Project funding sources

dah kwanza kabisa naomba kukupongeza kwa moyo wa dhati kabisa,hongera.
mimi ni kijana kama wewe,nina ndoto kama zako,I have read the post,all of it,Na kwa kweli you have been a real inspiration.Nafurahi sana kuona kwamba kunavijana ambao wanaweza kufanya mabadiliko,bila ya njia za panya na za mkato.hongera sana kwa hilo.
zaidi ya hapo nina swali moja to naomba nikuulize,HOW DID YOUR PARTNER GET YOUR PLAN ONLINE?kama unaweza kunipitishia na mimi hako ka website basi utakua umenisaidia sana.
ahsateh.
 
Mzuzu,
Mimi sitaki kuongea sana.
Ila najua kipo kitu binafsi ambacho naweza kufanya kama mdau.
Nashukuru sana nimesha fahamiana na mkuu Malila na anaendelea kunionesha
what to do and how to do it!
I promise you; huyu jamaa(Malila)"yuko nondo"
Nakushukuru na wewe pia kwa kuuthamini mchango wangu
Tuko pamoja sana.
 
Poa mkuu, ninatarajia kwenda kijiji cha Banduka pale Lindi siku za karibuni, huenda nikakupitia nione mambo hapo Ikwiriri au kibiti kama ulivyosema.
 
Kama kuna makampuni yanahitaji mikopo, naomba wawasiliane nami kwa njia ya email yangu
<donald.asheri@mail.com>
Kampuni yetu inawakilisha watoaji mikopo kutoka nje ya nchi ambao wanapenda sana kuwekeza pesa zao hapa Tanzania. Mikopo ya aina hii inaanzia US$ 200,000 na kuendelea. Kwa hiyo miradi husika lazima ya gharama hizo. Details zote zitatolewa kwa wale tu watakaomba wapewe taarifa zaidi na wawe wahitaji kweli kwa sababu ni vema waonyeshe kuwa wana miradi hiyo kweli. Hii ni kwa sababu hatuna nafasi ya kupotezeana muda.
Thanks
02.12,2010


 
Bravo Mzuzu. Pia jaribu kuongea na jamaa wa TCCAA (sina uhakuka na acronym) kwa kirefi Tanzania Chamber of Commercy ......... kuhusu masuala ya soko nk.
 

Hao jamaa zako wangeshuka kidogo ili watupate wengi ingekuwa poa US $ 200,000 kwa sisi Watz wa kawaida ni hatari. Au nyie ndo akina grow-fin?
 

am interested in this.nimeku pm mkuu,plz reply. I will email too.
 
safi san shay ,nimevutiwa sana ....unataka kuinvest ktk social work,nafanya ktk eneo hili lakini serikali imetulemaza sana .nimevitiwa sana na wazo hilo
 
safi san shay ,nimevutiwa sana ....unataka kuinvest ktk social work,nafanya ktk eneo hili lakini serikali imetulemaza sana .nimevitiwa sana na wazo hilo

Yah mkuu tuangalie tunaweza kufanya nini bila serikali kwani tayari tunaijua serikali yetu haitafanya kitu! Haijasema kuna mabadiliko yoyote yatafanyika so tusitemee mabadiliko. Kwa vile tumeshajua imetulemaza, basi tuchukue hatua kwa ulemavu wetu tuweze kufanikiwa angalau kidogo!! Tusikae chini sasa kulia na ulemavu tuliolemazwa tayari, tujue tunautumiaje huo ulemavu mkuu!!

Tusaidiane mawazo na tushikane mikono tutaweza naamini!
 
Kwanza napenda nikupongeze kwa hatua nzuri uliyofikia hadi sasa;kwanza mtazamo wa haraka haraka ni kweli mradi huo unalipa kama ulivyoonyesha mahitaji ya huyo mteja na pato litakalopatikana kwa mwaka.Kweli hadi hivi sasa hata mimi ninashawishika kufanya kitu kama hicho kwaajili ya maslahi yangu na Taifa langu kwa ujumla.
Mzuzu,inamaana huyu mteja anahitaji muhogo wowote bila kujali ni wa ubora gani,aina gani ya mbegu au kuna viwango fulani vinatakiwi ili kukidhi mahitaji yake?Ningependa kusikia kutoka kwako ili nijue;ambapo nitahitaji kiasi gani niwekeze katika kilimo hicho ilitusaidiane kufikisha hizo tani 24,000 kwa mwaka au hata zaidi ya hapo kwaajili ya chakula au wateja wengi wa starch kama watajitokeza.
 
Mzuzu na wadau wengine,

mm sio mteja wa siku nyingi hapa janvini, nilijiunga halafu nikapotea, recently I have collected myself back after realising i have lost alot from this forum. Hiki ni kisima cha mambo yote, hakika!!.
Asanteni san kwa michango mingi yenye manufaa san kwa watu wa Tanzania.
Nilishtuka sana nilipooona hii thread ilivyo anza na ilipofia sasa, kweli FOCUS ni kitu cha muhimu sana, FOCUS and love to be determined... utafika popote unapotaka. Mzuzu Hongera sana, sana sana kwa hatua hii muhimu uliyofikia na na wazo zuri la kuleta manufaa kwa nchi yetu. To bring $$$ nchini tena kwa kutumia zao lilizodharaulika na kusahaulika hapa kwetu TZ sio kazi nyepesi. Nawaombea sana mfike mnakokusudia. Mtangulizeni Mungu na utashangaa atakavyo washangaza. Kweli TZ hakuna kitu kisicholipa ni mipango tuu!
Maandiko yanacema "Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, na Binadamu anakula maneno ya ulimi wake!!!" nenda baba hata Biblia inakutia moyo, go go!!
Tutakutafua wakati mwingine utupe uzoefu ili tufanikiwe wengi. endelea kufanya mambo ya msingi.

Kila la heri
 

hongera sana mkuu WISHING U ALL THE BEST! NIMEJIFUNZA MENGI SANA TOKA KWAKO! NA MALILA
 
NOTE: make sure you have written legal right whenever you are searching the funding... to avoid idea embesslement...! hope u get it!!
SUA/Technoserve/COOSTECH may give u some leads!!
 
NOTE: make sure you have written legal right whenever you are searching the funding... to avoid idea embesslement...! hope u get it!!
SUA/Technoserve/COOSTECH may give u some leads!!

Mkuu unaweza kutufafanulia zaidi kwenye hii point?
 

mbona email imefail au imekosewa? Plz check it and kama ulikosea uicorrect. I sent u pm and email but it failed.
 

asante sana
 
NOTE: make sure you have written legal right whenever you are searching the funding... to avoid idea embesslement...! hope u get it!!
SUA/Technoserve/COOSTECH may give u some leads!!

Tuna NDA na pia tayari tushaincorporate a company Tanzania na kila mtu ana stok certificate kwa percent zake! Nafikiri sio mbaya kwa kuanzia
 
mbona email imefail au imekosewa? Plz check it and kama ulikosea uicorrect. I sent u pm and email but it failed.

Experienced the same, naona adress haipo sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…