Professor Nabi anza na kikosi hiki kwenye mechi ya marudio dhidi ya Marumo Gallants

Huu ukocha wako hujauacha tu?

Ile game ya hapa nyumbani ulimwambia Nabi amtoe Aziz Ki anazingua, matokeo yake Aziz Ki ndio akafunga goli la kwanza, leo ndio umekuja na kikosi kizima kabisa kumpangia nani aanze..

Naamini kama akipanga hicho kikosi chako mtafungwa sio chini ya goli nne kwa sifuri.
 
Dah! Naona umeamua kunisagia kunguni. Kwenye ile mechi ukiondoa lile goli alilofunga, ni ukweli uliowazi Aziz Kii hakuwa na mchezo mzuri. Alipoteza pasi nyingi!! Na hakuendana kabisa na kasi ya mchezo kutoka kwa wapinzani.

Usisahau wakati anafunga lile goli, tayari alikuwa kwenye mpango wa mwalimu wa kumpumzisha. Maana alitolewa dakika chache tu baadaye.
 
So Technical....good
 
Na pia ni mhimu wachezaji na benchi la ufundi kujifua na kujiandaa vilevile kwa upigaji penati maana chochote kinaweza kutokea huko, ili kupata wapigaji wazuri watano wa mwanzo ambao sio wakubahatisha endapo itatokea.
 
Hiyo game kama KISINDA hatoanza hatutoshinda.

Pamoja na mapungufu yake, ila Kisinda ana stamina na Speed huwezi linganisha na FARID MUSSA.

Kisinda ni muhimu kwa game zinazohitaji Counter attack, Kisinda ana ability kubwa ya kupiga chenga kuliko Moloko na Faridi.

Kisinda ana nguvu za kupiga hata nje ya Box.

Kwenye game muhimu Kisinda ametusaidia sana msimu huu, zile game tulizohitaji matokeo zaidi.
 
[emoji736][emoji736] ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…