Yanga inabeba kombe hili.Kama una mtazamo tofauti, karibu. Mashabiki wa Yanga tunaitamani sana hii fainali, na ikiwezekana tuchukue kabisa na ubingwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga inabeba kombe hili.Kama una mtazamo tofauti, karibu. Mashabiki wa Yanga tunaitamani sana hii fainali, na ikiwezekana tuchukue kabisa na ubingwa.
Kabisa, Bangala kipindi hiki naona amepoa fulani hivi.Kwahiyo Bangala akae benchi mkuu?
Dah! Naona umeamua kunisagia kunguni. Kwenye ile mechi ukiondoa lile goli alilofunga, ni ukweli uliowazi Aziz Kii hakuwa na mchezo mzuri. Alipoteza pasi nyingi!! Na hakuendana kabisa na kasi ya mchezo kutoka kwa wapinzani.Huu ukocha wako hujauacha tu?
Ile game ya hapa nyumbani ulimwambia Nabi amtoe Aziz Ki anazingua, matokeo yake Aziz Ki ndio akafunga goli la kwanza, leo ndio umekuja na kikosi kizima kabisa kumpangia nani aanze..
Naamini kama akipanga hicho kikosi chako mtafungwa sio chini ya goli nne kwa sifuri.
Duh, mwanangu Kolos si zitakufa kwa kiwewe?Yanga inabeba kombe hili.
YesSijamuona dumbia
So Technical....goodHapo nabi kipindi cha kwanza aende na mfumo wa 3-5- 2 , mabeki watatu job, nondo na baka
Hapo kwenye wachezaji watano Lomalisa na djuma wawe kulia na kushoto kama wingback na wahimizwe kupanda na kushuka kwa wakati alafu mudathiri,aucho na sure boy kati
Mbele hapo hao wawili waanze musonda na mayele ila hapa nabi anatakiwa amtumie musonda kama striker wa mwisho na mayele awe nyuma ya musonda tukiwa tunamiliki mpira na tukiwa hatuna mpira wawe wana press kwa nguvu wote wawili kuanzia kwenye box la adui. Kutoka na kasi ya mayele na uwezo wa kumiliki mechi nabi anapaswa kumuhiz mayele kutoa pasi haraka kwa musonda.
Mechi hii mayele awe nyuma ya mshambiaji wa mwsho na ahimizwe acheze kama kiungo mshambuliaji.
Tukicheza hivi tuna shinda huko huko kwa madiba
Ni suala la muda tu kakaDuh, mwanangu Kolos si zitakufa kwa kiwewe?
[emoji736][emoji736] ukweli mtupuHiyo game kama KISINDA hatoanza hatutoshinda.
Pamoja na mapungufu yake, ila Kisinda ana stamina na Speed huwezi linganisha na FARID MUSSA.
Kisinda ni muhimu kwa game zinazohitaji Counter attack, Kisinda ana ability kubwa ya kupiga chenga kuliko Moloko na Faridi.
Kisinda ana nguvu za kupiga hata nje ya Box.
Kwenye game muhimu Kisinda ametusaidia sana msimu huu, zile game tulizohitaji matokeo zaidi.
Daah aseeh na afadhali hata hujawa kocha. Hiko ndio kikosi gani sasa?KAMA NINGEKUWA KOCHA WA YANGA.
1. Digui Diara.
2. Dickson Job.
3. Joyce lomalisa.
4. Ibrahim Baka.
5. Bakari Nondo.
6. Yanic Bangara.
7. Juma shaban.
8. Khalid Aucho.
9. Fiston Mayele.
10. Mudadhiri yahaya.
11. Kibwana Shomari.