Tulia uione hiyo namna ya kumaliza vitaMsimamo wa Trump ni kumaliza vita mashariki ya kati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia uione hiyo namna ya kumaliza vitaMsimamo wa Trump ni kumaliza vita mashariki ya kati.
WaIsrael mwaka 1948 walikubali Palestina igawanywe mataifa mawili nusu kwa nusu lakini Wapalesina wakihamasishwa na waarabu wengine wakakataa wakidai Palestina YOTE ni yao na hakuna kuigawa, Israel ikachukua nusu yake ikaweka kibindoni halafu ikaanza kujiimarisha na ma-settlers wakaanza kuchukua kidogo kidogo na hiyo nusu nyingine Wapalestina waliyogomea ambayo ilibaki kama haina mwenywe. Miaka ya 1960 Israel wakakubali tena kuwarudishia Wapalestina sehemu kubwa tu ya ardhi yao iliyochukuliwa tangu walipogomea kwa mara ya kwanza nusu yao lakini wapalestina tena bado wakakata wakasema wanataka nchi yote! Kilichotokea tangu hapo imebaki ni historia ya kusikitisha sana kwa vizazi vilivyofuata vya Palestina vilivyoponzwa na babu zao wenye akili ndogo walioshindwa kusoma alama za nyakati, na kinachogombaniwa zaidi eti ni hiyo Jerusalem!Kwani hio Nchi kaipataje?
Jews walikuwepo Palestina hata kabla ya Ashkenazi kufika hapo Palestina na walikua na maeneo yao na wakristo na waisilamu wana maeneo yao wana exist kwa amani, wao ndio walioanzisha vita na kupora Ardhi za watu.
Lebanon hapo kuna Civil war muda mrefu su sababu ya Intervention ya Israel, mpaka Hezbollah wamekuwa founded sababu ni kuwa toa Israel kwenye Ardhi ya Lebanon.
We bakia na ngano zako uzuri historia ya wayahudi/Israel ipo vizuri sana na haina konakona hata kidogo kwa anayetaka kuijua na kuithibitisha katika vipimo vyovyote vile. Ila kwa anayetaka kulishwa matango pori kama wewe, matango pori yamejaa kibao na ndiyo hayo unayoandika humu jukwaani mara kwa mara.Why ni Apple na Muwa?
Mzaramo (mweusi)
Ashkenazi (mzungu)
Wote sio native wa hilo eneo, wote wana dini ambayo native wake ni Middle East ni Apple to Apple Comparison.
Na sio ngano bali ni ukweli ambao
1. Intellectual wote wa KI Ashkenazi wanakubali kule sio kwao kina Chomsky na wengineo
2. Tafiti za Sayansi zote kuanzia Havard na vyuo mbalimbali Duniani.
Wanaoclaim Ashkenazi pale ni kwao ndio hawana ushahidi wowote.
Kwa nini mkuu? What happened to Roman Abromavichi fatilia upate ukweli walifanya mpaka pesa ya muingerza ikapotea kwenye mzungukoHizi hazina tofauti na hadithi za Abunuwasi,
Why wagawane? Leo wakija watu tugawane Tanzania utakubali?WaIsrael mwaka 1948 walikubali Palestina igawanywe mataifa mawili nusu kwa nusu lakini Wapalesina wakihamasishwa na waarabu wengine wakakataa wakidai Palestina YOTE ni yao na hakuna kuigawa, Israel ikachukua nusu yake ikaweka kibindoni halafu ikaanza kujiimarisha na ma-settlers wakaanza kuchukua kidogo kidogo na hiyo nusu nyingine Wapalestina waliyogomea ambayo ilibaki kama haina mwenywe. Miaka ya 1960 Israel wakakubali tena kuwarudishia Wapalestina sehemu kubwa tu ya ardhi yao iliyochukuliwa tangu walipogomea kwa mara ya kwanza nusu yao lakini wapalestina tena bado wakakata wakasema wanataka nchi yote! Kilichotokea tangu hapo imebaki ni historia ya kusikitisha sana kwa vizazi vilivyofuata vya Palestina vilivyoponzwa na babu zao wenye akili ndogo walioshindwa kusoma alama za nyakati, na kinachogombaniwa zaidi eti ni hiyo Jerusalem!
Mkuu inawezekana Hao Israel ndio Wanaoweka Viongozi wa Marekani Madarakani!, ndio Maanw inakuwa ngumu kutowasikiliza! Fanya Tafiti juu ya Hili!Professor Jeffrey Sachs ni mtu anaeheshimika Sana Marekani..
