Programmers tujadili hapa

Programmers tujadili hapa

Anayeweza kunisaidia Object Oriented Programming anielekeze najifunza python na nime stuck kwenye classes
 
Dah blessed sana na huu uzi. Mimi nna passion sana na mambo ya computers, web development, data science. But bahati mbaya sikuweza kusomea mambo ya computer (IT). Currently nilikua nataka nipige language moja ya programming
Ila kabla ya hivo naomba mnishauri ni language ipi inafaa kwa data science ambayo atleast naeeza kucope nayo. Ujuzi wa computer niko nao, niko vizuri.
Naomba mnisaidie wakubwa. Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Data science ni Python na R
 
Back
Top Bottom