Nchi hii iliharibika tangu 1985 mpaka hivi leo wala sio uchumi tu kila kitu. Acheni chuki zenuAliharibu Uchumi wa Nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii iliharibika tangu 1985 mpaka hivi leo wala sio uchumi tu kila kitu. Acheni chuki zenuAliharibu Uchumi wa Nchi
UongoMiaka 10 lakini ndiyo Rais aliyeifungua Tanzania miji yote unayoiona ilianza kupanuka na kujengwa vizuri kipindi cha Mwinyi.Na ni kipindi watu walijifunza kuvaa vizuri na hata watu wa vijijini walijifunza kuvaa viatu.
Humjui mwinyi,uwe unamsikiliza vizuri, unaweza Dhani anakusifia kumbe kinyume,1995 kampeni akimnadi mkapa,mchagueni huyu,ana degree za chuo kikuu,Tena kuukuuShujaa Maguful rip
Mzee Mwinyi: Kazi zilizotushinda Marais 3 kwa miaka 30 Magufuli kazifanya kwa miaka 3 tu
Uwongo wake uko wapi!?..tuliokua 1990s kutembea peku bila ndala ni kawaida,shule waenda peku wengi tu,viraka vilianza kupoteaUongo
Uchumi wa kati ni mipango ya mzee mkapa toka mwishoni 1990s, huwezi toka uchumi masikini wa chini ufike uchumi wa kati kwa miaka miwili madarakani, tatizo shule hunaHuu huu ambao nchi iliingia uchumi wa kati au unazungumzia uchumi upi?
Tangu vita vya Urusi na Ukraine vimeanza umewahi kusikia khs chanjo na corona.?Imagine wenzie wanachukua chanjo Ili biashara zifunguke wewe hutaki Sasa uta interact na nani umuambukize?
Kwamba lisu alipataga kura nyingi kuliko Magufuli?acha vichekesho.Alikopa JPM sema kipindi chake uwazi haukuwepo kabisa hata kura aliiba halafu akasema ameshinda kwa kishindo na kuzima mitandao yote kwa muda wa mwezi mmoja.
wajinga bado mpo mnaoamini katika ile chanjo?Kama Sgr ya Dar Moro ilimshinda ndio treni ifanye kazi? Kwanza angekuwepo Nchi ingeshaanguka kiuchumi zamani sana.
Imagine wenzie wanachukua chanjo Ili biashara zifunguke wewe hutaki Sasa uta interact na nani umuambukize?
Nyie wenye akili ndogo ndio mnawaza hivyo,Nchi ingekuwa kama Ethiopia inaongoza Kwa idadi ya maskini ila Ina madaraja ya kupigia picha Ili kujitutumua kama unafanya kazi.
Saiz mmewashiwa mitandao mnazimiwa umeme. Kweli TZ ni kichwa cha mwendawazimuAlikopa JPM sema kipindi chake uwazi haukuwepo kabisa hata kura aliiba halafu akasema ameshinda kwa kishindo na kuzima mitandao yote kwa muda wa mwezi mmoja.
Huyu alikuwa mtu wa pekee Sana hakuwa wa kawaidaPresident John Magufuli of Tanzania initiated a number of large-scale infrastructure projects during his tenure, including:
Some of these projects have been completed, while others are still in progress. The SGR and JNHPP are among the most ambitious projects, and they have been praised for their potential to transform Tanzania's economy. However, they have also been criticized for their high cost and environmental impact.
- Tanzania Standard Gauge Railway (SGR): A 2,561-kilometer railway line that will eventually connect the Indian Ocean port of Dar es Salaam with Mwanza on Lake Victoria and Kigoma on Lake Tanganyika, as well as neighboring Rwanda and Burundi.
- Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP): A 2,115-megawatt hydroelectric dam on the Rufiji River, designed to solve Tanzania's persistent power problems.
- Mfugale Flyover: A flyover intersection in Dar es Salaam, designed to reduce traffic congestion.
- Ubungo Interchange: A flyover interchange in Dar es Salaam, designed to improve traffic flow.
- New Selander Bridge: A bridge over the Ruvu River, designed to improve transportation links between Dar es Salaam and the rest of the country.
- Expansion of Julius Nyerere International Airport: A major expansion of the country's main airport, designed to increase capacity and improve facilities.
- Addition of new Air Tanzania planes: A fleet expansion program for the national airline, designed to improve air connectivity and promote tourism.
- Construction of Dodoma Bus Terminal: A new bus terminal in the capital city of Dodoma, designed to improve transportation services.
- Construction of liquified natural gas (LNG) plant: A plant to process and export natural gas, designed to boost the country's economy.
- Construction of water and wind power projects: A number of water and wind power projects, designed to increase renewable energy generation.
- Uhuru Hospital project: A new hospital in Dar es Salaam, designed to improve healthcare services.
- Gold refinery plant: A plant to refine gold, designed to increase the value of the country's gold exports.
- Magufuli Bus Terminal: A new bus terminal in Mwanza, designed to improve transportation services.
- More than 100 New Dispensaries
- More than 500 New Health Centre’s
- More than 100 New District Hospitals
- More than 20 New Regional referral.
- 3 New Zonal Referral Hospitals
- 8 Lanes Highway from Kimara to Kibaha
- New Wami Bridge
- Nyerere National Park
- More than 7000 KM paved regional roads
- More than 3000 paved street Roads across the country
- Maintenance of Old schools, Colleges etc.
- JP MAGUFULI BRIDGE - LAKE VICTORIA MWANZA
- 49% SHARE OF AIRTEL
- MSALATO INTERNATIONAL AIRPORT
- NEW STATE HOUSE CHAMWINO- DODOMA
- RING ROADS AROUND DODOMA CITY
- GOVERNMENT CITY aka MAGUFULI CITY DODOMA
Overall, President Magufuli's infrastructure projects have had a significant impact on Tanzania. They have improved transportation, energy, and healthcare services, and they have boosted the country's economy. However, it remains to be seen whether they will be sustainable in the long t
Baba yako mbona naye hatunayeAlikuwa mtu katili na ikampendza Mungu kumchukua haraka angekuwa mtu mwema angakuwa hai hadi leo
Kwanza yeye mwenyewe alikuwa na cheti feki cha udaktari.Hakika alikuwa shujaa aliefanya mengi, mimi ntamkumbuka kwa kuondoa vyeti feki na wafanyakazi hewa
Mfupa uliowashinda marais takribani wote waliomtangulia pamoja na kupigiwa kelele
Lazima aliweza kuwaondoa, hayimaye leo kuna wengine wamepata ajira ni kutokana na nafasi zilizoachwa wazi baada ya wazamiaji kuondolewa
Haiwezekani mtu usote darasani weee, upate cha kupata kwa juhudi zako halafu mtu acheze tu na kompyuta au achukue cha ndugu yake na atoboe
Kwani uongo?Kwamba lisu alipataga kura nyingi kuliko Magufuli?acha vichekesho.
Mitandao ipo tele,TV zipo tele nyiingi siyo tu TBC na Channel 10,Redio ni nyingi tele,magazeti ni mengi na mikutano ya kisiasa inafanyika na kazi zinaendelea kila siku.Saiz mmewashiwa mitandao mnazimiwa umeme. Kweli TZ ni kichwa cha mwendawazimu
So? Unasema uwazi haukuwepo na unajua kura aliiba?? Hai make senseMitandao ipo tele,TV zipo tele nyiingi siyo tu TBC na Channel 10,Redio ni nyingi tele,magazeti ni mengi na mikutano ya kisiasa inafanyika na kazi zinaendelea kila siku.