hakuwa mtu mbaya kama tunavyoaminishwa.
Hitler hakuwa mwehu akaamka asubuhi na kuanza kuwapiga vita jews, alikuwa na akili nyingi , huwezi kusema mtu aliyeongoza vichwa vyote vile Germany kuanzia wanasayansi, engineers na wasomi nguli kwamba alikuwa mtu wa kawaida.

Tujaribu kuchimba vitu ukweli wa mambo tutaufahamu.
Huu ujinga wanaoufanya sasa jews kwa US state, inawezekana walianza kufanya hivyo hivyo kwa serikali za EU hapo zamani...
 
Wamarekani wanapiganishwa vita za mazayuni halafu wakirudi wengi wanapata ma PTSD na wengine kujiua au kufa kwa msongo wa mawazo au kutumia madawa au kuwa walevi kupindukia. Serikali zao zinawatupa baada ya kuwatumia kuua watu wasio na hatia kwa maslahi ya mazayuni.
 
Mi nilishasema na nina amini kuna uwezekano mkubwa Hitler hakuwa mtu mbaya kama tunavyoaminishwa.
Hitler hakuwa mwehu akaamka asubuhi na kuanza kuwapiga vita jews, alikuwa na akili nyingi , huwezi kusema mtu aliyeongoza vichwa vyote vile Germany kuanzia wanasayansi, engineers na wasomi nguli kwamba alikuwa mtu wa kawaida.

Tujaribu kuchimba vitu ukweli wa ambo tutaufahamu.
Huu ujinga wanaoufanya sasa jews kwa US state, inawezekana walianza kufanya hivyo hivyo kwa serikali za EU...
Wayahudi walifukuzwa nchi 109 kabla ya ujerumani... actually hata Hitler alikuwa rafiki yao..mkubwa na insemekana wanafanya propaganda kuwa Hitler alikuwa mtu mbaya...wakati inasemekana walikuwa na Makubaliano na Hitler kuwa watoe support Kwa Nazi Germany watapewa Taifa lao..
Imasemekana hata zile zinazoitwa concentrations camps ilikuwa Hitler aliwakusanya awatafutie nchi ...na kila nchi ikawa inawakataa... including USA...Rossevelt alikataa kabisa wasipelekwe USA ndo wakaenda Palestine kama wakimbizi the rest is history..
 
Hawa jamaa wanajiokotea articles za Wakomunisti wenzao, ambao wamejaa chuki dhidi ya Israel ndo wanataka kutuaminishia hapa. Against all odds, Islamists wao ambao wamepata free ride mgongoni mwa Wakomunisti wote wakiichukia Israel, hawatashinda.
Sasa hivi kuna limjamaa jingine linajichanganya ktk hii chuki dhidi ya Israel, linaitwa Racep Edogan. Linga ya kuwa na Jeshi kubwa, ajue ataaibika kama alivyoaibika Iran. Urusi naye his days are numbered
Unasoma habari kimhemko sana
Erdogan kashirikiana na israel Syria...na ni mshirika WA NATO na USA na uturuki wanafanya mazoezi na Israel daily...hakuna kitu kama communists... jielimishe kwanza...
Sera za wanaotaka free health care Kwa kila mtu Marekani zinatekelezwa Israel... Israel ni free health care Kwa kila mtu...wakati wanao demand hizo policy USA wanaitwa communists...jielimishe bila kuwa na mihemko... Jeffery Sachs ni pro capitalism...pro businesses worldwide
 
Aisee..
Sasa kwanini wakaanza kumchafua na kumtungia tena story Hitler?
 
Wayahudi walifukuzwa nchi 109 kabla ya ujerumani... actually hata Hitler alikuwa rafiki yao..mkubwa na insemekana wanafanya propaganda kuwa Hitler alikuwa mtu mbaya...wakati inasemekana walikuwa na Makubaliano na Hitler kuwa watoe support Kwa Nazi Germany watapewa Taifa lao..
Imasemekana hata zile zinazoitwa concentrations camps ilikuwa Hitler aliwakusanya awatafutie nchi ...na kila nchi ikawa inawakataa... including USA...Rossevelt alikataa kabisa wasipelekwe USA ndo wakaenda Palestine kama wakimbizi the rest is history..
Wayahudi walirudi Israel kwa kuwa ni kwao hivyo huwezi sema eti walirudi kama wakimbizi. Najua hii ni historia ya uwongo ambayo watu wa mrengo ule mmekariri.
 
Hawa jamaa wanajiokotea articles za Wakomunisti wenzao, ambao wamejaa chuki dhidi ya Israel ndo wanataka kutuaminishia hapa. Against all odds, Islamists wao ambao wamepata free ride mgongoni mwa Wakomunisti wote wakiichukia Israel, hawatashinda.
Sasa hivi kuna limjamaa jingine linajichanganya ktk hii chuki dhidi ya Israel, linaitwa Racep Edogan. Linga ya kuwa na Jeshi kubwa, ajue ataaibika kama alivyoaibika Iran. Urusi naye his days are numbered
Muwe mnajielimisha sikikiliza hii interview...ya Piers Morgan na Dan Bilzerian...itafute YouTube...
 
Wayahudi walirudi Israel kwa kuwa ni kwao hivyo huwezi sema eti walirudi kama wakimbizi. Najua hii ni historia ya uwongo ambayo watu wa mrengo ule mmekariri.

