Mzuzu, hongera sana kwa nzuri unayoifanya, pongezi pia kwa wadau wote kwa michango yenu ambayo kweli inalenga kumkomboa Mtanzania. Tuko kwenye harakati la kuanzisha project ya kuwaelimisha wananchi kuhusiana na fursa zilizopo Tanzania, hususan katika kilimo, ufugaji na uvuvi. Waketi tutakapokuwa tayari nitakutafuta Mzuzu nipate pia mchango wako