kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Umenena vyemahuu ndio uzalendo....kudos mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyemahuu ndio uzalendo....kudos mkuu
Mbona mimi sijaona namba yake? Naomba unipm namba yake tafadhali, nitashukuru sanahuyu jmaa mbona haeleweki...ameingia mitini kama kawaida...manake whatsapp hajibu wala PM
Mkuu vipi umefanikiwa kupata no za mdauMbona mimi sijaona namba yake? Naomba unipm namba yake tafadhali, nitashukuru sana
Hukukosea mkuu. Ndio kwanza page 9Uzi mzuri san huu lkn utakuta michango haizidi pg kumi...kwa jinsi wabongo tunavyopenda udaku
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Onyo, kwa wale ambao mmetumia id zenu kutema nyongo kwa serikali ya ccm kuweni makini, trust nobody, shetani sometimes anakuja kwa sura ya malaika.
Fear of unknowns...originality unayo wewe mwenye business plan...hata ukimpa mwingine hatafanya kama wewe...ndio maana hatuendeleiHivi mkuu unajua business plan ndo biashara yenyewe kwanini unaweka hovyo hovyo tu mawazo yako
Hujui kama kuna mtu atachukua na atapigia pesa mpaka basi???????
Sijapata, jamaa hajajibu pm piaMkuu vipi umefanikiwa kupata no za mdau
Too late. Ninayo tayari...Hivi mkuu unajua business plan ndo biashara yenyewe kwanini unaweka hovyo hovyo tu mawazo yako
Hujui kama kuna mtu atachukua na atapigia pesa mpaka basi???????
Tafadhali unaweza kuweka namba ya simu au email kwa mawasiliano zaidi?Hello Wa Tz
Hii nimefanya research ya kutosha nikaona watanzania wengi wana wana mawazo mazuri sana ya kufanya biashara Ila hawana mtaji au hawana ujuzi juu ya kufanya miradi wanayotaka kufanya,
Wanasema kwamba kutojua kwa mwenzako iwe fursa kwako wewe ambaye unataka kujiinua kimaslai,
Siwafichi nimeona njia hii inaweza kufanya na kuleta mabadiriko
Naomba kama Una mradi wowote ambao unaplan kuufanya lakin kuna Vitu umekwama eleza nitajua jinsi ya kukusaidia Kwa kukupatia sponsor
1. Kama Una kiwanja unataka kujenga huna mtaji wa kutosha au wataka share holder
2. Una shule umekwama Kwa mambo Fulani Fulani kupata wafadhili wa wa kuiendeleza shule hiyo,
3. Una shamba lako unataka liendelezwe
4. Una academy unataka iwe ya kimataifa nitafte
5. Una website unataka uikuze kimataifa
6. Una Duka lako mtaji umelega lega
7. Una miradi yako ya utafiti umekwama kutokana na bajet,
8. Una panga kuanzisha mradi wa usafirishaji:
9. Unafungua kampuni yeyote huna hela ya kutosha
Hayo yote njoo kwangu,
Nina 42 ready investors ambao wako tiyari kuwekeza katika miradi mbali mbali Africa
Nina
Canadian 2
Waingereza 3
Wajapan 6
Wachina 15 lakin hawa wanapenda kuwekeza kwenye mambo ya maliasili suala ambalo ni gumu kidogo