Serikali ya Marekani imejaa wanafunzi wake...juzi amesema Washington imejaa wanafunzi wangu waliofeli 😃..
The most interesting part ni kuwa interview yake aliyomponda sana Netanyahu akihojiwa na Republican favourite Carlson Tucker..imekuwa gumzo zaidi baada ya Rais mtarajiwa wa Marekani Donald Trump kushare pictures ya hiyo Interview kwenye social media.. inasemaekana kitendo hiko kimemkasirisha Sana Netanyahu kiasi ame cancel kuhudhuria sherehe za kumuapisha Donald Trump..
Hata hivyo Donald Trump anatazamiwa kushindwa kabisa kupambana na '"The powers Israel Lobby" maarufu kama AIPAC na huenda akaendeleza Sera zile zile za "Israel has the right to defend itself" hata kama wanafanya offensive operations na sio defence......
Coming few months zinasubiriwa Kwa hamu kuona Trump ataenda vipi...kuhusu Ukraine na Gaza ambako kote kuna vita ambayo inaleta "biashara kubwa Sana Kwa mabepari na wawekezaji" wakubwa ambao wana fund karibu bunge lote...huku wananchi Wengi wakianza kuuliza maswali..
Very famous film director Oliver' Stone aliwaita wabunge wa Marekani..wote kuwa ni kama "mbwa ' Kwa kitendo Chao cha kushangilia hotuba ya Netanyahu..
Watu very influential wanaanza uliza maswali magumu...ukiacha professa Sachs...Kuna Myahudi maarufu sana anaitwa Norman Finkelstein nae anapinga Sera za Netanyahu na yuko vocal sana...
Mwingine ni Professor John Mearsherimer...huyu ni msomi maarufu sana alieandika vitabu vya kuheshimika mwenye wanafunzi wengi serikali ya Marekani.....halafu kuna Scott Ritter aliekuwa anaongoza kukagua silaha za maangamizi Iraq huyu amefikia kusema Marekani ni kama mwanamke Malaya Kwa Israel.. 😃....
Asilimia kubwa sasa hivi ya Wamarekani wanaamini wanatoa hela nyingi Sana Kwa Israel na Ukraine bila sababu za maana...
Hata janga la Moto huko California utaona comments nyingi zina kejeli serikali..."send more bilions to Ukraine '. Au "Ask Israel if they are ok or they need another billions...'"..
Inaaminika kuwa hata Trump moyoni hataki vita popote iwe Gaza au Ukraine na hataki pesa za Wamarekani zipelekwe huko but "Hana ubavu wa kuzuia "Powerful Israel Lobby"..
Rais alie wahi kuwaambia wayahudi wa Marekani wajiandikishe kama raia wa kigeni na kujaribu kukataa "maelekezo ya CIA" kuhusu "false flag" za kuua raia wa Marekani...John Kennedy aliishiwa kuuwawa na hadi Leo hakuna Rais aliewakatalia "powerful Zionists" what they want...tusubiri tuone
Israel sio Tanzania, pia Wapalestina wengi ni waarabu wahamiaji kutoka Jordan.Why wagawane? Leo wakija watu tugawane Tanzania utakubali?
Kama haishi basi kulingana na hoja Wamarekani ni kama wanawake malaya wa Israel.Tulia uione hiyo namna ya kumaliza vita
Sasa hivi wangoni wakirudi S.Africa na kusema tumerudi nyumbani kwenye ardhi ya mababu zao jamii inayo ishi A.kusini kwa sasa itawaelewa?WaIsrael mwaka 1948 walikubali Palestina igawanywe mataifa mawili nusu kwa nusu lakini Wapalesina wakihamasishwa na waarabu wengine wakakataa wakidai Palestina YOTE ni yao na hakuna kuigawa, Israel ikachukua nusu yake ikaweka kibindoni halafu ikaanza kujiimarisha na ma-settlers wakaanza kuchukua kidogo kidogo na hiyo nusu nyingine Wapalestina waliyogomea ambayo ilibaki kama haina mwenywe. Miaka ya 1960 Israel wakakubali tena kuwarudishia Wapalestina sehemu kubwa tu ya ardhi yao iliyochukuliwa tangu walipogomea kwa mara ya kwanza nusu yao lakini wapalestina tena bado wakakata wakasema wanataka nchi yote! Kilichotokea tangu hapo imebaki ni historia ya kusikitisha sana kwa vizazi vilivyofuata vya Palestina vilivyoponzwa na babu zao wenye akili ndogo walioshindwa kusoma alama za nyakati, na kinachogombaniwa zaidi eti ni hiyo Jerusalem!
