Profit ni kitu muhimu sana kwenye kuamua biashara ya kufanya, ukiwa na mtaji mdogo epukana na biashara zenye faida chini ya 10%

Kwaiyi mim naefanya kaz ya uwakala, mraji million 5, kamishen laki 3 unanishauri nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…