Progress ya Nairobi expressway

Progress ya Nairobi expressway

Kwaiyo matofal ndio meshindwa kuyacha kabisa[emoji23][emoji1787][emoji1787] ila iyo project itapendezesh mjii
JamiiForums1037824607.jpg
 
Kwaiyo matofal ndio meshindwa kuyacha kabisa[emoji23][emoji1787][emoji1787] ila iyo project itapendezesh mjiiView attachment 1694969
Matofali ni section ya ramp tu. Yaani pale ambapo mwinuko wa barabara unapoanzia matofali hayakwepeki. Mbona hata ubungo ina matofali pale ambapo mwinuko unapoanzia na pale ambapo barabara ya juu inateremka chini kukutana na barabara ya chini? Itakuwa kwamba huelewi hata basic knowledge kama hii?
 
The guy thinks roads just rise up like magic into bridges and overpasses. Low iq ni mbaya. Hata aibu hana. How can one be so stupid that they can't understand the use of a ramp to connect an overpass to the road.
 
Why lie Uhuru has done more than any sub saharan president when it comes to Infrastructure. Yani hii second term ameamua kugeuza Kenya kabisa!!!!!
Shida nae stratagy yake ni kama ya Magu ,kukopa sana ndio kitu naona mnamponda sana huko..Nilisoma kwamba serikali yake inapanga kujenga km 6000 za lami within 3 years to come,aisee kama mkiweza basi hii ni big deal maana hizo km sio mchezo

Tzn kwa miaka 5 huwa wanajenga less than 5,000km tena ni surface dressing
 
Kazi yake Mombasa ndio imenishangaza., road network anayounganisha pale is [emoji91][emoji91][emoji91]., good thing ni kimya kimya., Wacha wamalize tutafungua thread!
Wekeni picha acheni blaa blaa hii inatusaidia kuwa informed
 
Matofali ni section ya ramp tu. Yaani pale ambapo mwinuko wa barabara unapoanzia matofali hayakwepeki. Mbona hata ubungo ina matofali pale ambapo mwinuko unapoanzia na pale ambapo barabara ya juu inateremka chini kukutana na barabara ya chini? Itakuwa kwamba huelewi hata basic knowledge kama hii?
ubungo kuna mayofali wapi ndugu??
 
ubungo kuna mayofali wapi ndugu??
Kwa hivyo ubungo imerise tu from nowhere ikawa flyover from nowhere? Wewe unajua jinsi flyover inavyojengwa? Unapojenga flyover huwezi kukosa kujenga ramp na ramp inajengwa na nini kama si matofali?
 
Kwa hivyo ubungo imerise tu from nowhere ikawa flyover from nowhere? Wewe unajua jinsi flyover inavyojengwa? Unapojenga flyover huwezi kukosa kujenga ramp na ramp inajengwa na nini kama si matofali?

hamna tofali ubungo bana,huko kenya labda ndio mnaweka matofali.

hakuna ramp imejengwa na matofali bongo,leta picha.
 
hamna tofali ubungo bana,huko kenya labda ndio mnaweka matofali.

hakuna ramp imejengwa na matofali bongo,leta picha.
Basi tueleze ramp ya ubungo imejengwa na nini?
 
Screenshot_2021-02-06-07-05-45-914_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2021-02-06-15-35-02-498_com.facebook.katana.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2021-02-06-15-35-05-155_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2021-02-06-15-35-05-155_com.facebook.katana.jpg
    99 KB · Views: 2
Back
Top Bottom