Projections 2075: Bado USA itakuwa na uchumi mkubwa

punguzeni bange..china unaichukulia poa

Top 30 Largest Economies in the World by 2075

28. Tanzania

GDP Forecast (2075): $2.17 Trillion

Estimated Share in the Global GDP (2075): 0.67%

Population Forecast (2075): 193.42 Million

Tanzania is an East African country and is home to some of the world’s most beautiful national parks. For the year 2075, projections indicate that Tanzania will hold 0.67% of the global GDP and its GDP will reach $2.17 trillion due to its natural resources, such as gold and natural gas. Tanzania’s population is expected to reach 193.42 million by 2075.
Hii projection ni ya KAFULILA ktk juhudi za kuutafuta ugali mkubwa zaidi vinginevyo aliyeandika alishakufa
 
Kuna watu wanasema China itaipiku USA lakini hawaangalii kwa sasa USA amejikita kwenye biashara ya huduma ambapo kila sekundi wanaingiza bilioni of money, Amazon, Boeing, whats app, facebook, Google, dolarization, Twita, Estagram, software, programming, right patent, starlink ya Elon musk, hivyo vitu tunaona ni vitu vya kawaida lakini ndo migodi ya USA kila sekond pesa zinaingia tofauti na China anayetegemea atengeneza mabasi, treni, malori, simu, bado USA ameshika soko la ndege na silaha.
 
JINGA HILI....UCHUMI MAKINI HAUENDESHWI NA POST ZA INSTAGRAM...
 
Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana

Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion USD GDP, China litakuwa taifa la pili na GDP Yao itakuwa 44 trillion USD GDP na projection zinasema population ya China itakuwa 700 million

India atakuwa nafasi ya tatu na GDP ya 38 trillion USD GDP.

Russia atakuwa na GDP ya 6 trillion USD GDP.

Kwa hiyo USA bado tunaye. Hashuki Leo wala kesho. Marekani Bado sana
Wapumbavu mpo wengi sana labda ungesema marekani kupasuka vipande ni mpaka huo mwaka ningekuunga mkono

Wewe kweli ni zuzu ...labda ungesema marekani kupasuka vipande ni mpaka huo mwaka ningekuunga mkono .....urusi kaicharaza marekani kiboko kimoja matata sana marekani yenyewe inajua mziki wa icho kiboko....nacho ni kuidhoofisha dolla. Ambayo inakwenda kuanguka ndani ya miaka mitatu tu kutoka sasa
 
Economic facts and projections from the University of Madrasat, Kilwa Kivinje as shared by Professor Sheikh Abdallah Kichwawazi the head of the faculty of contemporary economics and allied studies. Wabillah Taufiq.
 
Ndiyo uone utofauti wa Nchi za Dunia ya Kwanza na sisi Kajamba nani

Watu wanawaza kuhusu Uchumi wao Mwaka 2075, wakati huo sisi Wazee wa kukopa nadhani tutakuwa ndiyo tunamalizia Ule Mkopo tuliosaini Mwezi Uliopita 🙌
Marekani ndiye anayeongoza kwa kudaiwa duniani
 
punguzeni bange..china unaichukulia poa

Top 30 Largest Economies in the World by 2075

28. Tanzania

GDP Forecast (2075): $2.17 Trillion

Estimated Share in the Global GDP (2075): 0.67%

Population Forecast (2075): 193.42 Million

Tanzania is an East African country and is home to some of the world’s most beautiful national parks. For the year 2075, projections indicate that Tanzania will hold 0.67% of the global GDP and its GDP will reach $2.17 trillion due to its natural resources, such as gold and natural gas. Tanzania’s population is expected to reach 193.42 million by 2075.
Jamani Ethiopia anaonekana atakua wa wa saba duniani na wa kwanza Afrika, kwa kipi?
 
Nimeangalia hapa takwimu inaonesha Mwaka 2024 China ina Raia Bilioni 1.42

Lakini Mwaka 2075 itakuwa na watu million 700, ni pungufu karibu nusu ya idadi waliyonayo sasa

Hizi Sera za Uzazi wa Mpango waziangalie, vinginevyo watakuta wanakuja kuchukua wafanyakazi Tanzania kwaajili ya Viwanda vyao.

Kwa maana maendeleo ni pamoja na Watu, ukikosa watu Uchumi wa Nchi unaweza kushuka pia
Sidhani saana kuhusu hiyo source yake maana hajaainisha USA itakuwa na ppn ya watu wangapi na china pia

Labda angesema kwann ppn ya china ishuke...

