Projects Initiated by President John P Magufuli in Tanzania

Projects Initiated by President John P Magufuli in Tanzania

So? Unasema uwazi haukuwepo na unajua kura aliiba?? Hai make sense
Tuliwaona kwa macho jinsi makada wa ccm na sare zao walivyokuwa wanaingia kwenye vituo vya kupigia kura muda wowote bila utaratibu na kuingilia wasimamizi wa uchaguzi.
 
Alikuwa mtu katili na ikampendza Mungu kumchukua haraka angekuwa mtu mwema angakuwa hai hadi leo
hapa ndipo tunapo kwama mtu unaomba kazi, ukipewa unakuwa na hiari ya kuifanya au kutoifanya ila mshahara unachukua hilo mwamba hakuchekea nyani na ndio Leo wahuni wasumbufu, Wala rushwa walikumbana na rungu la mwamba na kumwita katili kama huyu mzembe hapo juu.
 
Back
Top Bottom