Mkuu, biashara zilizopo kwenye fairtrade markets zimeorodheshwa kwenye constitution ya Fair Trade Organization. Nakutajia kwa uchache, Kazi za mikono yaani craftworks (kingoni), Mazao kama ndizi, kahawa, chai, Zanzibar Spices.... orodha kamili sinayo hapa ila naamini ukianza kulifuatilia hili soko utajifunza mengi sana.
Tuwasiliane mkuu wangu
hilswo@gmail.com
Kiongozi, nimejaribu kukutafuta nakukosa. Naamini kama ukimaanisha kuisaidia sekta ya wazalishaji nchini basi ukipata some hints kutoka kwangu utaweza kwenda beyond levels na kufungua fursa nyingi kwa wabongo...
Watanzania tambueni kuwa, mnapoona wageni hasa wakenya wanakuja kununua bidhaa nchini tena huko mashambani, just mjue wanaziexport ulaya kwenye soko la uhakika ambalo vendor anapanga bei. Na hizo bidhaa zikienda huko zinaenda na chapa ya Kenya.
Nimenena kwa ufupi sana.