Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.
Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.
Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera. Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.
Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.
Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app