Project funding sources

Mkuu Mzuzu ili kupata matokeo mazuri lazima ujipange kutoa technical support kwa hao wakulima ili kupata good quality ya mihogo na sidhani kama ni kazi ngumu unaweza kuwacheki jamaa wa vyuoni ukafanya soil test kujua kama hapo muhogo utakubali vizuri na wakawa wanatoa ushauri wa kitalaamu then cost unaweza kushare na hao contract farmers kumbuka kilimo ni zaidi ya mtaji tu naungana na wazo la mdizi la kuwa na shamba darasa,Otherwise I'm in ukinipatia ekari 200 ntakupatia mhogo mzuri unihakikishie soko tu
 
Ni pm mkuu ili tupange mkakati wa kukutana na kujadiliana zaidi
 
Hi Mzuzu,
I like your project and would like to be your mkulima, nimekupm naomba usome ujumbe wangu umijibu
 

Hi nimesOma mradi wako naomba ni pm kuna ka proCess naweza kukuelekeza
 

Mkuu, kwanza hongera kwa mawazo kwamba wasomi wanatakiwa wawe chachu ya ajira ya wasomi wa kati. You have viable idea. Mimi kama Independent development consultant on Resource mobilisation and project write-ups nakuunga mkono kuwa move yako ni nzuri, hopefully your struggle will end-up getting the funds for your project. Atleast I can say you can do it youself coz you have the idea of preparing a plan, this is A FUNDABLE BUSINESS PLAN for your project. I do these write-ups activities, grant/fund search and application and other consultances. I suggest if you can write a good and convincing write-up on your idea DO IT, then find funding sources, hapa nakumegea try OIKOCREDIT!! or else find us! (kihegam@gmail.com)
 
Wana JF hakika tukitengeneza team moja hata kwa makundi makundi tutapata THINK TANK la ajabu, tutakomboa jamii ya kitanzania hasa vijana na watoto wa taifa la kesho. Jamani ajira TZ zinatakiwa kutengenezwa na sisi!!
Mimi niliamua kufanya kazi za write-ups consultancy on behalf of other people and organizations wenye fursa zinazotakiwa!!! ( NDO OFISI YANGU SASA) why, funding problems, kila nikiwa na wazo la mradi, ikawa tabu kupata funding kwa sababu ya vigezo na masharti ambayo kwa wasio na mapana kimaisha sio rahisi kuaminiwa japo mawazo huwa ni viable. Ifike wakati hata serikali ione hili, idhamini wadau sisi ili tuanzishe miradi hii, kwani ukisoma BP za miradi hii utashangaa kwanini hazipati funding!
 

Mzuzu wewe ni jembe..umenipa moyo sana nazidi kujiona sikufanya makosa kupiga chini kazi na kuingia kwenye ujasiriamali..umezidi kunipa nguvu sitorudi nyuma..kilimo kwangu kwanza.
 
Last edited by a moderator:

Dah, umenikuna sana sana Kaka, unathibitisha the truth of endless struggle while ignoring stupid contributions!! Go on brother your dream is around the corner! Wishing you all the best!!
 
Kaka heshima kwako na hongera kwa kufanyikiwa mie ombi langu naomba draft ya business plan yako ili inisaidie kuandaa ya kwangu maana niana big project ya uzalishaji viatu so nataka niitumie Bp yako ili nidraft yangu. kama umefanyikiwa nami nitafanyikiwa pia kama unaona inawezekana ni MP mkuu.Thanks
 

Nitakupa sample nyingine ya plans tofauti kwa sababu plan ni classified document sir...

Nipe email yako kwa pm
 
Nitakupa sample nyingine ya plans tofauti kwa sababu plan ni classified document sir...

Nipe email yako kwa pm

POA KAMA UNA SAMPLE NYINGINYINGI NITUMIE tibilwabu1986@gmail.com
 
Duh Mzuzu we ni mtu poa..asante kwa izo sample za Bizplan..ata mimi nilikuwa nazisaka
 
Nina mashaka sana kama utawahi fungua kabla wenye hela hawajaanzisha kwa sacale amabayo ukianza hupati soko nchini.tetesi ni kwamba maafisa mikopo wanalipwa kuwamegea copy ya business palana za wajasiriamali wanaoibuka na kuwanyima mkopo pale wafanya biashara wakiona hiyo ni dili kwao.

Next time jifunze kuwa na business mbadala kama demanda ni colateral wakishakupa unai re-route hiyo hela.
 
Its a process to link you with investors

Habari za leo Mkuu Vito.
Mimi pia nahitaji kupata link na investors wa miradi kama hii.
Ninamiliki shamba la eka 300 mkoa wa Pwani.
Nina plan za miradi ya ufugaji samaki kwa large scale.
Nimefanya utafiti na upembuzi wa kutosha, mradi unalipa sana hasa ukiwa ni large scale.
Please link me na investors ili niweze kuanzisha miradi hiyo.

Thanks in advance.
 
Mawazo ni mazuri sana ila tuungane hat kwa uaminifu na nia moja .,,,,,,,,,,sio baada ya mafanikoo kidogo tu mtu anachukua chake mapema. haitakuwa tofauti na CC
 

Mtaji unahitajika kiasi gani kwa kilimo cha ekari 50 na kuendelea niko interested!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…