Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

KKKT
Hizi taasisi zina mambo ya ajabu sana hwataki mch kama yule afanye makubwa ya kuonekana na akakubalika sana kuliko jina la taasisi yenyewe
wao wanapungua nn? Mbona jamaa alikua mnyenyekevu? Ukristo wa kusoma liturjia mwanzo-mwisho uliwagharimu Roman ndo maana sasa hivi wameanzisha JUMUIYA full kutishana ili waumini zaid wasitoroke kwenda kutafuta kwingine
 
Hizi project Ni minor Sana ukilinganisha na anachofanya mastai pale kimara korogwe Kuna shule na hospital na mall na hzo zote za evening na morning Glory

Alichonikera Ni sifa alizo wapa wakatoliki waswasi Tena mbele ya kwaya kwa kuwaita viongozi wetu kuwa Ni matapeli sijapenda hilo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kanisa sio siasa!ama mtu kutafuta umaarufu
Kwahiyo unataka kusema bila yeye usharika huo,unakufa na hauwezi kuendelea?sio kweli Huwa inafika wakati sharika kukua na hapa nasisitiza bila Baraza la wazee kuamua,kuwa na Nia Moja hakika ni ngumu kuendelea
 
Taasisi pia sio jengo wala watu bali taasisi ni mifumo, watu ni watendaji tuu
 
Usharika hautakufa asilani. Ila hauwezi kuendelea kama sasa. Leo EVENING GLORY haikurushwa Youtube kulikoni?
 
Kwako KKKT ni majengo na miradi kwangu mimi ni KANISA la Kristo chini ya taasisi iitwayo KKKT
 
Usharika hautakufa asilani. Ila hauwezi kuendelea kama sasa. Leo EVENING GLORY haikurushwa Youtube kulikoni?
Sio kweli,ni wazee pamoja na washarika kuamua kufanya hayo wanayokubaliana-na hii Kuna wakati wachungaji hutengeneza kikundi Chao Chao kuwalinda,mchungaji was usharika hawezi kuwa juu ya Jimbo au dayosisi
 



Kabisa mwaya! [emoji848][emoji848]

Tulishapasahau miaka mingi tangu enzi za ile kwaya ya wakongo ya wimbo hakuna Mungu kama wewe Kijitonyama ilikuwa kama haipo,

Usharika huo umekuja kujulikana baada ya Pastor Kimaro kuja huo ndio ukweli.

Hivi huyo Anna anazani ataweza kutembelea nyota ya Kimaro kweli ?
 
Mchungaji Anna aombe msaidizi ule muziki pale mzito
 
Minor? Seriously???!!! Kiongoziii gani aliitwa tapeli? Umeifuatilia ibada ya siku aliyotoa hiyo kauli??
 
Sahihi Sana Hilo ,alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu wakatoliki na waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vzr so wat aende uko sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mnanishangaza sana.
Hata Yesu aliwasifu mafarisayo kwa kuwatolea mfano wanafunzi wake kuwa;
" Haki yenu isipozidi haki ya mafarisayo kamwe hamtauona ufalme wa Mungu"

Hapo kuwasifia waislanu katika eneo wanalofanya vizuri kuna tatizo?

Nimegundua Wakristo wengi ni zero katika ufahamu wa neno la Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…