Projections 2075: Bado USA itakuwa na uchumi mkubwa

Projections 2075: Bado USA itakuwa na uchumi mkubwa

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana

Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion USD GDP, China litakuwa taifa la pili na GDP Yao itakuwa 44 trillion USD GDP na projection zinasema population ya China itakuwa 700 million

India atakuwa nafasi ya tatu na GDP ya 38 trillion USD GDP.

Russia atakuwa na GDP ya 6 trillion USD GDP.

Kwa hiyo USA bado tunaye. Hashuki Leo wala kesho. Marekani Bado sana
 
Ndiyo uone utofauti wa Nchi za Dunia ya Kwanza na sisi Kajamba nani

Watu wanawaza kuhusu Uchumi wao Mwaka 2075, wakati huo sisi Wazee wa kukopa nadhani tutakuwa ndiyo tunamalizia Ule Mkopo tuliosaini Mwezi Uliopita 🙌
 
Nimeangalia hapa takwimu inaonesha Mwaka 2024 China ina Raia Bilioni 1.42

Lakini Mwaka 2075 itakuwa na watu million 700, ni pungufu karibu nusu ya idadi waliyonayo sasa

Hizi Sera za Uzazi wa Mpango waziangalie, vinginevyo watakuta wanakuja kuchukua wafanyakazi Tanzania kwaajili ya Viwanda vyao.

Kwa maana maendeleo ni pamoja na Watu, ukikosa watu Uchumi wa Nchi unaweza kushuka pia
 
Source iko wapi ya hio projection kwanini usingeiweka hapa tu fact check ilichosema? Na nani kafanya hio projection? Ni independent research au ndo IMF na WB?

Unanikumbusha tafiti iliyosema Google ndio kampuni bora ya teknolojia, huu utafiti ulifanywa na team ya tafiti kutoka Google
 
Africa ndio game changer,,atakaeweza kukaa vizuri huku mbeleni uhakika wa kua superpower upo,,ndo maana hadi mrusi nae kaamua aanze kujiongeza
 
punguzeni bange..china unaichukulia poa

Top 30 Largest Economies in the World by 2075

28. Tanzania

GDP Forecast (2075): $2.17 Trillion

Estimated Share in the Global GDP (2075): 0.67%

Population Forecast (2075): 193.42 Million

Tanzania is an East African country and is home to some of the world’s most beautiful national parks. For the year 2075, projections indicate that Tanzania will hold 0.67% of the global GDP and its GDP will reach $2.17 trillion due to its natural resources, such as gold and natural gas. Tanzania’s population is expected to reach 193.42 million by 2075.
 
Attachments

  • download.png
    download.png
    13.3 KB · Views: 7
Hahaha mtoa mada kumbuka kitu kuna watu waliala matajiri wakamka maskini, na kuna watu walilala masikini wakamka matajiri.

Hizo ni projections za watu, je Mungu anakubaliana nazo?
 
punguzeni bange..china unaichukulia poa

Top 30 Largest Economies in the World by 2075

28. Tanzania

GDP Forecast (2075): $2.17 Trillion

Estimated Share in the Global GDP (2075): 0.67%

Population Forecast (2075): 193.42 Million

Tanzania is an East African country and is home to some of the world’s most beautiful national parks. For the year 2075, projections indicate that Tanzania will hold 0.67% of the global GDP and its GDP will reach $2.17 trillion due to its natural resources, such as gold and natural gas. Tanzania’s population is expected to reach 193.42 million by 2075.
Namba 28 duniani, bila shaka tutakuwa DONA kantri, safi kabisa!
 
Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana

Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion USD GDP, China litakuwa taifa la pili na GDP Yao itakuwa 44 trillion USD GDP na projection zinasema population ya China itakuwa 700 million

India atakuwa nafasi ya tatu na GDP ya 38 trillion USD GDP.

Russia atakuwa na GDP ya 6 trillion USD GDP.

Kwa hiyo USA bado tunaye. Hashuki Leo wala kesho. Marekani Bado sana
Mbwembwe zoote hizi kumbe lengo lako ni RUSSIA mpuuzi kweli wewe
 
Back
Top Bottom