Project funding sources

Asante mkuu @Msanii
 
Trade fair participation fees sio rafiki kwa wajasiliamali wa kitanzania. Kila mwaka inapanda lakini mazingira yanazidi kudepreciate. Ni aibu sana.
 
hilswo@gmail.com
 

Mkuu unaweza kufunguka zaidi kwa Faida ya wengi
 

Mkuu uanachama ni wa kikundi au wa mtu mmoja mmoja?
 
Nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwako mkuu Mzuzu na nikupe hongera za dhati kabisa kwa hatua zote ulizopitia,,nimesoma post zako zote na nimekuelewa sana

Nitakutafuta kwa ajili ya kutanua mawazo yngu mm pia
 
Kiongozi, nimejaribu kukutafuta nakukosa. Naamini kama ukimaanisha kuisaidia sekta ya wazalishaji nchini basi ukipata some hints kutoka kwangu utaweza kwenda beyond levels na kufungua fursa nyingi kwa wabongo...
 
Hii kitu nilikuwa naitafuta siku nyingi sana wakuu.,at last mwanga umeanza kujionyesha.,usikubali kuajiriwa.,pigana hadi tone la mwisho ujiajiri..utafaidi matunda halisi ya jasho lako!bravo sana mkuu!
 
Hii kitu nilikuwa naitafuta siku nyingi sana wakuu.,at last mwanga umeanza kujionyesha.,usikubali kuajiriwa.,pigana hadi tone la mwisho ujiajiri..utafaidi matunda halisi ya jasho lako!bravo sana mkuu!


Hii kitu niyasiku niyingi -muda mwingine ndiyo maana majukwaa yanaonekana kama sehemu ya Porojo! 2016-2009= 6yrs.
Hakuna update ya kuweza kupeana matumaini!
Anyway usikate tamaa kila mtu na bahati yake!

#1
Sep 22, 2009
 
Farming is a carrier of destiny. I have 5.5 acres in Mlandizi area. I'd like to start cassava plantation. I'd appreciate any positive advice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…