Projects Initiated by President John P Magufuli in Tanzania

Miaka 10 lakini ndiyo Rais aliyeifungua Tanzania miji yote unayoiona ilianza kupanuka na kujengwa vizuri kipindi cha Mwinyi.Na ni kipindi watu walijifunza kuvaa vizuri na hata watu wa vijijini walijifunza kuvaa viatu.
Uongo
 
Shujaa Maguful rip

Mzee Mwinyi: Kazi zilizotushinda Marais 3 kwa miaka 30 Magufuli kazifanya kwa miaka 3 tu
Humjui mwinyi,uwe unamsikiliza vizuri, unaweza Dhani anakusifia kumbe kinyume,1995 kampeni akimnadi mkapa,mchagueni huyu,ana degree za chuo kikuu,Tena kuukuu
 
Huu huu ambao nchi iliingia uchumi wa kati au unazungumzia uchumi upi?
Uchumi wa kati ni mipango ya mzee mkapa toka mwishoni 1990s, huwezi toka uchumi masikini wa chini ufike uchumi wa kati kwa miaka miwili madarakani, tatizo shule huna
 
Imagine wenzie wanachukua chanjo Ili biashara zifunguke wewe hutaki Sasa uta interact na nani umuambukize?
Tangu vita vya Urusi na Ukraine vimeanza umewahi kusikia khs chanjo na corona.?
Nipe sababu moja.
 
Hakika alikuwa shujaa aliefanya mengi, mimi ntamkumbuka kwa kuondoa vyeti feki na wafanyakazi hewa


Mfupa uliowashinda marais takribani wote waliomtangulia pamoja na kupigiwa kelele

Lazima aliweza kuwaondoa, hayimaye leo kuna wengine wamepata ajira ni kutokana na nafasi zilizoachwa wazi baada ya wazamiaji kuondolewa

Haiwezekani mtu usote darasani weee, upate cha kupata kwa juhudi zako halafu mtu acheze tu na kompyuta au achukue cha ndugu yake na atoboe
 
wajinga bado mpo mnaoamini katika ile chanjo?
 
Alikopa JPM sema kipindi chake uwazi haukuwepo kabisa hata kura aliiba halafu akasema ameshinda kwa kishindo na kuzima mitandao yote kwa muda wa mwezi mmoja.
Saiz mmewashiwa mitandao mnazimiwa umeme. Kweli TZ ni kichwa cha mwendawazimu
 
Huyu alikuwa mtu wa pekee Sana hakuwa wa kawaida
 
Kwanza yeye mwenyewe alikuwa na cheti feki cha udaktari.
 
Saiz mmewashiwa mitandao mnazimiwa umeme. Kweli TZ ni kichwa cha mwendawazimu
Mitandao ipo tele,TV zipo tele nyiingi siyo tu TBC na Channel 10,Redio ni nyingi tele,magazeti ni mengi na mikutano ya kisiasa inafanyika na kazi zinaendelea kila siku.
 
Mitandao ipo tele,TV zipo tele nyiingi siyo tu TBC na Channel 10,Redio ni nyingi tele,magazeti ni mengi na mikutano ya kisiasa inafanyika na kazi zinaendelea kila siku.
So? Unasema uwazi haukuwepo na unajua kura aliiba?? Hai make sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…