Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Haya sasa. Professor kawakumbusha jambo muhimu kweli. Tunataka kuiona 'Demokrasia ya Kweli' tunayohubiriwa kila siku humu mtandaoni ikifanyika kwa vitendo.
 
Prof. ndiye alibuni na mwanzilishi wa ukawa. Ana copyright
 

Fedha yaweza sababisha mtu akajisahau kabisa na akakosa Hekima
 
Hili muungano huwe na tija ni lazima kuwe na usawa ndicho anachopigania mzee
Twende taratibu...

Kinondoni CUF wako wangapi na CHADEMA wangapi?

Ubungo CUF wangapi na CHADEMA wangapi?
 
Tuna safari ndefu sana kwa wanasiasa wa aina hii, na usishangae meya wa ubungo akatoka ccm.
 
CCM ndo walio sema kupitia kwa lipumba na kwa jitihada zake mayor atatoka ccm
 
Twende taratibu...

Kinondoni CUF wako wangapi na CHADEMA wangapi?

Ubungo CUF wangapi na CHADEMA wangapi?
Kama ni hivyo kila chama kingekomaa kivyake kulikuwa kuna haja gani ya muungano apo mkuu
 
profesa hajui kwanini cuf ni manaibu meya? ana lake huyo ... yangu macho ... ukawa kwisha
 
kweli kabisa Prof usikubali CUf kutawaliwa na chadema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…