Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

huyu jmaa mbona haeleweki...ameingia mitini kama kawaida...manake whatsapp hajibu wala PM
Mbona mimi sijaona namba yake? Naomba unipm namba yake tafadhali, nitashukuru sana
 
Onyo, kwa wale ambao mmetumia id zenu kutema nyongo kwa serikali ya ccm kuweni makini, trust nobody, shetani sometimes anakuja kwa sura ya malaika.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hivi mkuu unajua business plan ndo biashara yenyewe kwanini unaweka hovyo hovyo tu mawazo yako

Hujui kama kuna mtu atachukua na atapigia pesa mpaka basi???????
Fear of unknowns...originality unayo wewe mwenye business plan...hata ukimpa mwingine hatafanya kama wewe...ndio maana hatuendelei
 
Tafadhali unaweza kuweka namba ya simu au email kwa mawasiliano zaidi?
 
Mimi niuakika wa Shamba wa ekali 6 nakuendelea napenda kulima ingawa hadi sasa natafuta mtaji nsha plani kulima maarage but shida ni mtaji
Uko wapi, nahitaji watu wakushilikiana nao katika kilimo kwakua wewe unalo shamba tunaweza zungumza jinsi yakushilikiana namba zangu ni +255 653 231 798 na +255 744 601 144
 
Nina kampuni ya ujenzi nahitaji mwekezaji ambae atafinance working capital na Mitambo ya ujenzi kama yupo tukutane pm Mkuu.
 
Mkuu!! Mungu Ndio Mpangaji! Kama Mtu Akipata Na Akipiga Pesa Kupitia Hiyo BP Bila Kunikumbuka Sawa Tu! Mim Nimehangaika Nayo Sana! Now Nimemuachia Mungu! Atakae Copy Na A Copy
Vizuri, hard work pays. God bless you
 
Ulikuja Na Uzi Unatafuta Mke Awe Na Passport Uende Naye Uholanzi Unakoishi,vipi Ushampata?.
Sasa Hivi Umekuja Na Suala Hili La Project?.
Hii Inaonyesha Unataka Fahamiana Na Member Wa Jf Physically,nia Yako Haswa Nini?.
Tuwe Makini
 
Ninaomba unijulishe namba yako ya simu Au email yako tuweze kuwasiliana. Nina miradi mizuri.
 
Projects ninazo tuwadiliane tafadhali peno. hasegawa@yahoo.com
 
Mkuu bado upo na huu mpango?. Nime ku-pm japo hueleweki na member baadhi nimesoma comment zao hawakuelewi na umejichanganya maelezo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…