Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

mm nina blog yangu nataka kuindeleza na nataka nipate followers wengi na namna ya kupata hela kupitia blog hiyo yaani unafanyaje kuwa adsence sijui hilo
 
Hello Wa Tz
Hii nimefanya research ya kutosha nikaona watanzania wengi wana wana mawazo mazuri sana ya kufanya biashara Ila hawana mtaji au hawana ujuzi juu ya kufanya miradi wanayotaka kufanya,

Wanasema kwamba kutojua kwa mwenzako iwe fursa kwako wewe ambaye unataka kujiinua kimaslai,

Siwafichi nimeona njia hii inaweza kufanya na kuleta mabadiriko

Naomba kama Una mradi wowote ambao unaplan kuufanya lakin kuna Vitu umekwama eleza nitajua jinsi ya kukusaidia Kwa kukupatia sponsor

1. Kama Una kiwanja unataka kujenga huna mtaji wa kutosha au wataka share holder
2. Una shule umekwama Kwa mambo Fulani Fulani kupata wafadhili wa wa kuiendeleza shule hiyo,

3. Una shamba lako unataka liendelezwe
4. Una academy unataka iwe ya kimataifa nitafte
5. Una website unataka uikuze kimataifa
6. Una Duka lako mtaji umelega lega
7. Una miradi yako ya utafiti umekwama kutokana na bajet,
8. Una panga kuanzisha mradi wa usafirishaji:
9. Unafungua kampuni yeyote huna hela ya kutosha

Hayo yote njoo kwangu,

Nina 42 ready investors ambao wako tiyari kuwekeza katika miradi mbali mbali Africa

Nina
Canadian 2
Waingereza 3
Wajapan 6
Wachina 15 lakin hawa wanapenda kuwekeza kwenye mambo ya maliasili suala ambalo ni gumu kidogo
Nina wakorea wa kusini 21 wananisunbua Sana kuhusu sehem wanzoweza wekeza Africa

Pia Nina ushirikiano na taasisi kubwa kubwa ambazo ziko tiyari kuwekeza Africa,

Nature ya kazi nayofanya hainiruhusu kufanya uwekezaji muda huu,

Ila sasa mashart mpaka nikupe connection mpaka ukubali yafuatayo

1. Usiwe katika masuala ya siasa au mwana siasa.
2. Uwe na mradi ambao umeandaliwa kweli kabisa siyo bla blah
3. Nitataka baada ya kukuunganisha nipewe 10% of share in the project

4. Sitaki hela ya mtu now, nataka share kwenye kampuni baada ya kuwaunganisha

Onyo
Kwa wanaotaka kusoma nje na kupata sponsorship hao watulie maana ni vigumu mno kuwapata watu sahihi,

Pia siko hapa kumtaftia mtu kazi nje

Sitaki hela ya mtu ya hongo

nina mradi wa Asali ninafanya shughuli hiyo kwa muda sasa nimeuza hapahapa nchini sasa nataka soko la nje la kuuza asali hii nisaidie kwa hili mkuu

halafu je nawezaje kupata vibali vya kuexport biashara hii uko nje na wapi wanatoa vibali hivyo?

halafu ninauza mbogamboga kama giligilani, naitaji soko pia niunganishe mkuu
 
Nina mradi wa maparachichi nmefanikiwa kuuza katika soko la ndani nahitaji msaada zaidi wa kujifunza na kupata izoefu wa masoko ya nje
 
Nina mradi wa usafirishaji abiria hapa jijini Dar, zaidi ya miaka 5; wazo langu ni kutanua wigo kwa kuanzia safari za nje ya Dar. Hivyo nahitaji mtaji mkubwa wa kununua magari ya abiria
 
Mimi ninao mpango wakuimport zana za kilimo cha kisasa kama vifaa vya umwagiliaji wa matone, material ya greenhouses na vingine ambavyo kwa hapa tanzania sio vyakutosha na nigharama kubwa ukilinganisha na ilivyo kwa nchi kama china
 
Kuna baadhi ya maeneo Bagamoyo yalikuwa ni mashamba, sasa serikali ya kijiji imeamuru wamiliki wa mashamba hayo ya zamani yagawiwe na kuwa viwanja vya makazi ( Makazi ya Watu).
Ninacho fikiri;

1. Ni kupata mtaji wa kununua mashamba hayo toka kwa wamiliki.
2. Kuyapima mashamba hayo na kutoa viwanja vya makazi.
3. Kuvitangaza viwanja hivyo na.
 
