Simba 254
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 2,678
- 1,765
Kwa kimombo tunawaita investorsBarabara ya wachina ndani ya nchi huru ya Kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kimombo tunawaita investorsBarabara ya wachina ndani ya nchi huru ya Kenya
Matofali ni section ya ramp tu. Yaani pale ambapo mwinuko wa barabara unapoanzia matofali hayakwepeki. Mbona hata ubungo ina matofali pale ambapo mwinuko unapoanzia na pale ambapo barabara ya juu inateremka chini kukutana na barabara ya chini? Itakuwa kwamba huelewi hata basic knowledge kama hii?Kwaiyo matofal ndio meshindwa kuyacha kabisa[emoji23][emoji1787][emoji1787] ila iyo project itapendezesh mjiiView attachment 1694969
The guy thinks roads just rise up like magic into bridges and overpasses. Low iq ni mbaya. Hata aibu hana. How can one be so stupid that they can't understand the use of a ramp to connect an overpass to the road.Matofali ni section ya ramp tu. Yaani pale ambapo mwinuko wa barabara unapoanzia matofali hayakwepeki. Mbona hata ubungo ina matofali pale ambapo mwinuko unapoanzia na pale ambapo barabara ya juu inateremka chini kukutana na barabara ya chini? Itakuwa kwamba huelewi hata basic knowledge kama hii?
In their mind huwa wanajua kwamba that section ya ramp imetengenezwa na matofali 😂The guy thinks roads just rise up like magic into bridges and overpasses. Low iq ni mbaya. Hata aibu hana. How can one be so stupid that they can't understand the use of a ramp to connect an overpass to the road.
Shida nae stratagy yake ni kama ya Magu ,kukopa sana ndio kitu naona mnamponda sana huko..Nilisoma kwamba serikali yake inapanga kujenga km 6000 za lami within 3 years to come,aisee kama mkiweza basi hii ni big deal maana hizo km sio mchezoWhy lie Uhuru has done more than any sub saharan president when it comes to Infrastructure. Yani hii second term ameamua kugeuza Kenya kabisa!!!!!
Wekeni picha acheni blaa blaa hii inatusaidia kuwa informedKazi yake Mombasa ndio imenishangaza., road network anayounganisha pale is [emoji91][emoji91][emoji91]., good thing ni kimya kimya., Wacha wamalize tutafungua thread!
Patience, kua mpole, mtashangaa sana.Wekeni picha acheni blaa blaa hii inatusaidia kuwa informed
Wanajua ukweli ni wivu tu, just hating [emoji28][emoji28]In their mind huwa wanajua kwamba that section ya ramp imetengenezwa na matofali [emoji23]
ubungo kuna mayofali wapi ndugu??Matofali ni section ya ramp tu. Yaani pale ambapo mwinuko wa barabara unapoanzia matofali hayakwepeki. Mbona hata ubungo ina matofali pale ambapo mwinuko unapoanzia na pale ambapo barabara ya juu inateremka chini kukutana na barabara ya chini? Itakuwa kwamba huelewi hata basic knowledge kama hii?
They use concrete slabs or concrete blocks ,ubungo kuna mayofali wapi ndugu??
Kwa hivyo ubungo imerise tu from nowhere ikawa flyover from nowhere? Wewe unajua jinsi flyover inavyojengwa? Unapojenga flyover huwezi kukosa kujenga ramp na ramp inajengwa na nini kama si matofali?ubungo kuna mayofali wapi ndugu??
Kwa hivyo ubungo imerise tu from nowhere ikawa flyover from nowhere? Wewe unajua jinsi flyover inavyojengwa? Unapojenga flyover huwezi kukosa kujenga ramp na ramp inajengwa na nini kama si matofali?
With only two Grade separated junctions in the whole of Tanzania, you wouldn't have much variety.hamna tofali ubungo bana,huko kenya labda ndio mnaweka matofali.
hakuna ramp imejengwa na matofali bongo,leta picha.
what is your understanding of "matofali" in this context?ubungo kuna mayofali wapi ndugu??
Have liked vile wakenya walimjibu Balala, hatubebwi ujinga kirahisi[emoji28][emoji1787][emoji23], wengine nawajua kutoka nchi flani wangeshabikia kirahisi sana[emoji28]
blocks za udongo kama zile mmekuwa mkijengea hizo overpass zenu nairobi yote.what is your understanding of "matofali" in this context?
hatufanyi jambo kwa kulazimisha.With only two Grade separated junctions in the whole of Tanzania, you wouldn't have much variety.