Professor Nabi na Morrison hali ni tete CAF CL

Professor Nabi na Morrison hali ni tete CAF CL

feizatoto ndio napenda kweli moyo umuume namna anavyoangalia kwenye luninga wenzake wanapiga boli yeye analamba ice cream na kuimba taarabu. aende kwa sa100 tena akamwambie amsaidie kiwango chake cha mpira.
We jinsia yako sio ya kushadadia nyuzi za kiume
Ona sasa umeanza kutia aibu
 
Kwa mama Samia mbali Sana, aanze kwanza kwa mbulula za kolowizadi zilizomdanganya kwa ushauri na baadae zikaanza kumpigania mitandaoni. Hizi ng'ombe ndio zimemlostisha huyu chalii asilimia Mia

Mama tutamlaumu bure tu
washamsahau
Wabongo sio kabisa
 
Uprofesa ameupatia yanga nakwasasa hana huo uprofesa saiv muite ticha nabi

Uprofesa si mchezo kaka Labda uprofesa WA kupewa.

Uprofesa WA Darasani si mchezo bana.

ELIMU ni Ngumu MNO.
Uprofesa ni kisomo Cha Hali ya Juu kabisa.
 
Back
Top Bottom