Mimi night duka la jumla nataka liwe supermarket.
Hello Wa Tz
Hii nimefanya research ya kutosha nikaona watanzania wengi wana wana mawazo mazuri sana ya kufanya biashara Ila hawana mtaji au hawana ujuzi juu ya kufanya miradi wanayotaka kufanya,

Wanasema kwamba kutojua kwa mwenzako iwe fursa kwako wewe ambaye unataka kujiinua kimaslai,

Siwafichi nimeona njia hii inaweza kufanya na kuleta mabadiriko

Naomba kama Una mradi wowote ambao unaplan kuufanya lakin kuna Vitu umekwama eleza nitajua jinsi ya kukusaidia Kwa kukupatia sponsor

1. Kama Una kiwanja unataka kujenga huna mtaji wa kutosha au wataka share holder
2. Una shule umekwama Kwa mambo Fulani Fulani kupata wafadhili wa wa kuiendeleza shule hiyo,

3. Una shamba lako unataka liendelezwe
4. Una academy unataka iwe ya kimataifa nitafte
5. Una website unataka uikuze kimataifa
6. Una Duka lako mtaji umelega lega
7. Una miradi yako ya utafiti umekwama kutokana na bajet,
8. Una panga kuanzisha mradi wa usafirishaji:
9. Unafungua kampuni yeyote huna hela ya kutosha

Hayo yote njoo kwangu,

Nina 42 ready investors ambao wako tiyari kuwekeza katika miradi mbali mbali Africa

Nina
Canadian 2
Waingereza 3
Wajapan 6
Wachina 15 lakin hawa wanapenda kuwekeza kwenye mambo ya maliasili suala ambalo ni gumu kidogo
Nina wakorea wa kusini 21 wananisunbua Sana kuhusu sehem wanzoweza wekeza Africa

Pia Nina ushirikiano na taasisi kubwa kubwa ambazo ziko tiyari kuwekeza Africa,

Nature ya kazi nayofanya hainiruhusu kufanya uwekezaji muda huu,

Ila sasa mashart mpaka nikupe connection mpaka ukubali yafuatayo

1. Usiwe katika masuala ya siasa au mwana siasa.
2. Uwe na mradi ambao umeandaliwa kweli kabisa siyo bla blah
3. Nitataka baada ya kukuunganisha nipewe 10% of share in the project

4. Sitaki hela ya mtu now, nataka share kwenye kampuni baada ya kuwaunganisha

Onyo
Kwa wanaotaka kusoma nje na kupata sponsorship hao watulie maana ni vigumu mno kuwapata watu sahihi,

Pia siko hapa kumtaftia mtu kazi nje

Sitaki hela ya mtu ya hongo
 
Mimi nina plan ya kuanzisha project ya kulinda maliasili zinazopatikana kwenye vyanzo vya maji hasa ukanda Lake victoria hebu niunganishe na hao wachina.
 
Nina mradi wa usafirishaji abiria hapa jijini Dar, zaidi ya miaka 5; wazo langu ni kutanua wigo kwa kuanzia safari za nje ya Dar. Hivyo nahitaji mtaji mkubwa wa kununua magari ya abiria
Ccm si ndio huwa inatangaza kuinuwa wajasiriamali? Ni kwa nini usiende Lumumba? Au huwa mnadanganya watu.
 
Hello Wa Tz
Hii nimefanya research ya kutosha nikaona watanzania wengi wana wana mawazo mazuri sana ya kufanya biashara Ila hawana mtaji au hawana ujuzi juu ya kufanya miradi wanayotaka kufanya,

Wanasema kwamba kutojua kwa mwenzako iwe fursa kwako wewe ambaye unataka kujiinua kimaslai,

Siwafichi nimeona njia hii inaweza kufanya na kuleta mabadiriko

Naomba kama Una mradi wowote ambao unaplan kuufanya lakin kuna Vitu umekwama eleza nitajua jinsi ya kukusaidia Kwa kukupatia sponsor

1. Kama Una kiwanja unataka kujenga huna mtaji wa kutosha au wataka share holder
2. Una shule umekwama Kwa mambo Fulani Fulani kupata wafadhili wa wa kuiendeleza shule hiyo,

3. Una shamba lako unataka liendelezwe
4. Una academy unataka iwe ya kimataifa nitafte
5. Una website unataka uikuze kimataifa
6. Una Duka lako mtaji umelega lega
7. Una miradi yako ya utafiti umekwama kutokana na bajet,
8. Una panga kuanzisha mradi wa usafirishaji:
9. Unafungua kampuni yeyote huna hela ya kutosha

