Project funding sources

Mkuu hili wazo hujapataga wadau tuu mpaka leo?? Hebu tupe feedback hii dili kubwa sana.
 
Mkuu hili wazo hujapataga wadau tuu mpaka leo?? Hebu tupe feedback hii dili kubwa sana.

Tunafanya construction ya pilot sasa. Nilipata wadau tukaunganisha nguvu lakini inaonekana haitoshi vilivyo. Natafuta wadau zaidi maana ni biashara kubwa kuliko tulivyotarajia. Tuna plan ya 12 tones capacity production per day lakini inaonekana kwa soko la ndani hatufiki hata 20% na la nje kwa orders tunazopata sasa inahitajika expansion ya mara 15 kutoka tunapoprospect. Thanks na karibu sana
 

Nawapata vipi?
 
Mkuu naomba uni pm contact no. Zako ninapenda kuongea nawe. Naitwa dan
 
TIB pia wanafund kwa riba ndogo xana sawa na bure we tuwasiliane tujue watakusaidia vp but wanataka business plan iliyoshiba.
Elinanho.
Hiyo bank ina urasimu wa ajabu. Jamaa yangu kaomba mkopo miaka 3 iliyopita hajapewa hadi leo japo walishampa mkataba wa mwanzo. Halafu wanajiita Investment Bank. Ww nenda zako CRDB sikushauri uende TIB.
 

Angalia website hii http:www.wigomedia.blogspot.com
 
Mzuzu na Malila,

Naombeni kama mna proposal zozote kuhusu machines za kuzalishia, basi mnitumie kwenye email yangu hapo chini.

Mzuzu, niandikie mmekwama wapi na mnahitaji kitu gani ili nijaribu kutafuta wawekezaji wanaoweza kuwasukuma kwenye hilo la kutengeneza starch. Nilikuwa nakufuatilia kwa siku nyingi sana kwenye makala hii hadi jana nilipokutana na jamaa anataka kujenga mashine za kutengeneza SPIRIT. Nikakumbuka kuwa ulisema kwenye mihogo, unaweza pia kutengeneza Spirit. Ndiyo maana nimekuja moja kwa moja kwako na kwa Malila, Mzee wa chungu kubwa.

Kwa sasa sisi hapa na Umoja wetu wa Watanzania Poland(TAP), tukishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Berlin, tunajitajidi kutafuta wawekezaji watakaotaka kuwekeza peke yao au kuunga nguvu na Watanzania kwenye miradi ya aina mbalimbali. Nafikiri kwa hili tunaweza tukalifanikisha pia mkapata wadau wenye nguvu zaidi na mkaanza uzalishaji.

Tuwasiliane kwa email: Ssambali@hotmail.com au simu +48503535735 (Chairman, TAP).
 
Last edited by a moderator:
nimependa sana project yako mkuu Mzuzu.naomba unitumie bussiness plan yako tushirikiane kurun hiyo project ninamfahamu jamaa mmoja anaweza kutusaidia kwa kupata mahitaji ya plant nzima.
nitumie hiyo kwa brjf_badilika@yahoo.com.
 
ni vizuri ila kwa hapa kwetu labda jaribu kutumia kampuni ambayo imesajiriwa tayari na ukaongea nao kwa udhamini ili uweze aminika then ukisha pata mdhamini utakuwa na uwezo wa kusimama kama ww na kuendelea. Hongera xana na jua mwanzo ni mgumu xana.
 
Hi nyote.
Congrats Mzuzu na wote ulio team up nao. Naomba picha ya mulipofikia na inahitajika kuongeza nguvu at what level kwa maana ya milion ngapi. Naomba niwajoin pia nina ka hela kidogo zijajua nikafanyie nini
 
Mkuu Mzuzu,Nakukubali sana, nakutakia kila la heri ktk project yenu. Usisite ku-share na sisi changamoto utakazo kutana nazo.
 
Mkuu Mzuzu,Nakukubali sana, nakutakia kila la heri ktk project yenu. Usisite ku-share na sisi changamoto utakazo kutana nazo.

Ahsante sana mkuu nitarudi kuna update mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…