Project funding sources

Project funding sources

Ningependa unitumie business plan ya iyo starch au tuonane tuongee mi sio mtu wa mtandao sana nibip via 0717410406 nitakupgia
 
Yah tunatazamia kuanza ujenzi soon doc za permits ndio zimechelewa sana. Kwenye maonyesho ya cassava week iliyopita walionyesha mbegu mpya ambayo inaweza kutoa hadi tani 40 kwa hekta na inakubali kwa ukanda wote wa Pwani. Nafikiri tutaitumia sana kwa hii project naona itasaidia watu wengi sana

kaka niko matombo morogoro kule juu milimani, nimepata shamba nalifanyia kazi. naomba kujua maendeleo na kama kule ni eneo zuri la kuweza kufikisha sokoni kwako, na kama tayari mmeanza kununua zao hili ili nijue kama nipande mihogo mitamu au michungu (maana mitamu huzaa kidogo na michungu huzaa zaidi)
 
Big up Mzuzu for your brilliant idea and effrot.. Nimeipenda hii. Kila la kheri
 
Last edited by a moderator:
Big up sana ndugu yangu kwa kuwa na mawazo chanya hasa katika kipindi hiki ambacho ajira ni tatizo la kitaifa. Usikate tamaa, amini ya kwamba unaweza na ipo siku ndoto yako itatimia. Kamwe usikubali kushindwa!
 
i am interested on projects.....plz let me know if you can let me in...i am a university student taking a bachelor of human rseource....0654520581 or bibodiq@gmail.com
 
kweli b plan yako iko soundable ila chakufanya now jaribu kuwashirikisha watu wakubwa katika mchakato wako mfano ma consultancy haswa wenye uzoefu kwenye hiyo michakato alafu hapo watakupa mwendelezo mzuri wa nn chakufanya pia wai rewrite hiyo b plan.Maana tanzania investment bank wanawezesha miradi ya kilimo na renewable resources ila iwe imepitia ngazi husika ili mtu ukopesheke.jaribu pia kupata ushauri pale tccia wanaweza kukuunganisha na investors wa nje na ndani ata kwa ushauri pia.
 
Wakuu tumefikia hatua muhimu na partners na tunaplan kufanya pilot project in 12-18 months tumeshaajiri director kwa ajili ya kuanza. Tutaanza na mtambo mdogo utakaohitaji kama tonnes 40 hivi za mihogo kwa siku. Mbia ni mtaalamu mwenye viwanda vya bio-plastics na anataka raw materials kwa hiyo soko ni la uhakika tutaexport USA so kuingiza dola. Baadaye tutaweka kiwanda cha bio-plastics pia ila tuanza na starch production kwanza. Tunafanya pilot kwa mwaka 1 kuona viability na tutaexpand kutegemea response ya wakulima katika kuzalisha mihogo na support generally

Tutakuwa tayari kufanya kazi na member watakaokuwa tayari kuzalisha mihogo either kupitia vyama vya ushirika au binafsi na tutasaidiana kwa kila hali ili kujenga win-win situation. Lengo kama nilivyosema awali ni kuinua kipato cha wakulima wadogo wadogo kwa kupanua masoko ya mazao yao (tukianza na mihogo inayolimika kila mahali Tanzania) na kuongeza ajira kwa vijana wakati tukiliingizia taifa pesa za kigeni na pia kuitikia wito wa kuprocess mazao ya wakulima ili kuongeza thamani kabla ya kuuza.

Natumaini tukiwa pamoja tutaweza na hii iwe changamoto kwa vijana tufikirie miradi itakayobadilisha maisha yetu na wengine badala ya kuboresha maisha katika level ya familia zetu tu na pia tuangalie upande mwingine kuliko tulivyozoea, kuajiriwa tu hasa baada ya elimu ya chuo kwani kuna fursa nyingi tuzitazame na kufikiria tuzitumieje huku tukiumiza vichwa kupata resources.

