Kama tutaendelea na kiongozi mithili ya Samia tutakuwa tumepiga hatua. Mama ana maano makubwa.Vipi kuhusu Tanzania, tutakuwa MAHALA gani?
Hatua zetu hazina namba?Kama tutaendelea na kiongozi mithili ya Samia tutakuwa tumepiga hatua. Mama ana maano makubwa.
Eneo pekee Tanzania inapiga hatua za haraka ni katika kuzaliana.Tanzania itakuwa 2.2 trillion ila na population ya watu million 250
🤣🤣🤣🤣Vipi kuhusu Tanzania, kwa kutumia hizo PROJECTION tutakuwa MAHALA gani?
Au haujahangaika hata kuichungulia Tanzania katika hizo PROJECTION?
Aaaah!Tanzania itakuwa 2.2 trillion ila na population ya watu million 250
Namba 28 duniani, bila shaka tutakuwa DONA kantri, safi kabisa!punguzeni bange..china unaichukulia poa
Top 30 Largest Economies in the World by 2075
28. Tanzania
GDP Forecast (2075): $2.17 Trillion
Estimated Share in the Global GDP (2075): 0.67%
Population Forecast (2075): 193.42 Million
Tanzania is an East African country and is home to some of the world’s most beautiful national parks. For the year 2075, projections indicate that Tanzania will hold 0.67% of the global GDP and its GDP will reach $2.17 trillion due to its natural resources, such as gold and natural gas. Tanzania’s population is expected to reach 193.42 million by 2075.
Mbwembwe zoote hizi kumbe lengo lako ni RUSSIA mpuuzi kweli weweKwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana
Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion USD GDP, China litakuwa taifa la pili na GDP Yao itakuwa 44 trillion USD GDP na projection zinasema population ya China itakuwa 700 million
India atakuwa nafasi ya tatu na GDP ya 38 trillion USD GDP.
Russia atakuwa na GDP ya 6 trillion USD GDP.
Kwa hiyo USA bado tunaye. Hashuki Leo wala kesho. Marekani Bado sana