Current GDP ya USA ni USD 27 trillion

Current GDP ya china ni USD 17 trillion
 
Yeye ameonesha kutakuwa na changamoto ya kupungua idadi ya watu China kutokana na sera ya uzazi wa mpango, hivyo kuathiri uzalishaji wao na Uchumi kwa ujumla

Ila ni muhimu kuandika chanzo cha hiyo habari yake.

Suala la idadi ndogo ya watu huenda ikazikumba Nchi zote za Dunia ya kwanza, kutokana na hiyo sera yao ya uzazi wa mpango pamoja na utoaji mimba ulioharalishwa na Sheria zao
 
Nimeangalia hapa takwimu inaonesha Mwaka 2024 China ina Raia Bilioni 1.42

Lakini Mwaka 2075 itakuwa na watu million 700, ni pungufu karibu nusu ya idadi waliyonayo sasa

Hizi Sera za Uzazi wa Mpango waziangalie, vinginevyo watakuta wanakuja kuchukua wafanyakazi Tanzania kwaajili ya Viwanda vyao.

Kwa maana maendeleo ni pamoja na Watu, ukikosa watu Uchumi wa Nchi unaweza kushuka pia
Ushasahau tech inaelekea kwnye robotics zaidi? Hao 700m wengine watakosa ajira na kuja Africa
 
Ni sahihi lakini kushuka Kwa idadi ya watu kutoka 1.4B hadi milioni 700+ ni jambo la kutisha ujue

Hayo mambo yao ya uzazi wa mpango pamoja na sera zao za kuharalisha utoaji mimba sio jambo la kufurahia hata kidogo

Maendeleo ni pamoja na watu
 
Ni kweli maendeleo ni pamoja na rasilimali watu.

Lakini hapa kwetu mfano Tanzania rasilimali watu haijawa faida Kwa sababu tuna rasilimali watu kubwa ila kutokana na mifumo bado rasilimali watu hii haijawa na tija kubwa katika kuchangia ukuaji WA uchumi kwani wengi ni unproductive badala ya kwenda kufyeka misitu huko na kulima wengi wamekuwa dependent, middle mens n.k.

Labda Kwa Africa idadi ya watu imesaidia kuongeza soko la bidhaa Kama chakula lakini bado pia tuna low purchasing power ya bidhaa, lakini pia hata Kama hi hii populations kuwa kubwa bado hatuna viwanda vyakusema tunazalisha ili tutumie soko letu la ndani vzr, ndio Kwanza mnufaika mkubwa WA idadi yetu kubwa ni mchina Kwa kuuza mabidhaa yake mengi....

To me bado Kwa Africa Naona idadi kubwa yawatu naiona Kama hasara kuliko faida. Yaan wingi wetu ni faida Kwa china na nchi nyingine huko zinazopata soko letu

Kwa wachina it's okay nafikiri wao Kwa idadi Yao ni more productive than us, nahisi china hata siku akipigwa vikwazo soko lake la ndani tuu linaweza kumsaidia
 
Umesema sahihi Mkuu, pamoja na ongezeko kubwa la watu tulilonalo kama Taifa

Bado changamoto ya ajira imefanya kundi kubwa la Vijana wasiwe wazalishaji hivyo kubaki Wategemezi

Iwapo kungekuwa na sera mbadala za kuwapatia mitaji baada ya kupitia mawazo yao ya biashara ama Kilimo, huenda hilo ongezeko la watu lingesaidia

Kwasasa idadi hiyo ya watu ina wanufaisha makampuni ya Simu tu na vyakula hasa akina Barhesa na Mo
 
Vipi kuhusu Tanzania, kwa kutumia hizo PROJECTION tutakuwa MAHALA gani?
Au haujahangaika hata kuichungulia Tanzania katika hizo PROJECTION?
Nje ya Tanzania, mataifa almost yote ya Africa sidhani kama huaga tupo serious na nchi zetu; tunaonekanaga kama tunapanga jambo lakini wala. You can't predict anything in black countries. Hivi kwa Tanzania, just Marais kuanzia Mkapa, Kikwete, Magufuli na mama, unaweza kuiona consistent kwao kweli? Na hao wote wanatoka chama 1; what if tukibadiri chama? Waafrica hatunaga msimamo, kwanza tuna amini kuna taifa lingine nje ya sisi litakuja kutuendeleza. Imagine hata kushusha makontena kutoka kwenye meli nako hatuwezi, Imagine hata city buses rais mmoja aliweza lakini mwingine kashindwa, just imagine, halafu ndio umlaumu mtu kwa kushindwa kufanya PROJECTION ya uchumi wetu in 50 years to come? Hata miaka 10 ijayo tu ni ngumu kwetu ku predict
 
Ni kweli maendeleo ni pamoja na rasilimali watu.

