Project chafu, ni nani amewatuma kumuumiza Phiri?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.

Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.

Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera. Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.

Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.

Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera.
Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.

Inonga vs Sure boy?
 
Ni bahati mbaya mashabiki na wachambuzi wengi wa soka hapa nchini ni wapumbavu,ina maana huyo Phiri anathamani kuliko wachezaji wengine?,Haya matukio ya baadhi ya wachezaji kuchezewa rafu yameanza leo?,Wakati mashabiki wa Yanga tunapiga kelele kuhusu tukio la Inonga kumchezea rafu mbaya Sureboy ambayo ingehatarisha maisha yake ya soka na uhai kwa ujumla mbona hatukuona umeandika uzi?,wakazi Bangala amechezwa rafu mbaya pale Arusha tena kwa makusudi,mbona hatukuona unakimbia kuandika uzi kukemea?,Kila siku huwa nasema hapa kwamba,hakuna mtu anayependa kuona timu fulani inaonewa na nyingine inapendelewa,mimi kama mpenda soka nalaani vitendo vyote viovu vinavyofanywa na baadhi ya wachezaji kwa wachezaji wenzao,sasa kama tunapinga haya mambo mabaya isiwe kwa timu yako tu halafu ukawa unafraid kwa timu nyingine,leo wachambuzi wote ambao ni wanazi na wapenzi wa Simba wanaongelea ishu ya phiri kana kwamba rafu za wachezaji wengine huwa hawazioni,Mayele juzi amechezewa rafu mbaya sana na mchezaji wa Ihefu lakini hadi sasa sijasikia mchambuzi yeyote anayekemea,ila kwasababu wengine si wanadamu basi huwa hiyo haiwahusu.

SASA MIMI NASEMA KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA NA MUACHE KUTUPIGIA KELELE WAPUMBAVU NYIE!.

20221222_124232.jpg
20221222_124235.jpg
 
Hili tuliona misimu kadhaa nyuma, Yanga walikuwa wanahisi kuonewa kwa kila tukio likitokea ihusisha Simba kuhusika. Sasa Simba imekuwa walalamikaji wakuu tokea msimu ulioisha hadi sasa na hakuna lalamiko lilikuwa na ushahidi. Bahasha, jezi nyeusi, kukamiwa wachezaji wa Simba. Ifikie hatua mkubali kuwa mnatakiwa kuingia sokoni kufanya usajili. Mayele kaumizwa sana hadi kuna mechi anashindwa kumalizia anaomba afanyiwe sub lakini hakuna mshabiki wa Yanga aliyewaza Simba kuwatuma wachezaji wa timu pinzani kumfanyia faulo nyingi Mayele. Msitafute kichaka cha kufichia madhaifu yenu.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Hawa nao walitumwa na Simba wawaumize wachezaji wa Yanga?
Halafu Kwa taarifa yako Yanga ndio wahanga wakubwa wa wachezaji wake kuwa injured na rafu za uwanjani.. Balama mapinduzi, Yakuba Sogne wamekaa zaidi ya miaka miwili nje ya uwanja kwa rafu za wapuuzi,

Denis nkane juzi tu kaumizwa vibaya paka ametolewa na machela na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu, je yule beki wa Coastal Union alitumwa na Simba?

Hopeless kabisaa
Screenshot_20221222-132059.jpg
Screenshot_20221222-132042.jpg
hqdefault(0).jpg
 
Huyu Kanoute sijui Putin wa Simba alikuwa kinara wa rafu siku hizi inafurahisha sana kibao kimegeuka anapigwa viatu yeye sio mchezo!!

Hivi jamani Phiri ana kiwango gani cha utopolo kumfikiria? Yanga angecheza timu B, Phiri wa makolo fc ni mbabaishaji tu nani anashida ya kumuumiza?

Mayele kapiga goli 3 ndani ya michezo miwili tu! Eti makolo Mayele wanamlinganisha na Phiri!!

Yanga inacheza kitimu , wachezaji wote wana kiwango cha juu, kiwango cha kina Mbappe na Messi na De Jong, hakuna haja ya bahasha wala sijui jezi nyeusi ushindi ni jadi yetu na droo yao ya jana makolo washatoka kwenye kushindana sasa ni washiriki tu wa ligi kuu Tanzania bara!makolo acheni wivu sajilini kama sisi!
 
Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.

Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.

Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera. Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.

Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.

Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
duh we hujaona wachezaji wa yanga wanavyoumizwa?nkane kavunjwa mguu nauo
 
Huyu Kanoute sijui Putin wa Simba alikuwa kinara wa rafu siku hizi inafurahisha sana kibao kimegeuka anapigwa viatu yeye sio mchezo!!

Hivi jamani Phiri ana kiwango gani cha utopolo kumfikiria? Yanga angecheza timu B, Phiri wa makolo fc ni mbabaishaji tu nani anashida ya kumuumiza?

Mayele kapiga goli 3 ndani ya michezo miwili tu! Eti makolo Mayele wanamlinganisha na Phiri!!

Yanga inacheza kitimu , wachezaji wote wana kiwango cha juu, kiwango cha kina Mbappe na Messi na De Jong, hakuna haja ya bahasha wala sijui jezi nyeusi ushindi ni jadi yetu na droo yao ya jana makolo washatoka kwenye kushindana sasa ni washiriki tu wa ligi kuu Tanzania bara!makolo acheni wivu sajilini kama sisi!
Huyo uchafu mayele ndo unamlinganisha na phiri master
 
Kale karefa ndio kaliwapa penati wakicheza na Namungo ili waweke rekodi ya unbeaten kakafungiwa kamerudi na madudu yake
 
Ni bahati mbaya mashabiki na wachambuzi wengi wa soka hapa nchini ni wapumbavu,ina maana huyo Phiri anathamani kuliko wachezaji wengine?,Haya matukio ya baadhi ya wachezaji kuchezewa rafu yameanza leo?,Wakati mashabiki wa Yanga tunapiga kelele kuhusu tukio la Inonga kumchezea rafu mbaya Sureboy ambayo ingehatarisha maisha yake ya soka na uhai kwa ujumla mbona hatukuona umeandika uzi?,wakazi Bangala amechezwa rafu mbaya pale Arusha tena kwa makusudi,mbona hatukuona unakimbia kuandika uzi kukemea?,Kila siku huwa nasema hapa kwamba,hakuna mtu anayependa kuona timu fulani inaonewa na nyingine inapendelewa,mimi kama mpenda soka nalaani vitendo vyote viovu vinavyofanywa na baadhi ya wachezaji kwa wachezaji wenzao,sasa kama tunapinga haya mambo mabaya isiwe kwa timu yako tu halafu ukawa unafraid kwa timu nyingine,leo wachambuzi wote ambao ni wanazi na wapenzi wa Simba wanaongelea ishu ya phiri kana kwamba rafu za wachezaji wengine huwa hawazioni,Mayele juzi amechezewa rafu mbaya sana na mchezaji wa Ihefu lakini hadi sasa sijasikia mchambuzi yeyote anayekemea,ila kwasababu wengine si wanadamu basi huwa hiyo haiwahusu.

SASA MIMI NASEMA KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA NA MUACHE KUTUPIGIA KELELE WAPUMBAVU NYIE!.

View attachment 2454493View attachment 2454494
Wee topolo hii haimaanishi hakuna michezo michafu kwa phiri.
 
Kumbe Hawa nao walitumwa na Simba wawaumize wachezaji wa Yanga?
Halafu Kwa taarifa yako Yanga ndio wahanga wakubwa wa wachezaji wake kuwa injured na rafu za uwanjani.. Balama mapinduzi, Yakuba Sogne wamekaa zaidi ya miaka miwili nje ya uwanja kwa rafu za wapuuzi,

Denis nkane juzi tu kaumizwa vibaya paka ametolewa na machela na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu, je yule beki wa Coastal Union alitumwa na Simba?

Hopeless kabisaaView attachment 2454499View attachment 2454500View attachment 2454501

We unashangaa mtenje albano jr kucheza rafu mbaya???utakuwa humjui bila shaka..huyo jamaa ni mcheza faulo za kuua wenzie kabisa sidhani kama kuna mtu anamkuta huyo fala kwa faulo labda kwa mbali putin
 
Huyo uchafu mayele ndo unamlinganisha na phiri master

Mwambie phiri alipiga goli 8 ndani ya game 3..aache ushamba tunajua kuwa yule kitanta sjui wa kagera alitoka yanga na alipewa mission ya kumvunja phiri ili bwana maele asiwe na mpinzani kwenye mbio za kiatu cha dhahabu
 
Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.

Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.

Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera. Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.

Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.

Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
kwani amevunjwa tayari au bado?
 
Back
Top Bottom