Kwa kuwa wewe umezoea ushabiki hivyo unafikiri kila mtu huwa anaweka ushabiki kwenye anachoandika.Kama haishi basi kulingana na hoja Wamarekani ni kama wanawake malaya wa Israel.
Ndiyo maana umeambiwa usiweke ushabiki sana zungumzia muktada wa hii mada.
Kwani kuwa wahamiaji ni tatizo au kuwa wahamiaji kutoka Jordan kunaondoa haki yao ya umiliki wa ardhi yao?Israel sio Tanzania, pia Wapalestina wengi ni waarabu wahamiaji kutoka Jordan.
1. Si Kweli kwamba Israel na Palestina wana ugomvi miaka mingi bali Palestina ndio Waisrael wa Zamani (Israelites) na hawa wanaojiita leo wayahudi (Sio wote bali Ashkenaz) ni wavamizi wa hilo eneo. So hao wazungu walivyo kuja karne iliopita ndio walioanzisha Ugomvi wa sasa. Wayahudi ambao sio Wazungu kama sepharidic na Mizrahi pamoja na wapalestina, Lebanon, Syria, Jordan Dna zao ni sawa kwa kiasi kikubwa mno na makundi yote haya yanafanana Dna zao na Wayahudi walioishi kipindi cha Yesu wakati Ashkenazi Dna zao zinafanana na Wazungu wengine.Inawezekana tuna tofautiana namna ya kuijua historia ya middle east; nitaeleza ninacho kijua and then you will correct me if I'm wrong; nisingependa kugusia masuala ya dini though sometimes kwa mazingira ya hapo italazimika kama ulivofanya hapo ju. As far as I know, Israel na Wapalestina wamekua na ugomvi karne nyingi zilizopita, wamekua wanagombania ardhi hiyo miaka na miaka, utawala wa Rumi ndio uliwatawanya hawa tunao waita Wayahudi, miaka hiyooo nadhani 100 AD, wachache walibaki lakini wengi walihamia uhamishoni hasa Ulaya na Asia, baadhi walikwenda Ethiopia. Vita ya pili ya dunia na hasa baada ya mauaji makubwa alioyafanya Hitler ndio yalisababisha Wayahudi kurudi nyumbani, nadhani hapa ndio wengi tunajengea hoja kwamba hawa watu ni Wavamizi kwa Palestinians; issue ya Lebanoni is somehow complicated, Hezbollah ni Wapalestina waliojamia huko kama Wakimbizi, hawa walikataliwa na mataifa mengine majirani zao, Lebanon (kama ilivo kawaida ya Wakristo wengi na huruma zao ) waliwapokea, sasa hivi Lebanonies wanajuta sana. Wakati Wayahudi wanarudi nyumbani hawakuingia kwa vita, walikaribishwa na kuuziana viwanja kawaida kabisa, wahafidhina ndio walianza uchokozi na jamaa wakajipanga; yanayo endelea sasa hvi ni matokeo ya kupigana pigana mara kwa mara
Hii ni kauli ya kisiasa ya Netanyahu, Tafiti za Kisayansi zinakataa, wapalestina sio waarabu wa Asili bali ni canaanites na Dna za wapalestina zinafanana na Dna za wakati wa Yesu.Israel sio Tanzania, pia Wapalestina wengi ni waarabu wahamiaji kutoka Jordan.
Yeah, ili tuendelee kuishi kwa amani, ngoja tubaki kila mtu na anavyo elewa.1. Si Kweli kwamba Israel na Palestina wana ugomvi miaka mingi bali Palestina ndio Waisrael wa Zamani (Israelites) na hawa wanaojiita leo wayahudi (Sio wote bali Ashkenaz) ni wavamizi wa hilo eneo. So hao wazungu walivyo kuja karne iliopita ndio walioanzisha Ugomvi wa sasa. Wayahudi ambao sio Wazungu kama sepharidic na Mizrahi pamoja na wapalestina, Lebanon, Syria, Jordan Dna zao ni sawa kwa kiasi kikubwa mno na makundi yote haya yanafanana Dna zao na Wayahudi walioishi kipindi cha Yesu wakati Ashkenazi Dna zao zinafanana na Wazungu wengine.
2. Hezbollah sio wapalestina wala hawana Mahusiano na Palestine, Hezbollah, Houth haya ni makundi ya Kishia yapo Supported na Iran, kuna Wapalestina wengi Lebanon ila hawa ni wakristo na Sunni waisilamu sio Shia.