Lakini hapa kwetu mfano Tanzania rasilimali watu haijawa faida Kwa sababu tuna rasilimali watu kubwa ila kutokana na mifumo bado rasilimali watu hii haijawa na tija kubwa katika kuchangia ukuaji WA uchumi kwani wengi ni unproductive badala ya kwenda kufyeka misitu huko na kulima wengi wamekuwa dependent, middle mens n.k.

Labda Kwa Africa idadi ya watu imesaidia kuongeza soko la bidhaa Kama chakula lakini bado pia tuna low purchasing power ya bidhaa, lakini pia hata Kama hi hii populations kuwa kubwa bado hatuna viwanda vyakusema tunazalisha ili tutumie soko letu la ndani vzr, ndio Kwanza mnufaika mkubwa WA idadi yetu kubwa ni mchina Kwa kuuza mabidhaa yake mengi....

To me bado Kwa Africa Naona idadi kubwa yawatu naiona Kama hasara kuliko faida. Yaan wingi wetu ni faida Kwa china na nchi nyingine huko zinazopata soko letu

Kwa wachina it's okay nafikiri wao Kwa idadi Yao ni more productive than us, nahisi china hata siku akipigwa vikwazo soko lake la ndani tuu linaweza kumsaidia

Rasilimali yoyote inakua rasilimali baada ya kuendelezwa, ardhi kwa mfano haina value km haijafanyiwa development, vilevile rasilimali watu, kwa watanzania hawa ambao hawajaendelezwa hawawezi kuwa ni rasilimali ila ni consumers tu wasio na tija, mfumo haujaweka namna sahihi ya kuendeleza watu na kuwadispose kuleta tija. Idadi ya watu wanaozalisha against wasiozalisha inaonyesha wazalishaji wamelewa na dependents so matokeo yake uchumi wa nchi unategemea kukopa resources kwa wazalishaji wa nchi zingine ili kufidia nakisi iliyopo, matokeo yake ni kwamba tunakula nguvu za watoto na wajukuu leo hii baadaye wanakuja kulipa kama ambavyo sisi tunalipa walivyokula wazazi wetu

Kuna haja kubwa sana ya kutazama upya namna ya makuzi na uwezeshaji wa watu wetu ili wawe na tija kwa nchi inaonekana elimu tuliyorithi ya kimagharibi haina namna inambadilisha mtanzania tofauti sana na nchi zingine.
 
Umesema sahihi Mkuu, pamoja na ongezeko kubwa la watu tulilonalo kama Taifa

Bado changamoto ya ajira imefanya kundi kubwa la Vijana wasiwe wazalishaji hivyo kubaki Wategemezi

Iwapo kungekuwa na sera mbadala za kuwapatia mitaji baada ya kupitia mawazo yao ya biashara ama Kilimo, huenda hilo ongezeko la watu lingesaidia

Kwasasa idadi hiyo ya watu ina wanufaisha makampuni ya Simu tu na vyakula hasa akina Barhesa na Mo

Yes tatizo la ajira ni kubwa kwa kuwa vijana hawaajiriki! Wanakua half cooked na hawana skilss, knowledge wala attitude sahihi ya kujiletea maendeleo yao binafsi na taifa kwa ujumla wake, ambayo ndio msingi wa elimu yoyote
 
Pamoja na kuwa na hilo tatizo, bado Serikali ilitakiwa kuwawezesha Mikopo pamoja na ujuzi hata wa welding and likes kisha kuwapatia mitaji yenye riba nafuu ili Vijana waweze kujiajiri na kupunguza level ya utegemezi kwenye jamii zetu

Siku hizi imekuwa kawaida kuombwa elfu 2 mbili na Vijana watu wazima kabisa ambao Wana nguvu ila wamekosa kuwezeshwa tu
 
Kuwawezesha kwanza kabisa ndio kuwapa ujuzi badala ya kuwakaririsha wafaulu mitihani ya multiple choice na kuwapa maGPA ya uongo, kama mtu hajapata ujuzi kumkopesha ni kupoteza pesa kwa uhakika kabisa, kijana aliyeiva wala hahitaji kuelekezwa wapi atapata mtaji, yani ana maarifa na anaona resources zote! Huyu wa kuomba elfu 2 mkuu, ukimpa milioni 2 huo mtaji si ataenda kubet? Mikopo ina taratibu zake za kulinda value ya pesa na kuifanya iwe na tija, hamna serikali duniani inatoa tu ila inaweza kuweka pesa mahali (iwe bank au taasisi nyingine) then wenye ujuzi, nia na attitude sahihi wanatangaziwa wakaombe mikopo wenyewe, so kila anayejitambua anakwenda na inakuwa ni mkataba kati yake na hiyo taasisi kwa niaba ya serikali!
 
Back
Top Bottom