Tuendelee na majadiliano zaidi tusaidiane mawazo wakuu


mkuu mzuzu
nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kila hatua ya paln yako, ki msingi mimi ni mfanyakazi, lakini pia ni mjasiliamali katika nyanja mbalimbali, lakini kwa sasa nataka kujikita katika Kilimo, kwa kuanzia nimenunua kama ekali 100 wilaya ya Mvomelo, ambapo zote ziko kwenye mchakato wa kupata HAKI MILIKI YA KIMILA. Nimependa sana wazo hili kwa mantiki kwamba nategemea utakuwa msaada wa karibu sana kwangu kunipa mwongozo niende vipi, niko tayari KUINGIA UBIA NA KAMPUNI au MTU BINAFSI kwa nia ya kufikia lengo.

Please naomba mwongozo mkuu. ni PM kama itawezekana
 
Ninahusika kwa karibu na mradi wa C:AVA unaofadhiriwa na USAID na kutekelezwa kwa ushirikiano kati ya CPE-UDSM na Greenwich University. Lengo lake ni ku-diversify na kupromote cassava in Africa. Kwa hapa Tanzania tayari kazi inaenda vizuri na viongozi wa kisiasa kukubali kupeleka mswada wa kutaka kila confectionery iwe na angalau 20% ya unga wa muogo ili kupanua soko la ndani.

Kwa ufupi, naomba tuwasiliane Mkuu

nimependa sana mchango wako katika wazo hili, kumbe wana JF wengi ni wajasiliamali na wanaweza kutoa mwanga katika wazo linalowekwa mezani. mimi pia nko interested sana na kufanya project hiyo ya Kilimo cha Mhogo, kwa kuanzia nimepata ekali 100 katika Wilaya ya Mvomelo, ambapo zote zipo kwenye mchakato wa kupata hati. naomba msaada wa mawazo namna ya kufikia ndoto zangu. kama inawezekana naomba ni PM mkuu ili nipate pa kuanzia.
 
I have been impressed by the idea of strenghten entrepreneurial tendency especially for graduates, as an intellectual i have also a project in the position to be funded. iko powa hiyo idea yako. Mimi ni entrepreneurial chemist nipo tayari kukusaidia so that we can move our country forward na kwa wale wengine wote wenye idea kama hizo please let contact with me via <a href="mailto:safariwafungo@yahoo.com">safariwafungo@yahoo.com


Wadau wengine wenye msaada wa mawazo na mtazamo jamani kama wapo....................
Habari yako kiongoz, i am also much impressed na hii proposed project yako. Nilishawahi kufkiria kitu cha hivyo ila nilipofkiriaga wap pa kupata fund, nilikata tamaa. Nilichokifanya ni kufkiria kuanzia kwenye kilimo cha mihogo huko kigoma. Kule Kigoma wananchi wanalima sana mihogo na wateja wakubwa ni Burundi/Rwanda/Congo kwa matumizi hayo uliyoyataja.

Nilipoiona idea yako, kweli nimefurahi kuwa mawazo yangu hayakuwa mbali sana na vijana wengine wenye kiu kubwa ya maendeleo. Mimi ni mwajiriwa ila naona kabisa future yake imejaa wingu. Sijaona bado role model katika waajiriwa wote duniani achilia mbali huku kwenye nchi zetu maskini.

Huku kwetu kwenye kilimo na processing industries bado kuna bright future mana population inaongezeka kwa kasi kubwa na quantity na quality ya wazalishaji ni ndogo sana kumeet demand. Nina nguvu, morale na uhitaji mkubwa sana wa kuungana na mdau yeyote yule kwenye kuibua mradi wowote bankable kama huu kuanzia hatua ya kudevelop idea had kuumanage. Pia nina ideas nyingi tu ambazo u cant imagine kuwa zinaweza tutoa. Ila kwa hili lako. Hebu visi hii website. Nadhan ukitulie/tukitulia kuiandaa hiyo proposal ikafit kwenye vigezo vya hawa wafadhiri tunaweza kufanya kitu. www.terravivagrants.org

Aidha, naomba vijana wenzangu tuunganishe nguvu na kuform serious group ambayo itakusanya think tanks ambao watadesign mradi/miradi itayo materialize. Tukiwa serious miradi ni mingi sana na pesa siku zote ipo sehemu, inahitaji commitment na utayari tu.
 
