Inonga vs Sure boy?Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.
Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.
Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera.
Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.
Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.
Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hili tuliona misimu kadhaa nyuma, Yanga walikuwa wanahisi kuonewa kwa kila tukio likitokea ihusisha Simba kuhusika. Sasa Simba imekuwa walalamikaji wakuu tokea msimu ulioisha hadi sasa na hakuna lalamiko lilikuwa na ushahidi. Bahasha, jezi nyeusi, kukamiwa wachezaji wa Simba. Ifikie hatua mkubali kuwa mnatakiwa kuingia sokoni kufanya usajili. Mayele kaumizwa sana hadi kuna mechi anashindwa kumalizia anaomba afanyiwe sub lakini hakuna mshabiki wa Yanga aliyewaza Simba kuwatuma wachezaji wa timu pinzani kumfanyia faulo nyingi Mayele. Msitafute kichaka cha kufichia madhaifu yenu.Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.
Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.
Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera.
Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.
Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.
Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
duh we hujaona wachezaji wa yanga wanavyoumizwa?nkane kavunjwa mguu nauoHaikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.
Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.
Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera. Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.
Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.
Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Huyo uchafu mayele ndo unamlinganisha na phiri masterHuyu Kanoute sijui Putin wa Simba alikuwa kinara wa rafu siku hizi inafurahisha sana kibao kimegeuka anapigwa viatu yeye sio mchezo!!
Hivi jamani Phiri ana kiwango gani cha utopolo kumfikiria? Yanga angecheza timu B, Phiri wa makolo fc ni mbabaishaji tu nani anashida ya kumuumiza?
Mayele kapiga goli 3 ndani ya michezo miwili tu! Eti makolo Mayele wanamlinganisha na Phiri!!
Yanga inacheza kitimu , wachezaji wote wana kiwango cha juu, kiwango cha kina Mbappe na Messi na De Jong, hakuna haja ya bahasha wala sijui jezi nyeusi ushindi ni jadi yetu na droo yao ya jana makolo washatoka kwenye kushindana sasa ni washiriki tu wa ligi kuu Tanzania bara!makolo acheni wivu sajilini kama sisi!
Phiri mmeamua kumpaisha ila huku utopoloni kwetu kiwango chake ni cha kina Clement toka timu B. Alianza kushindana magoli na Mayele ila naona tayari Phiri pumzi imekata!Huyo uchafu mayele ndo unamlinganisha na phiri master
Kumbe ndo kale ka falaKale karefa ndio kaliwapa penati wakicheza na Namungo ili waweke rekodi ya unbeaten kakafungiwa kamerudi na madudu yake
Wee topolo hii haimaanishi hakuna michezo michafu kwa phiri.Ni bahati mbaya mashabiki na wachambuzi wengi wa soka hapa nchini ni wapumbavu,ina maana huyo Phiri anathamani kuliko wachezaji wengine?,Haya matukio ya baadhi ya wachezaji kuchezewa rafu yameanza leo?,Wakati mashabiki wa Yanga tunapiga kelele kuhusu tukio la Inonga kumchezea rafu mbaya Sureboy ambayo ingehatarisha maisha yake ya soka na uhai kwa ujumla mbona hatukuona umeandika uzi?,wakazi Bangala amechezwa rafu mbaya pale Arusha tena kwa makusudi,mbona hatukuona unakimbia kuandika uzi kukemea?,Kila siku huwa nasema hapa kwamba,hakuna mtu anayependa kuona timu fulani inaonewa na nyingine inapendelewa,mimi kama mpenda soka nalaani vitendo vyote viovu vinavyofanywa na baadhi ya wachezaji kwa wachezaji wenzao,sasa kama tunapinga haya mambo mabaya isiwe kwa timu yako tu halafu ukawa unafraid kwa timu nyingine,leo wachambuzi wote ambao ni wanazi na wapenzi wa Simba wanaongelea ishu ya phiri kana kwamba rafu za wachezaji wengine huwa hawazioni,Mayele juzi amechezewa rafu mbaya sana na mchezaji wa Ihefu lakini hadi sasa sijasikia mchambuzi yeyote anayekemea,ila kwasababu wengine si wanadamu basi huwa hiyo haiwahusu.
SASA MIMI NASEMA KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA NA MUACHE KUTUPIGIA KELELE WAPUMBAVU NYIE!.
View attachment 2454493View attachment 2454494
Kumbe Hawa nao walitumwa na Simba wawaumize wachezaji wa Yanga?
Halafu Kwa taarifa yako Yanga ndio wahanga wakubwa wa wachezaji wake kuwa injured na rafu za uwanjani.. Balama mapinduzi, Yakuba Sogne wamekaa zaidi ya miaka miwili nje ya uwanja kwa rafu za wapuuzi,
Denis nkane juzi tu kaumizwa vibaya paka ametolewa na machela na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu, je yule beki wa Coastal Union alitumwa na Simba?
Hopeless kabisaaView attachment 2454499View attachment 2454500View attachment 2454501
Huyo uchafu mayele ndo unamlinganisha na phiri master
kwani amevunjwa tayari au bado?Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.