Sharika zinakua kwasababu ya mambo mengi, sio mchungaji pekee anaweza kufanya usharika ukue na nasisitiza kama Baraza ni bovu ama Bora liende usharika hauwezi kukua, labda tukumbushane wachungaji wengi was miaka ya 60-90, wengi hawakuwa na maarifa mengi ya utawala,hata elimu Yao haikuwa kubwa hivyo, pia kumbuka hata waumini NAO upeo wao ulikuwa mdogo,kipato Chao kidogo,hata waliosoma wengi na wenye kipato hawakuwa viongozi wa kanisa hivyo miradi haikuwezekana,Sasa ni tofauti.Kabisa mwaya! [emoji848][emoji848]
Tulishapasahau miaka mingi tangu enzi za ile kwaya ya wakongo ya wimbo hakuna Mungu kama wewe Kijitonyama ilikuwa kama haipo,
Usharika huo umekuja kujulikana baada ya Pastor Kimaro kuja huo ndio ukweli.
Hivi huyo Anna anazani ataweza kutembelea nyota ya Kimaro kweli ?
KKKT
wao wanapungua nn? Mbona jamaa alikua mnyenyekevu? Ukristo wa kusoma liturjia mwanzo-mwisho uliwagharimu Roman ndo maana sasa hivi wameanzisha JUMUIYA full kutishana ili waumini zaid wasitoroke kwenda kutafuta kwingine
Imeisha hivyo!akafanye utume sehemu nyingineTunawaombea, walimalize salama.
Amepiga simu polisi kuomba usaidizi ili aweze kuanzisha ibada ya masifu ya asubuhi kesho asubuhi, anapiga piga simu ovyo kusumbua wazee wa watu kuulizia hali ilivyo baada ya kufanikiwa kutoroka kanisaniMchungaji Anna aombe msaidizi ule muziki pale mzito
Tumsubiri huyo Mchungaji Msaidizi kama ataweza kuendesha hizo projects (maana nina uhakika pesa ilikua inatoka kwa waumini ambao wamestuka kwa Dkt Kimaro kupewa likizo na kuhamishwa Kijitonyama.
Unashadadia sana hili tatizo..Ni unabii umetimia.. Kila litokalo mdomoni ni zao la rohoni... Amejitambulisha uhalisia wake
Hata wakienda KKKT kama taasisi haitakufa.Wengi wanasubiri Kimaro aanzishe huduma Au la wataenda makanisa ya kilokole kusali.
Kuna askofu mstaafu mmoja wa KKKT nilimsikia Redioni akisema huwa anasali nusu ya Sala ya Salamu Maria. Hii ilimtokea wakati anafanya PhD yake, profesa wake alimpa afanye review maandishi ya Martin Luther na Papa Benedict XVI kuhusu Maria. Alivyomaliza hiyo kazi akijua kumbe huko kote alikosoma alifundishwa vitu tofauti tu, hatimaye akaanza kusali hiyo salamu Maria.Sahihi Sana Hilo ,alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu wakatoliki na waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vzr so wat aende uko sasa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wanachohoji waumini ni nini sababu ya kusimamishwa kwake?Hii ni kweli kabisa!
Yani hao Viongozi waumini wasipate badiliko la kimwenendo,
Wanataka waumini wabaki na Ukristo wa jina badala ya mwenendo na tabia?!
Wajiita Wakristo lakini wachawi, ndugu na ndugu hawaongei miaka nenda ,
Sasa yanakuja mafundisho mnaleta mikingamo?!
Aibu yenu!
Siku 60 ?
Tunasubiri taarifa ya uchunguzi.
Mchungaji Anna aombe msaidizi ule muziki pale mzito
Mnanishangaza sana.
Hata Yesu aliwasifu mafarisayo kwa kuwatolea mfano wanafunzi wake kuwa;
" Haki yenu isipozidi haki ya mafarisayo kamwe hamtauona ufalme wa Mungu"
Hapo kuwasifia waislanu katika eneo wanalofanya vizuri kuna tatizo?
Well said [emoji120] [emoji120]Kila usharika KKKT una baraza la wazee, sharika ngapi zimefanya hayo yote? Nenda Usharika wq Sinza bado wanapambana na Deni mpaka kesho, Mwenge hali kadhalika.
NB: Kimaro hata apelekwe GEZAULOLE ataonyesha maajabu, jiulize kabla ya Kimaro-Knyama hapo Kinyama mbona kulikua jiiiii
Lilikua ni pandikizi ya watu wa malasusa na wengine wapo pale wanajifanya ni wanakwaya na wana praise and worship team ila deep down ni mapandikizi ya yule mzeeHuenda alikuja Kwa kutumwa sasa mission accomplished probably!
acha siasa. mchungaji wako alishajisahau sana kwa mambo ya kimwiliHii dhana ya ukubwa kuliko taasisi kwani kanisa ni mali ya mtu,au genge la watu?. Kanisa sio jengo, ni mwili wa Kristo ambapo watu wenye imani juu Kristo wanaamua ku team up na kumtafuta Mungu hata kwa kupapasa wakamwone sasa kuwa na kiongozi mwenye kuonyesha njia imekuwa nogwa?. Mwenye kanisa ni Mungu, mwenye roho za watu ni Mungu.
Hata wakienda KKKT kama taasisi haitakufa.