3. Lebanon hawajuti kuwapokea wapalestina, Chama Cha Lebanon ambacho kipo against Palestine na kinasuport Israel kina wabunge wanne tu NI kama unamuongelea John cheyo Tanzania halafu useme anachorepresent ndio kikubwa zaidi Tanzania. Lebanon vyama vikubwa ni Hezbollah na wakristo wa Maronite na hawa wawili ni Allies wote wana support Palestine na wapo Against Israel.
4. Wayahudi waliondoka Palestina wengi walibaki middle East, Nchi zote hizo za Middle East kama Yemen, Iran, Iraq etc Kuna population za kiyahudi hawa kwa Ujumla wanaitwa Mizrahi jews, ama Jews Waarabu.
Then una sepharidic jews, ambao walienda Ulaya wakawa spain baadae fujo za spain wakaenda North Africa Nchi kama Morocco, Algeria, Tunisia etc.
Makundi yote hayo unayatrace toka makabila 12 YA Israel.
Then kuna Ashkenazi ambao ni wazungu pure, hawana trace toka kabila lolote la Israel kuna Tafiti nyingi mno Ashkenazi ni jews by conversion na sio jews wa kiasili hivyo hawana claim yoyote hapo Palestine. Kuanzia Dna zao kisayansi, culture yao mpaka in compability ya miwili yao haiwezi kuhimili hali ya hewa ya Middle East,
Loading…
www.nytimes.com
Kulikuwa na taifa la Palestina mwaka 1948? Nani alikuwa Mfalme, rais au waziri mkuu wao?Sasa hivi wangoni wakirudi S.Africa na kusema tumerudi nyumbani kwenye ardhi ya mababu zao jamii inayo ishi A.kusini kwa sasa itawaelewa?
Kwani kabla ya kuja wakoloni kulikuwa na taifa limalo itwa Tz au Uganda?Kulikuwa na taifa la Palestina mwaka 1948? Nani alikuwa Mfalme, rais au waziri mkuu wao?
Nani waliwaondoa Wangoni South Africa na nani waliwaondoa WaIsrael Palestina na kuwatawanya sehemu nyingine?
ITR karibu sana kwenye mjadala.Sasa hivi wangoni wakirudi S.Africa na kusema tumerudi nyumbani kwenye ardhi ya mababu zao jamii inayo ishi A.kusini kwa sasa itawaelewa?
Hoja mnazo tumia kuhalalisha yanayo fanywa na Israel ikigeuka kuwa kanuni ya dunia nzima sasa hivi wenda hata unapoishi ww sasa hivi huna haki napo.
Alafu usikalili mambo huwa yanabadilika, mtu aliye ishi miaka 100 iliyo pita na akashuhudia wayahudi walivyo kuwa wanaishi kama mbwa na nguruwe ungemuambia kuwa siku moja wayahudi wata kuja kuwa lulu kwa Marekani na mataifa ya Magharibi angekuona kichaa kabisa.
Au mtoto aliye zaliwa sasa hivi ukimuambia kuwa Iran ndo taifa la kwanza kuitambua Israel kama taifa hapo mashariki ya kati atakushangaa.
Au mtoto aliye zaliwa sasa hivi ukimuambia kuwa Iran na Marekani walisha wahi kuwa washirika na marafiki wakubwa wenda akakuona kichaa na hataamini mpaka atakapo soma history.
Kwa hiyo usishangae miaka 30 ijayo mambo yakawa yako tofauti kabisa na yalivyo sasa duniani.
Ni kweli kabisa hayo unayosema, huyo Hitler sio mwendawazimu. Hata Queen Elizabeth hajawahi kumualika kiongozi yeyote wa Israel kwenye palace yake. Alisema kila muisrael ni either terrorist or son of a terrorist. Cheki hii clip hapo chini waliwafanyia waingereza
View: https://youtu.be/B0UVXx1o8A0?si=c9LYAdYrtF30_n1e
Yoda karibu kwenye mjadala, mkuu The Boss ametisha sana kuanzisha hii mada, japo itakwenda taratibu lakini kuna mengi ya kujifunza pasipo matusi na kejeli.Kulikuwa na taifa la Palestina mwaka 1948? Nani alikuwa Mfalme, rais au waziri mkuu wao?
Nani waliwaondoa Wangoni South Africa na nani waliwaondoa WaIsrael Palestina na kuwatawanya sehemu nyingine?