Project funding sources

Project funding sources

Mzuzu, hongera sana kwa nzuri unayoifanya, pongezi pia kwa wadau wote kwa michango yenu ambayo kweli inalenga kumkomboa Mtanzania. Tuko kwenye harakati la kuanzisha project ya kuwaelimisha wananchi kuhusiana na fursa zilizopo Tanzania, hususan katika kilimo, ufugaji na uvuvi. Waketi tutakapokuwa tayari nitakutafuta Mzuzu nipate pia mchango wako
 
Mzuzu,
I am a late comer to this thread and as it has been piped already, Conglats for this mammoth task that you have brought to fruition are truly in order. Having enjoyed this snack many a years, I didn't realise till now that many more industries need this resource as a crucial input in their production processes. Once again, soldier on and all the best in the endeavour.

Once again, to the forum members who willingly share their expertise, and knowhow in different areas of business etc, you are greatly appreciated.
 
Mzuzu,
Don't make my mouth water!!... Muogo na pilipili na ndimu has always been a high point in the day as a student. Na mpaka sasa, nikiona vijana wanauza muogo, issues kama food hygiene/health and safety huwa nazitupilia mbali for the love of this root.

On the business itself, are there any waste products from your processing of the starch that can be harnessed in another industry? I assume the process will aim to remove the starch and what you will be left with is the fibrous sinew, would these be used in livestock feed?
 
nimekuwa nikifuatilia progress yako kwa karibu,nina maswali kidogo
-kiwanda kitakuwa sehemu gani,specifics please
-do u plan to have extension officers to support wakulima
-mimi nataka kulima mihogo with a sole purpose kuwauzia,je mkianza mtakuwa na utaratibu wa kutoa dhamana benki kuwa kama nitalima na kuvuna mazao yangu yote mtayanunu,hii kama insuarance for my bank manager kuwa akinipa pesa ntazirudisha in time kwani suala linakuwa ni mimi kulima,kupambana na wanyama waharibifu,then kubeba to u r production plants

Good question.
 
Nimefuatilia thread hii kwa makini sana; Hongera Mzuzu....!!!

Umeonyesha njia kwetu wajasiriamali.
 
Best thread on jF....
Safi sana Mzuzu. You are definitely doing your thing!
Keep us updated na usitukimbie ijapokuwa shughuli zitakuwa nyingi.
Am sure there are many who will need your help and guidance in the future.
 
I have been impressed by the idea of strenghten entrepreneurial tendency especially for graduates, as an intellectual i have also a project in the position to be funded. iko powa hiyo idea yako. Mimi ni entrepreneurial chemist nipo tayari kukusaidia so that we can move our country forward na kwa wale wengine wote wenye idea kama hizo please let contact with me via safariwafungo@yahoo.com

Funding yake ni zaidi ya mkoa wa Mbeya kama Ulivyosema, na kwa sasa funder kaongeza mara 8 zaidi ya tuliyo-budget sisi kwa vile anataka products mara 20 zaidi ya original plan! Na zaidi tutaunga na technical team kati ya Tz na Us so skills mpya na project mpya. Tuombe Mungu tu, tayari tumelipia ardhi tunasubiri hati na Investments tax exemption certificate tuanze construction by Jan 2011
 
Kaka Hongera sana,
So ni Kibiti au Ikwiriri? nataka nikaandae shamba na mimi huko?
vipi kuhusu target price ya muogo Kiwandani ili tunaotaka kuja kulima tujue ni faida kiasi gani na manufaa ya kulima?
Pia mbegu inakuwaje? ni zozote au zipo mnazo hitaji nyinyi?
 
this is amazing,

Mzuzu have looked at yr website, ohh my frend that wa superb!! the best wesite have seen, with rich information in the future will keep up the spirit. Big up!!
 
Sio muhogo as raw as it is, ni kwamba unakuwa processed kuextract starch ambayo ndo itakuwa exported. In general muhogo una 25% ya starch kwa hiyo hizo tani 24,000 ni sawa na tani 96,000 za muhogo. Na soko la starch ni kubwa sana duniani, Tanzania peke yake ina import tani 980,000 kwa mwaka so hata hapo kuna soko kubwa sana tu kwa watu watakaoamua kununua nyumbani japo soko hatutaweza kuzalisha kiasi hicho hadi tujenge capacity kwanza na pia kustimulate uzalishaji kwa wingi

So demand ni kubwa na pia kuna challenge za kuexpand haraka kwa vile risk nazo ni kubwa sana kwa kampuni inayoanza from scratch na pia haina experience sana kwenye maeneo yote ya biashara
ni risk zipi zilizopo?
 
