HABARI WADAU.
TUNAKUMBUSHANA:
RASMI SASA KUWA DV-2025 MPYA INAANZA KUCHEZWA KESHO (JUMATANO) TAR.4/10/2023 nacMwisho itakuwa Tar.7/11/2023
HII NI BAHATI NASIBU AMBAYO UKIIPATA ITAKAKUWEZESHA KUFANYA KAZI, KUSOMA NA KUISHI MAREKANI MAISHA YAKO YOTE.
Tafadhari iwapo unavyo vigezo taarisha picha yako na zile za wanaokubalika kucheza sanjari nawe mapema ili ifikapo tu saa
SITA KAMILI MCHANA,
SAA ZA UKANDA WA MASHARIKI WA AMERIKA (EST) ambapo kwetu sisi Tanzania inakuwa ni
SAA MOJA USIKU basi, Ingia mtandaoni na cheza (Mtandao utafunguka ikitimu tu muda huo kabla ya hapo huwezi.
Nashauri, kabla ya kushiriki pitia kwa umakini maelekezo rasmi ya mwaka huu, pili hakikisha kuwa unavyo vigezo na pia fuata taratibu kama zilivyo ainishwa ili usije ukakwama mbeleni kwa kukosea hapa mwanzoni.
Kumbuka, unaweza kuwa na Bahati ya kuchaguliwa kuendelea na mchakato lakini yapo mambo ukiyakosea hapa mwanzoni yanaweza kukugharimu pakubwa mbeleni.
Taarifa zipo hapa:
www.travel.state.gov
Angalia: DV-2025 PROGRAM Instructions.
Unaweza kunitafuta utakapokwama.
(Maekezo madogo madogo ruksa kunipigia lakini usinipigie ukiniuliza,
"Hiyo program inakuwaje?"
Si rahisi mtu kukuelekeza kila kitu kwa simu ndio maana nasisitiza upitie mwenyewe kutika kwenye
link niliyotoa au pitia nyuzi zangu kadhaa za nyuma ikilazu sana ndipo unitafute.
Ukinihitaji,
kuchezea itakulazimu kufidia muda wangu kwa gharama sa Pesa ya kiuungwana.
Si shauri hata hivyo wewe kutumia mtu mwingine hata mimi vilevile si lazima, kwani kama unajua 'Yai' maelekezo yapo wazi na unaweza kucheza mwenyewe bika shida.
Napatikana kwa namba: +255714591548
Nawasilisha.