Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Pole yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli siipendi hii...!!Mpira una matokeo 3. Ikitokea akatolewa, atajipanga upya kwa msimu ujao.
Wachezaji 10 akiwemo mfungaji na mchezaji bora wa NBCPL,FA Cup pamoja na CAFCC ,Mayele ,wameondoka Yanga pamoja na benchi lote la ufundi,.Lakini bado Gamond anashinda na kuruhusu goli moja kwenye mechi za klmashindano Huku akifunga magoli 21,na kutinga hatua za makundi CAFCL.Bado unaamini katika maneno yako ya kijiwe cha kahawa kwa wazee wabishi tu bila data?huyo gamond anatembelea nyota ya Nabi, ni sawa sa100 anavyotembelea nyota ya jiwe, kila kitu NABI alishaweka yeye anatumia tu.
huo ndio mpiraIkiwa mechi ya pili ya marudiano kati ya Far Rabat na Etoil du Sahel, kocha wa zamani wa Yanga prof Nabi pamoja na mchezaji wa zamani mtukutu Morrison wana kibarua kigumu leo kufuzu michuano ya klabu bingwa hatua ya makundi.
Mechi ya awali iliisha kwa Far Rabat kufungwa goli moja na leo wakiwa nyumbani tayari wameshatanguliwa goli moja na wapo pungufu.
Kama mpira utaisha hivyo, maanake Nabi atakuwa amefundisha misimu zaidi ya mitatu na timu tofauti pasipo kuifikisha timu makundi katika mashindano ya klabu bingwa. Kila la kheri liwe juu yake siku ya leo.
Update
Far rabat wametolewa kwa aggregate ya magoli 3 kwa 1
Pole kwa Nabi na Morrison, huku Yanga imesonga mbele.
Kumrudia ex ni kubeti!Nabi angelijua, asingeondoka Yanga. manake hata gamond ukimwangalia hajavivaa vizuri viatu vyake. wamtimue tu huyu muajentia wamrudishe Nabi.
Mkuu saivi ukitolewa CAFCL ndio basi tena, hakuna nafasi ya kudondokea CAFCC.Nabi hakuondoka vibaya YANGA wanaomsema ni aidha hawafuatilii mpira au upeo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. Alionyesha nia ya kuondoka huku akiwa ameiweka timu sehemu nzuri. Tumpe maua yake na tumtakie kila la kheri katika CAFCC.
Ukitukanwa una anza kujiliza kama malaya elie kopwa uchiKamsaidie Babaako
Hii inaleta maana halisi kuwa mafanikio ya Yanga yanaletwa na muungano wa watu na wala siyo mtu mmoja mmoja pekee Sasa hesabia hao wote wameondoka na huko walipo hawafanyi vyema lakini Yanga bado imara vile vile. Hakuna mkubwa kuliko taasisi ya Yanga.Mazaga zaga yote ya Utopolo yanajipambanua.. Nabi out, kaze hajashinda mechi, mayele magoli sifuri mechi 5, fei, bangala, djuma n.k. wapowapo tu
Si mlikua mna furahi waondoke Yanga ife , mmejifuza nini kutokana na hii story?Mazaga zaga yote ya Utopolo yanajipambanua.. Nabi out, kaze hajashinda mechi, mayele magoli sifuri mechi 5, fei, bangala, djuma n.k. wapowapo tu
Tayari ngao ya Jamii umekosa.Si mlikua mna furahi waondoke Yanga ife , mmejifuza nini kutokana na hii story?
Ngao ya jamii imekoswa ni sawaTayari ngao ya Jamii umekosa.
Kombe la Ligi utakosa pia...
Sema kingine
Kuna Daktari Aucho pale Yanga! Pia unakeleka??Sipendi sana Kusikia NABI ANAITWA PROFESA.
Siku hizi wamama mmevamia mpiraTayari ngao ya Jamii umekosa.
Kombe la Ligi utakosa pia...
Sema kingine
ACHA wivu.Sipendi sana Kusikia NABI ANAITWA PROFESA.
Wewe itakuwa sio mwananchi Bali hupendi mafanikio yake , hii sio comment yenye afya Hata kidogo, vizuri sasahivi yanga inaendeshwa na watu wenye elimu sio Kama zamani zile !huyo gamond anatembelea nyota ya Nabi, ni sawa sa100 anavyotembelea nyota ya jiwe, kila kitu NABI alishaweka yeye anatumia tu.