Hayo yote njoo kwangu,

Nina 42 ready investors ambao wako tiyari kuwekeza katika miradi mbali mbali Africa

Nina
Canadian 2
Waingereza 3
Wajapan 6
Wachina 15 lakin hawa wanapenda kuwekeza kwenye mambo ya maliasili suala ambalo ni gumu kidogo
Nina wakorea wa kusini 21 wananisunbua Sana kuhusu sehem wanzoweza wekeza Africa

Pia Nina ushirikiano na taasisi kubwa kubwa ambazo ziko tiyari kuwekeza Africa,

Nature ya kazi nayofanya hainiruhusu kufanya uwekezaji muda huu,

Ila sasa mashart mpaka nikupe connection mpaka ukubali yafuatayo

1. Usiwe katika masuala ya siasa au mwana siasa.
2. Uwe na mradi ambao umeandaliwa kweli kabisa siyo bla blah
3. Nitataka baada ya kukuunganisha nipewe 10% of share in the project

4. Sitaki hela ya mtu now, nataka share kwenye kampuni baada ya kuwaunganisha

Onyo
Kwa wanaotaka kusoma nje na kupata sponsorship hao watulie maana ni vigumu mno kuwapata watu sahihi,

Pia siko hapa kumtaftia mtu kazi nje

Sitaki hela ya mtu ya hongo
 
Hello Wa Tz
Hii nimefanya research ya kutosha nikaona watanzania wengi wana wana mawazo mazuri sana ya kufanya biashara Ila hawana mtaji au hawana ujuzi juu ya kufanya miradi wanayotaka kufanya,

Wanasema kwamba kutojua kwa mwenzako iwe fursa kwako wewe ambaye unataka kujiinua kimaslai,

Siwafichi nimeona njia hii inaweza kufanya na kuleta mabadiriko

Naomba kama Una mradi wowote ambao unaplan kuufanya lakin kuna Vitu umekwama eleza nitajua jinsi ya kukusaidia Kwa kukupatia sponsor

1. Kama Una kiwanja unataka kujenga huna mtaji wa kutosha au wataka share holder
2. Una shule umekwama Kwa mambo Fulani Fulani kupata wafadhili wa wa kuiendeleza shule hiyo,

3. Una shamba lako unataka liendelezwe
4. Una academy unataka iwe ya kimataifa nitafte
5. Una website unataka uikuze kimataifa
6. Una Duka lako mtaji umelega lega
7. Una miradi yako ya utafiti umekwama kutokana na bajet,
8. Una panga kuanzisha mradi wa usafirishaji:
9. Unafungua kampuni yeyote huna hela ya kutosha

Hayo yote njoo kwangu,

Nina 42 ready investors ambao wako tiyari kuwekeza katika miradi mbali mbali Africa

Nina
Canadian 2
Waingereza 3
Wajapan 6
Wachina 15 lakin hawa wanapenda kuwekeza kwenye mambo ya maliasili suala ambalo ni gumu kidogo
Nina wakorea wa kusini 21 wananisunbua Sana kuhusu sehem wanzoweza wekeza Africa

Pia Nina ushirikiano na taasisi kubwa kubwa ambazo ziko tiyari kuwekeza Africa,

Nature ya kazi nayofanya hainiruhusu kufanya uwekezaji muda huu,

Ila sasa mashart mpaka nikupe connection mpaka ukubali yafuatayo

1. Usiwe katika masuala ya siasa au mwana siasa.
2. Uwe na mradi ambao umeandaliwa kweli kabisa siyo bla blah
3. Nitataka baada ya kukuunganisha nipewe 10% of share in the project

4. Sitaki hela ya mtu now, nataka share kwenye kampuni baada ya kuwaunganisha

Onyo
Kwa wanaotaka kusoma nje na kupata sponsorship hao watulie maana ni vigumu mno kuwapata watu sahihi,

Pia siko hapa kumtaftia mtu kazi nje

Sitaki hela ya mtu ya hongo
Mkuu Habari, naomba tuwasiliane nina hizo projects na zinahitaji hao investors +255677027084, gkalussanga@gmail.com
 
Interesting... Ngoja nione Luna mawili uniume sikio.

All in all asante sana kwa jitihada.
 
Tufanye real agriculture...tu embrace science and technology kwenye agriculture....tutafute masoko nje tuuze...tuwe more of exporters than importers
 
Tusisahau value addition kwenye agricultural produce and products
 
Back
Top Bottom