Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Kwa hiyo ulitaka nyeusi aiite nyekundu siyo? [emoji12] The truth must be said..
 
Ungejibu hoja yake kwamba mbona kuna sharika nyingi lakini hazijafanya kitu?
 
Amepiga simu polisi kuomba usaidizi ili aweze kuanzisha ibada ya masifu ya asubuhi kesho asubuhi, anapiga piga simu ovyo kusumbua wazee wa watu kuulizia hali ilivyo baada ya kufanikiwa kutoroka kanisani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye hili swala kila mtu kaelewa alivyo elewa.....kila mtu ana mtazamo wake....... Kkkt ni taasisi kubwa... jambo kama hili lingeishia ndani huko sio kuleta huku kwa watu tofauti.....

Huyo mchungaji kazua taaruki kwa waumini wake kwa kuwapa taarifa hizo...na huko ofisini pia wamezua taaruki kwa mchungaji....... Hizi ni taratibu zao za kazi tuwaache tuone.....

Ila tunacho ubiriwa sio kila wanacho tuonyesha kama mfano....wao ndo wa kwanza kwa mifano mibaya.

Leo humu kimaro kafunguliwa nyuzi ngapi?
 
Hili sakata la Kimaro nimeamua kuwaachia makada wa CHADEMA walisemee. Kupitia hii comment napenda kuwashukuru sana KKKT kwa kumiliki hosteli pale Same mjini... ile hostel ni nzuri na huduma nzuri. Usafi wa hali ya juu mno pia bei iko sawa. Kilichonigusa zaidi ni kuajiri "VISU".. nilijipatia toto moja zuri sana lilikuwa linafanya kazi pale.
 
Chadema tena!!!?
 
Na wewe mbona unanifuatilia sana!! Kuna nini kwani?
 
Nguvu kubwa inayotumika kumtuhumu kuwa ni mpotofu imelenga kufunika hizi projects ambazo kimsingi ni za Kanisa.

Ninasoma posts nyingi mitandaoni ni kama watu wamepangwa kumsagia kunguni.

Lakini aliye wa Mungu hulindwa na Mungu.

Niwape angalizo dogo tu. Kama alikuwa anatoa huduma ya uinjilisho kisha wakamkatisha na kumlazimisha asipeleke ujumbe wa Yesu kwa watu basi wameingilia kazi ya Roho Mtakatifu na wameinuka kupambana na aliyempeleka.

Wanaodhani mambo ya Mungu yana protokali za kibinadamu waendelee kuamini hivyo maana thawabu haiko mbali.

Mwanakondoo Ameshinda TUMFUATE
 
Na wewe mbona unanifuatilia sana!! Kuna nini kwani?
Mkuu
Hii issue ya mchungaji Kimaro kaa nayo kimachale sana kwa sababu sisi tusioyajua maazimio ya ajenda za vikao vyao wasituingize kwenye changamoto zao.

Maaskofu wanapaswa kutoa kauli ya mwongozo na siyo kuacha hoja ifikie kumkufuru Mungu. Kadiri hili suala linavyojadiliwa bila muongozo wa mantiki ya maamuzi yale inaelekea kumfaidisha shetani zaidi ya Mungu.

Kumtoa mtumishi katikati ya huduma ya madhabahu (semina) maana yake ni kwamba wanadamu wana amri na mamalaka kuliko Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu anayetendakazi nasi kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…