I have been impressed by the idea of strenghten entrepreneurial tendency especially for graduates, as an intellectual i have also a project in the position to be funded. iko powa hiyo idea yako. Mimi ni entrepreneurial chemist nipo tayari kukusaidia so that we can move our country forward na kwa wale wengine wote wenye idea kama hizo please let contact with me via safariwafungo@yahoo.com

nimependa sana mchango wako katika wazo hili, kumbe wana JF wengi ni wajasiliamali na wanaweza kutoa mwanga katika wazo linalowekwa mezani. mimi pia nko interested sana na kufanya project hiyo ya Kilimo cha Mhogo, kwa kuanzia nimepata ekali 100 katika Wilaya ya Mvomelo, ambapo zote zipo kwenye mchakato wa kupata hati. naomba msaada wa mawazo namna ya kufikia ndoto zangu. kama inawezekana naomba ni PM mkuu ili nipate pa kuanzia.
Habari yako kiongozi, kwenye maeneo yako nimeona umeainisha kuwa umepata shamba wilaya ya mvomero. Naomba nikupe hongera sana kwa kupiga hatua hiyo muhimu kwenye maendeleo. Kilimo hapo nyumban kinalipa sana kama utainvest kwenye zao lenye soko zuri. Mimi napenda kilimo, nina mashamba ila hayafikii ukubwa wa hilo lako. Kitu ambacho ningetaka kujua kabla cjakushauri, je hilo shamba lipo karibu na mto????

Pia hili ni angalizo kwa wananchi wengine wanaofkiria kunnua mashamba, tujitahid sana kunnua mashamba karibu na chanzo cha kudumu cha maji kama kipo karibu na maeneo unayotaka kunnua shamba. Hili ni muhimu maana ni moja kati ya vigezo vinavyoangaliwa na financial isntitutions ambazo zinafund miradi ya kilimo, wanataka kujua likelihood ya mkopaj kufanya irrigation farming. So ukiweza pata shamba karibu na mto utakuwa better of.

Aidha, kwa mashamba ambayo hayapo karibu na vyanzo vya maji, option inaweza kuwa ni kuchimba kisima au kupanda mazao ambayo hayasumbuliwi na ukame. Kama miti ya matunda, hususan Miembe ya kisasa. Kwa ww uliye mvomero zao hili lingekusaidia sana maana upo karibu na chuo cha sokoine, mahal ambapo utapata msaada wa karibu toka kwa wataalam. I would recommend you in some hekas upande miembe ya kisasa. Tunaweza wasiliana kama utahitaj maelezo ya ziada. Mimi pia ningependa pata shamba huko. pls inform me kama bado yanapatikana ili nipate nami ili tuendeleze kilimo eneo hilo.
 
Kaka nimeyasoma maelezo yako vizuri yamenivutia sana, unaonaje tukitafutana tuone jinsi gani tunaweza tukalitekeleza hilo? Call me 0655-833211 au 0686-731417
 
Kaka tatizo hiyo proposal ziliwafikia wakina Riz umeliwa tutaskia kiwanda kishajengwa wakati uliehangaika fanya study unakufa na njaa
 
mie naomba milioni 200,ninunue villa ,nina nyumba mbili zote hazijaisha na sijui lini zitaisha,wakuu nitapata wapi benki wana ruhusu kama kipato changu sio stable(naclaim benefit)
 
Pia ieleweke kwamba a business plan for your business is unique as your business is also unique. Angalizo kama unataka kutumia BP kwa ajili ya kutafuta funds ni vema ukajua format specific wanayo tumia hao wadau (vyombo vya fedha au taasisi husika). BP Samples zilizotolewa humu na zinginezo hakika ni msaada sana kwa anayetaka kuandika yake LAKINI unalazimika kuelewa vipengele husika ukilinganisha na mazingira ya biashara yako, uchumi mkubwa na mdogo, aina ya biashara yako, na format inayo kubarika na wenye fedha hizo (deal na maafisa mikopo). Kama consultant wa mambo haya nimekumbana na hali hiyo, that is why utafiti unahusika sana, NOT JUST READING SOMEONE'S BP AND WRITING YOURS!

DEVELOPMENT CONSULTANCY SERVICES
 
Mkuu Mzuzu,
natamani kujua ulikofikia na hii project!?
 
Back
Top Bottom