Jielimishe...halafu usifikiri wayahudi ni wakristo...au wanamuamini Yesu...
Wayahudi picha zao wakienda Palestine kama wakimbizi zipo go search hata passport zao za kwanza zilikuwa Passport za Palestine. ...
Benki Yao ya kiyahudi ilikuwa inaitwa Anglo -Palestine Bank...nenda Google uka search ilikuwaje benki ya kiyahudi iitwe Anglo -Palestine Bank
 
Tatizo lako umehadithiwa na kusoma vijarida na viarticle feki vilivyojaa mtandaoni basi unaona umeelimika na tena kwa uelewa wako duni si ajabu unaijua Israel hii ya zion movement ya juzjuz pole sana kwa uelewa wako duni kama unataka kuujua ukweli jifunze why Irsael ilianzishwa na na nini yatakayotokea siku zijazo.
 
Hata huyo Piers Morgan, ameathiriwa na Muslim brotherhood effect, inakuwa kwao rahisi ku vilify Israel, ila wanaogopa kuwa branded islamaphobic endapo wata criticize uislam
 
Unasoma habari kimhemko sana
Erdogan kashirikiana na israel Syria...na ni mshirika WA NATO na USA na uturuki wanafanya mazoezi na Israel daily...hakuna kitu kama communists... jielimishe kwanza...
Sera za wanaotaka free health care Kwa kila mtu Marekani zinatekelezwa Israel... Israel ni free health care Kwa kila mtu...wakati wanao demand hizo policy USA wanaitwa communists...jielimishe bila kuwa na mihemko... Jeffery Sachs ni pro capitalism...pro businesses worldwide
Wewe ndiyo haujui kilichojificha nyuma ya islamists na washirika wao soshalists.
Na wala haujui kuwa Turkey ya Edogan ndiyo ikishirikiana na Qatar wanawasaidia muslim brotherhood. Sasa hivi ndiyo wanaenda kufichuliwa. Na hawataishinda Israel
 
Trump ni very strong supporter wa Israel maadui wa Israel na hasa Iran watapigika sana miaka minne ya Trump.
Trump ni pro-Israel kuliko Biden. Natarajia support kubwa ya Trump kwa Israel na hasara kwa maadui wa mazayuni.
Jipeni moyo, Trump ni kama kitenesi, mtu yoyote anaye sema anaweza ku mpredict anadanganya.

1. Trump alikua na urafiki na Netanyahu ila Netanyahu akamsaliti, Biden alivyoshida cha kwanza alimpongeza Biden na kumchunia trump. Hii interview ya Trump mwaka 2021 wakati ana makesi yake

I liked Bibi. I still like Bibi. But I also like loyalty,” Trump told Axios in 2021, using a nickname for the Israeli PM. “The first person to congratulate Biden was Bibi. And not only did he congratulate him, he did it on tape,” Trump continued, adding: “I haven’t spoken to him since. F**k him.”

2. Trump
Ameshamwambia Netanyahu akiingia madarakani vita viwe vimeisha

Trump has publicly called on Israel to “finish up” the war. During a meeting with Netanyahu at the Republican’s Mar-a-Lago estate in October, then-candidate Trump reportedly told the Israeli premier that he wanted to see the conflict resolved by the time he takes office later this month.

Pia aliwaambia Hamas

The incoming president has also warned Hamas that there will be “all hell to pay in the Middle East” if the Palestinian militants do not free their remaining Israeli hostages before inauguration day.

Cha Ajabu watu wana translate haya kama Ana wasuport Israel kwenye Vita.

3. Nentanyahu hatashiriki kwenye Uapisho wa Trump, kwa maneno yake mwenyewe akikiambia chimbo cha habari cha Israel

Netanyahu will not attend Trump’s inauguration, an aide to the PM told the Times of Israel on Thursday, without commenting further.

4. Biden anaforce kusaini mikataba kibao kuisaidia Israel sasa hivi zaidi ya $8B zimesainiwa ingekua kweli Trump anakuja kuwasaidia kwa nguvu kuliko Biden why waharakishe sasa hivi?

5. Kauli ya Trump kwamba Los angels inaungua sababu Marekani inasaidia vita hali ya kuwa hawana hela za kukabiliana na majanga pia inaonesha akiingia madarakani anakata mirija.

Mkuu Hammaz The Boss hii video Trump ameishare mwenyewe kwenye social Media yake ya truth, na yeye anakubaliana na hichi, labda tu hio deep state yao ianze kuzingua.
 
Kwa kifupi sana Utawala wa Trump unaenda kuiparalyse Iran vibaya sana.
Trump anaenda kuhuisha agano kati ya Israel na US ambalo limelegalega sana kipindi cha Biden. US na Israel wanaenda kushikamana kuliko kipindi cha Biden. Migaidi ya M.E itapokea kipigo kibaya sana toka US ya Trump.
Kwa kifupi ile heshima ya US kijeshi itarudi vizuri sana chini ya utawala wa Trump.
Kuhusu Ukraine sijui.
Usa hii iliyoparanganyika .. atafanya kipi ambacho biden hajakifanya .. na akiaenda kichwa kichwa ataiumiza hiyo israel na na usa tenyewe kila mtu anamzoom tu . Kwa sasa kuna brics watu wanafanya biashara kama kawaida hii sio miaka 2000 amanYo usa alikuwaa so powerful
 
Back
Top Bottom