Nina wakorea wa kusini 21 wananisunbua Sana kuhusu sehem wanzoweza wekeza Africa
Pia Nina ushirikiano na taasisi kubwa kubwa ambazo ziko tiyari kuwekeza Africa,
Nature ya kazi nayofanya hainiruhusu kufanya uwekezaji muda huu,
Ila sasa mashart mpaka nikupe connection mpaka ukubali yafuatayo
1. Usiwe katika masuala ya siasa au mwana siasa.
2. Uwe na mradi ambao umeandaliwa kweli kabisa siyo bla blah
3. Nitataka baada ya kukuunganisha nipewe 10% of share in the project
4. Sitaki hela ya mtu now, nataka share kwenye kampuni baada ya kuwaunganisha
Onyo
Kwa wanaotaka kusoma nje na kupata sponsorship hao watulie maana ni vigumu mno kuwapata watu sahihi,
Pia siko hapa kumtaftia mtu kazi nje
Sitaki hela ya mtu ya hongo
Uko wapi, nahitaji watu wakushilikiana nao katika kilimo kwakua wewe unalo shamba tunaweza zungumza jinsi yakushilikiana namba zangu ni +255 653 231 798 na +255 744 601 144Mimi niuakika wa Shamba wa ekali 6 nakuendelea napenda kulima ingawa hadi sasa natafuta mtaji nsha plani kulima maarage but shida ni mtaji
Vizuri, hard work pays. God bless youMkuu!! Mungu Ndio Mpangaji! Kama Mtu Akipata Na Akipiga Pesa Kupitia Hiyo BP Bila Kunikumbuka Sawa Tu! Mim Nimehangaika Nayo Sana! Now Nimemuachia Mungu! Atakae Copy Na A Copy
Ninaomba unijulishe namba yako ya simu Au email yako tuweze kuwasiliana. Nina miradi mizuri.Hello Wa Tz
Hii nimefanya research ya kutosha nikaona watanzania wengi wana wana mawazo mazuri sana ya kufanya biashara Ila hawana mtaji au hawana ujuzi juu ya kufanya miradi wanayotaka kufanya,
Wanasema kwamba kutojua kwa mwenzako iwe fursa kwako wewe ambaye unataka kujiinua kimaslai,
Siwafichi nimeona njia hii inaweza kufanya na kuleta mabadiriko
Naomba kama Una mradi wowote ambao unaplan kuufanya lakin kuna Vitu umekwama eleza nitajua jinsi ya kukusaidia Kwa kukupatia sponsor
1. Kama Una kiwanja unataka kujenga huna mtaji wa kutosha au wataka share holder
2. Una shule umekwama Kwa mambo Fulani Fulani kupata wafadhili wa wa kuiendeleza shule hiyo,
3. Una shamba lako unataka liendelezwe
4. Una academy unataka iwe ya kimataifa nitafte
5. Una website unataka uikuze kimataifa
6. Una Duka lako mtaji umelega lega
7. Una miradi yako ya utafiti umekwama kutokana na bajet,
8. Una panga kuanzisha mradi wa usafirishaji:
9. Unafungua kampuni yeyote huna hela ya kutosha
Hayo yote njoo kwangu,
Nina 42 ready investors ambao wako tiyari kuwekeza katika miradi mbali mbali Africa
Nina
Canadian 2
Waingereza 3
Wajapan 6
Wachina 15 lakin hawa wanapenda kuwekeza kwenye mambo ya maliasili suala ambalo ni gumu kidogo
Nina wakorea wa kusini 21 wananisunbua Sana kuhusu sehem wanzoweza wekeza Africa
Pia Nina ushirikiano na taasisi kubwa kubwa ambazo ziko tiyari kuwekeza Africa,
Nature ya kazi nayofanya hainiruhusu kufanya uwekezaji muda huu,
Ila sasa mashart mpaka nikupe connection mpaka ukubali yafuatayo
1. Usiwe katika masuala ya siasa au mwana siasa.
2. Uwe na mradi ambao umeandaliwa kweli kabisa siyo bla blah
3. Nitataka baada ya kukuunganisha nipewe 10% of share in the project
4. Sitaki hela ya mtu now, nataka share kwenye kampuni baada ya kuwaunganisha
Onyo
Kwa wanaotaka kusoma nje na kupata sponsorship hao watulie maana ni vigumu mno kuwapata watu sahihi,
Pia siko hapa kumtaftia mtu kazi nje
Sitaki hela ya mtu ya hongo
Projects ninazo tuwadiliane tafadhali peno. hasegawa@yahoo.comHello Wa Tz

Niko serious kabisa