Tuliwaona kwa macho jinsi makada wa ccm na sare zao walivyokuwa wanaingia kwenye vituo vya kupigia kura muda wowote bila utaratibu na kuingilia wasimamizi wa uchaguzi.
hapa ndipo tunapo kwama mtu unaomba kazi, ukipewa unakuwa na hiari ya kuifanya au kutoifanya ila mshahara unachukua hilo mwamba hakuchekea nyani na ndio Leo wahuni wasumbufu, Wala rushwa walikumbana na rungu la mwamba na kumwita katili kama huyu mzembe hapo juu.