Tanzania serikali inasema ina sera nzuri za kusaidia wajasiria mali, lakini ukweli hamna kitu hovyo kabisa ni wewe mwenyewe uhangaike uhonge ili ufanikiwe
 
Tanzania serikali inasema ina sera nzuri za kusaidia wajasiria mali, lakini ukweli hamna kitu hovyo kabisa ni wewe mwenyewe uhangaike uhonge ili ufanikiwe

Ni sisi wenyewe tunatakiwa tuhangaike ili tufanikiwe,ila sio lazima tuhonge, kuna investments nyingi unaweza kuanza na ukavuna bila kugusana na serikali/urasimu/rushwa, ndani ya bongo hii na serikali hiyo hiyo kupitia taasisi zake wakakuinua zaidi bila hata ya senti tano.
 
Mzuzu,

..congratulations!!

..nimekusoma toka mwanzo mpaka hapa ulipofikia.

..binafsi napenda vitu vinavyotoa results.

..naweza kusema hii ni posting ya mwaka hapa jamii forums.

..keep it up.
 
Mkuu nimekupata sana. Naam mimi ningeshauri pamoja na wewe kuwa plan kutegemea wakulima wadogo kuwa suppliers wa material yako,ni vema na wewe ukawa na plan za kuwa na mashamba makubwa ya mhogo huo.

Kwanza shamba litakuwa model kwa wakulima,pili litakusaidia kuwa kinga kwa mikopo ktk siku za mbele,in case unataka kupanua shughuli zako, kumbuka ukifanikiwa watu wa kukopi na kupesti wako lundo.

Wakati unatafuta fedha tafuta na ardhi kubwa,ambayo ipo tele,ili ukifanikiwa kupata fedha basi na ardhi unayo. Sio lazima ulime wewe kwa kuanzia, ila unaweza kukodisha watu wakalima ndani ya shamba lako na kukuuzia wewe. Usitegemee sana wakulima wadogo.

Nimekupata na kulifanyia kazi wazo lako, tumepata eka 25,000 toka RUBADA tutafanyia commercial cassava production na tutawapa watu wengine plots na kusaidia katika mambo pembejeo kwa mashart ya kutuuzia wenyewe!

Tunaangalia pia modality zingine za kufanya pia kwani ni kazi kubwa eneo lote ni pori kwa mara ya mwisho lililimwa na wajerumani miaka ya 1880 huko, lakini ni zuri sana na very fertile
 
Nimekupata na kulifanyia kazi wazo lako, tumepata eka 25,000 toka RUBADA tutafanyia commercial cassava production na tutawapa watu wengine plots na kusaidia katika mambo pembejeo kwa mashart ya kutuuzia wenyewe!

Tunaangalia pia modality zingine za kufanya pia kwani ni kazi kubwa eneo lote ni pori kwa mara ya mwisho lililimwa na wajerumani miaka ya 1880 huko, lakini ni zuri sana na very fertile

Naam na mimi nitakuwa mmoja wa wadau ambao watahitaji plots za kulima mhogo, vijana wa kazi ninao tayari. Mkianza nishitue nitie timu yangu.
 
Hata mimi I am in the same boat...mwaka 2004 nilivyowaambia watu naacha kazi BOT waliniona kama nimechanganyikiwa...but I had a plan and a dream ya kujiajiri more than 10yrs before,ofcourse nilikuwa najiandaa taratibu lakini kimyakimya..nikaingia kikamilifu kwenye kilimo cha kisasa hasa cha vitunguu kule Iringa na mpunga morogoro kwa njia ya irrigation scheme.....kwa sasa I am living very wealthy and comfortable life....now kuhusu muhogo I will get there ,I will do my research and I hope we will get in touch from there...ILA SOMO HAPA NI KUWA TUONDOKANE NA FIKRA NA KASUMBA ZA KUAJIRIWA TU NA SERIKALI,WE CAN DO MORE THAN THAT!!!!!YES ,WE CAN!
 
Kwa estimation ni shilingi kama ngapi zinaweza kuhitajika?
 
Back
Top Bottom