Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwa hiyo utamlaumu injinia kwa kuleta mvua kubwa?Ndio nitamlaumu Injinia...
Kwanza hatujafundishwa kukariri na wala hatukariri, mpaka hapa naomba tuelewane! Pili, ni wapi nimesema daraja linajengwa ili liwe imara wakati wa dry wether only? Mbona unaleta mada ambazo hazipo?Aliyefundishwa kukariri kwamba ajenge daraja linalokaa imara only in dry weather ikinyesha mvua tu tatizo...
Sijatetea mtu.Mkuu sijui kwa nini unawatetea...
Kwa hii sentensi nadiriki kusema hujaelewa nilichosema. Na hapa wewe ndio umekariri na kujibu bila kuelewa nilicho maanisha.Kujenga Becky haitaji Degree ya uhandisi kujua kwamba sio Past History peke yake inayokuwa kama factors za ku determine mradi ujengwe kivipi, bali na Future inakua calculated..duration na future risks za mradi ...kwa mfano Floods
Naona kuna kitu uko nacho lakini hutaki kusema!!Sasa kama mnajenga madaraja kutegemea past history,then tuna tatizo kwenye mfumo wa Elimu yetu ya wahandisi,yaani hapa umeonyesha jinsi kulivyo na gap kwenye Elimu yetu 🙄 🙄
Nikupe mfano mwingine,
Katika mto A ndani ya mwezi huu maji yana kina cha mita 4, ila mwaka jana maji yalifikia kina cha mita 6 na mwaka juzi maji yalifikia kina cha mita 7.5, je unadhani uta design daraja kwa kuangalia kina cha mwezi huu ambacho ni kidogo(mita4)? au utatumia kina cha mwaka juzi (mita 7.5) ili kuweka daraja lako katika safe side kwamba hata kama maji yakija mita 7.5 kama mwaka juzi basi daraja lako litahimili?
(Naomba hii pointi uijibu ukiwa huna mihemko, kama una mihemko bora usijibu).