pri
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 826
- 666
Sharika zinakua kwasababu ya mambo mengi, sio mchungaji pekee anaweza kufanya usharika ukue na nasisitiza kama Baraza ni bovu ama Bora liende usharika hauwezi kukua, labda tukumbushane wachungaji wengi was miaka ya 60-90, wengi hawakuwa na maarifa mengi ya utawala,hata elimu Yao haikuwa kubwa hivyo, pia kumbuka hata waumini NAO upeo wao ulikuwa mdogo,kipato Chao kidogo,hata waliosoma wengi na wenye kipato hawakuwa viongozi wa kanisa hivyo miradi haikuwezekana,Sasa ni tofauti.Kabisa mwaya! [emoji848][emoji848]
Tulishapasahau miaka mingi tangu enzi za ile kwaya ya wakongo ya wimbo hakuna Mungu kama wewe Kijitonyama ilikuwa kama haipo,
Usharika huo umekuja kujulikana baada ya Pastor Kimaro kuja huo ndio ukweli.
Hivi huyo Anna anazani ataweza kutembelea nyota ya Kimaro kweli ?