Jipeni moyo, Trump ni kama kitenesi, mtu yoyote anaye sema anaweza ku mpredict anadanganya.
1. Trump alikua na urafiki na Netanyahu ila Netanyahu akamsaliti, Biden alivyoshida cha kwanza alimpongeza Biden na kumchunia trump. Hii interview ya Trump mwaka 2021 wakati ana makesi yake
I liked Bibi. I still like Bibi. But I also like loyalty,” Trump told Axios in 2021, using a nickname for the Israeli PM.
“The first person to congratulate Biden was Bibi. And not only did he congratulate him, he did it on tape,” Trump continued, adding:
“I haven’t spoken to him since. F**k him.”
2. Trump Ameshamwambia Netanyahu akiingia madarakani vita viwe vimeisha
Trump has publicly called on Israel to
“finish up” the war. During a meeting with Netanyahu at the Republican’s Mar-a-Lago estate in October, then-candidate Trump reportedly told the Israeli premier that he wanted to see the conflict resolved by the time he takes office later this month.
Pia aliwaambia Hamas
The incoming president has also warned Hamas that there will be
“all hell to pay in the Middle East” if the Palestinian militants do not free their remaining Israeli hostages before inauguration day.
Cha Ajabu watu wana translate haya kama Ana wasuport Israel kwenye Vita.
3. Nentanyahu hatashiriki kwenye Uapisho wa Trump, kwa maneno yake mwenyewe akikiambia chimbo cha habari cha Israel
Netanyahu will not attend Trump’s inauguration, an aide to the PM told the Times of Israel on Thursday, without commenting further.
4. Biden anaforce kusaini mikataba kibao kuisaidia Israel sasa hivi zaidi ya $8B zimesainiwa ingekua kweli Trump anakuja kuwasaidia kwa nguvu kuliko Biden why waharakishe sasa hivi?
5. Kauli ya Trump kwamba Los angels inaungua sababu Marekani inasaidia vita hali ya kuwa hawana hela za kukabiliana na majanga pia inaonesha akiingia madarakani anakata mirija.
Mkuu
Hammaz The Boss hii video Trump ameishare mwenyewe kwenye social Media yake ya truth, na yeye anakubaliana na hichi, labda tu hio deep state yao ianze kuzingua.