Professor Jeffrey Sachs: Marekani inapigana vita vya Netanyahu

Professor Jeffrey Sachs: Marekani inapigana vita vya Netanyahu

Huo ndo ukweli mchungu sana kwa Palestine na Supporter wao hasa Iran wanaenda pata hasara.
Endelea kuota na Support yako IRAN inalidwa na technology sio Mahaba ya Tramp au Netanyahu Wairan walishajikomboa akuna Wakuwazuiya!!
 
IRAN Umejichanganya uyo Tramp ataigusa iyo Nchi Toka kuumua yule kamanda wa IRAN misukosuko aliopitia na Bado anajua Wairan Wanamuinda tena Awachokoze !!!!!

Chengine IRAN ana technology kubwa ya kisasa kwenye Makombora yao ambayo Marekani awana inawatatiza!! Ukiacha mahaba yako kwa Israel!!!!

unajua Telaviv ilikuwa Ikipigwa na technology ya IRAN wameshindwa kuizuiya!! Alafu tena Wakamchokoze kama ndio Ndoto yako ata Netanyahu na Tramp wanaiyo ndoto akilini mwao!!!

lkn IRAN awezekani kwasasa Adi Wawajue Technology yao na watest wanaweza kweli mzibiti!!

ndio Wamchokoze kwasasa Chini ya Tramp kunauwezekano mkubwa kuundwa Taifa la Palestina tofauti na kile Tramp anakiongea kwenye MEDIA Wasomi wengi kwasasa Marekani wanaunga mkono Palestina iwe Taifa!!
kuendelea kuwauwa Wapalestina kwasasa kutaatalisha Usalama wa Marekani!!!! Washafanya Tasmini ali ni tete ndani yao Wenyewe!
Pole kobaaaz muda ukifika utaelewa vizuri tu
 
Kwa maana hiyo wote tunakubaliana kuwa Israel ndio baba lao si ndio?
Sasa mbona kila siku mnamkosea heshima na kumfananisha na vinyago vya Iran
Sasa kuimiliki Marekani ndio kumiliki na Iran !!!! Ndio MJUE kumbe Israel ndio Marekani ile mambo ya Vita siku 6 eti nani nanani haaa!!!! Warabu na Israel kuwashinda siku6!!!!!!
ile Vita ilikuwa ni Marekani UK France vs nchi 3 za kiarabu tu

. pia ndio mjue nguvu ya Israel uko Marekani na Pata picha Iran ina Suppot Vita vinavyowauwa Jewish apo Israel piga Esabu wewe Jewish wangapi Wameuwawa tangu na tangu adi sasa!!!!

Akili yako rudi nyuma kukumbuka kumbe Jewish ndio wananguvu sana Pale Marekani miaka na miaka kwanini sasa IRAN isivamiwe tangu apo sio sasa

jua IRAN INANGUVU IRAN ndio Baba wa technology technology ilikuwa tu inaibiwa kwao lkn MEDIA zimetupumbaza sana sasa Nani Ataigusa IRAN ukweli tumejua Israel ndio Marekani

tujiulize kwanini Wanaiyogopa Iran !!!?????? Kisa ya Iraq kupigwa Kambi zake Marekani mnakumbuka!!! Na Tramp mnakumbuka ile siku Tramp anasema kilakitu kiko sawa!!!! Ulimuona Usoni alivovimba Tramp unajua kwann!!!!!

Uyo Tramp akujua chochote kuusu IRAN sasa ndio aliambiwa Baada ya kutaka kuishambulia Iran kugomewa na kupewa Ukweli toka Apo adi Sasa Tramp anaiyogopa Iran Vibaya!!
na anajua watakuja kumuua !!! Endeleani kuota lkn Marekani ataigusa Iran wala Wapalestina awaamishwi popote!
 
Pesa wanazo lkn TATIZO SASA NI technology Ushawishi pia Sasa marekani unayoyoma tunaona anavojitoa kwenye kusaidia Mashilika makubwa ya kimataifa ndio pia Ushawishi wake unavyoyoyoma

Ulaya zama walikuwa Wanasupport Israel sana namaanisha Wananchi lkn Leo sio jana tena Ulaya wamedhidi kuwachukia waisrael FAKE ! Mlokole punguza kuichukia IRAN

IRAN ndio tegemeo la Ulimwengu unao onewa kwasasa nguvu za Iran ni nguvu zako pia ww Sababu Iran achagui Dini ktk kutoa Support kwa wenye kuonewa duniani ipo mifano kibao Venezuela Zimbabwe Tanzania hii Iran ndio anatudai Deni kubws kuliko Wazungu wote pamoja na Marekani yake!!!!

Lkn yupo kimyaa ana mikelele kutudhalilisha. Uyu ndio rafiki w kweli kwetu sote punguzeni ujinga walokole, misaada yake imetusaidia sote pamoja nww Mlokole wa Kitunda Pugu kwimba kiteto.
 
Back
Top Bottom