Huu mwaka utabakia daima kwenye historia ya kilele cha Wananchi. Lazima tuingie fainali kwa kishindo. Marumo wakubali tu matokeo.TIMU YETU MDA WETU....there's the chance wananchi we can make it View attachment 2623086
Tumuache kaka akakabe. Tunahitaji wakabaji zaidi. Mana tukiwafinyanga wale Kwa kuwabana hata azizi atapiga mpira nzuri. Maua akae na mudathiri paleMauya achelewagi kutoa pasi mkaa akachomesha. Mauya anakaba ila kutoa pasi sahihi ndio changamoto
Kwahiyo Bangala akae benchi mkuu?Tumuache kaka akakabe. Tunahitaji wakabaji zaidi. Mana tukiwafinyanga wale Kwa kuwabana hata azizi atapiga mpira nzuri. Maua akae na mudathiri pale
Umejipa kazi ya kumfundisha samaki kuogelea.1. Diarra
2. Dickson Job
3. Kibwana Shomari (umkumbushe huyu kijana wako! Mechi iliyopita alikuwa anajisahau sana)
4. Ibrahimu Abdallah (Bacca)
5. Bakary Mwamnyeto
6. Khalid Aucho
7. Abubakary Salum (Sure Boy).
8. Mudathir Yahaya Abbas
9. Fiston Kalala Mayele.
10. Stephano Aziz Kii
11. Farid Mussa Malick.
Sub: Metacha Mnata, Joyce Lomalisa, Juma Shaban, Kennedy Mudonda, Clement Mzize, Tuisila Kisinda, Jesus Moloko, na Yannick Bangala Litombo.
Hiki kikosi kitaisaidia timu kwenye umiliki wa mpira, kuzuia mashabulizi ya Marumo, na pia kwenye counter attack.
Chonde chonde Profesa!!
Moloko na Kisinda wasianze. Maana hawa jamaa siyo wazuri kwenye kumiliki mpira. Wao ni wazee wa mbio tu. Hivyo waingie kipindi cha pili.
Huyu ni "persona non grata" kwa MadibaSimuoni super Ben hapo
Naona Kama Bangala kiwango kimeshukaNawaombea timu ipamgwe hivi;
Diara
Job
Lomalisa
Bacca
Balari
Bangala
Mudathir
Aucho
Mayele
Sureboy
Ki
Mauya wa sasa hivi amebadilika sanaMauya achelewagi kutoa pasi mkaa akachomesha. Mauya anakaba ila kutoa pasi sahihi ndio changamoto
Hakika umenena kifasaha kabisa.Tumuamini kocha tu
Dua zetu tucheze fainali
Na tulete kombe nyumbani
Mauya kabadilika toka siku nabi amewafokea mauya, ambundo na ngushi kuwa hawaongezeki viwango....kweli timu apange kawaida then tuwe na morali na mbinu ya kushinda kuliko kuzuia....lkn ni muhimu tuwaheshimu gallants na first half tuhakikishe hawapati goal. Me naamini mayele atafunga km tukicheza kawaida bila kupack bus lkn nidhamu iwe juu sana...aminiMauya wa sasa hivi amebadilika sana
Ondoa kibwana weka Musonda. Musonda anaweza akarud kukaba nyuma na Lomalisa.KAMA NINGEKUWA KOCHA WA YANGA.
1. Digui Diara.
2. Dickson Job.
3. Joyce lomalisa.
4. Ibrahim Baka.
5. Bakari Nondo.
6. Yanic Bangara.
7. Juma shaban.
8. Khalid Aucho.
9. Fiston Mayele.
10. Mudadhiri yahaya.
11. Kibwana Shomari.
Nimekielewa Sana kikosi chakoKAMA NINGEKUWA KOCHA WA YANGA.
1. Digui Diara.
2. Dickson Job.
3. Joyce lomalisa.
4. Ibrahim Baka.
5. Bakari Nondo.
6. Yanic Bangara.
7. Juma shaban.
8. Khalid Aucho.
9. Fiston Mayele.
10. Mudadhiri yahaya.
11. Kibwana Shomari.